Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,629
4,504
Kabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama utanihitaji au kubadili mawazo uweze kuwasiliana na mimi.

Akaipokea kwa mikono miwili. Siku mbili baadae naona namba ngeni inanipigia. Napokea naambiwa mimi ni yule uliyenipa business card yako juzi,nikafurahi kuona mrembo anaanza kuingia line. Tukaongea kwa kirefu mchana huo.

Jioni naona ujumbe kwenye simu, baby naumwa sana na wewe ndio tumaini langu la mwisho. Naomba nitumie 50,000 niende hospitali. Mzee mzima nikaona mambo si haya,fasta tigo pesa ikahusika.kesho yake naambiwa baby asante sana kwa msaada wako ila ile hela imepungua 25,000 ili niweze kununua dawa.

Bila kujiuliza nikatuma hiyo hela. Cha kushangaza kesho yake namtafuta kumuulizia hali nakuta ameniblock nikaishia kucheka tu na kumuona ni mjinga aliyekosa vingi toka kwangu kwa kujiona ametosheka na hiyo 75,000.
 
Kabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama utanihitaji au kubadili mawazo uweze kuwasiliana na mimi.Akaipokea kwa mikono miwili. Siku mbili baadae naona namba ngeni inanipigia. Napokea naambiwa mimi ni yule uliyenipa business card yako juzi,nikafurahi kuona mrembo anaanza kuingia line. Tukaongea kwa kirefu mchana huo. Jioni naona ujumbe kwenye simu, baby naumwa sana na wewe ndio tumaini langu la mwisho. Naomba nitumie 50,000 niende hospitali. Mzee mzima nikaona mambo si haya,fasta tigo pesa ikahusika.kesho yake naambiwa baby asante sana kwa msaada wako ila ile hela imepungua 25,000 ili niweze kununua dawa. Bila kujiuliza nikatuma hiyo hela. Cha kushangaza kesho yake namtafuta kumuulizia hali nakuta ameniblock nikaishia kucheka tu na kumuona ni mjinga aliyekosa vingi toka kwangu kwa kujiona ametosheka na hiyo 75,000.
ushapigwa mzee, pole.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom