King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,371
- 88,583
ENDELEA KUTUMA TU TIGOPESA.
Kweli hapo nilibeti....Halafu utasema kuwa hujawahi kubeti??
Natamani nisikie kauli yako....
Ndio maana nikauliza kaka ni utapeli au ushamba wangu. Kuna mwingine kaja PM naye anasema anaumwa na namba kanipa ya kutuma Tigopesa. Hahahaajaa...ENDELEA KUTUMA TU TIGOPESA.
Sasa ww mtumie laki 1 then mtafute kwa namba nyingine mwambie hiyo ni asante kwa kuni block

mkuu hiyo papuchi niliiomba kweli. Na nilikuwa na malengo nayo ya muda mrefu,sasa kwa tabia aliyonionyesha ntaendelea kumtafuta ili nimlize na ajutie kosa lake..

Mkuu nimerudi mwaka jana toka ughaibuni...
Rafiki nakunyapia nyapia siyo kwa guu hilo!
haujalala tu?
Pole...mkesho mwemaRafiki hilo guu lako linaninyima usingizi!!![]()
Rafiki i love you!Pole...mkesho mwema
Huyo dem kama sio wa Mbagala bas gongolamboto maana kama ameona 75k ni kubwa hadi AKARARA MBERE kuna walakin hapoHaha hapo kaona kaokota dodo kwenye mchongoma inaeleka alikublock akijua kakufaid kwelkwel