Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

Pole sana mkuu, ila usitoage pesa kizembe zembe , hakuna pesa ndogo mkuu
 
Alishakwambia ana mtu wake. Kilichomchanganya ni business card tu, akaona akujaribu kwa kukupiga mzinga. Ila amini kuwa chanzo cha kuku-block ni mtu wake.
 
Huo siwezi kusema Utapeli.

Jibu ni kwamba hakuwa na mpango na wewe
 
Sii alikuambia anaumwa atakua amekufa huyo ndio maana simu haipatikani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom