Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

Wakuu ni uchungu kusikia vitu kama hivi kwenye nchi iliyobatizwa jina la "nchi maskini" na watawala wetu.
tusiendelee kulalamika tu, tutafute suluhu pia. Je tufanyeje kujikomboa dhidi ya wizi na dhuluma hii tunayofanyiwa watanzania?
Maana kuna watu hapa jf wanajifanya wana maumivu sana na hali hii ili hali baba, mama, dada, shangazi, mjomba, nk wanafaidi keki kubwa au niseme wanashiriki katika wizi huu.
je wako tayari kuwambia wazi wazi hao wezi ambao ni jamaa zao kwamba nyie ni wezi?
Je chama cha mapinduzi kiko tayari kujisema kwamba ndiye master planner wa wizi wa wazi wa keki hii ya watanzania? La sivyo tutaandika weeeee hapa bila kuwa na suruhu ya nini kifanyike!
Nakumbuka aliposema Dr Slaa kwa mara ya kwanza kuwa ni vema hata wabunge wapunguze mishahara yao (including himself ofcourse) hata baadhi ya wana jf hapa walimbeza. Hii ni kwa sababu wengi hawaoni mbali. Leo bila shaka kama kawaida yake ameibuka mshindi kwa hoja ya kweli aliyoianzisha na hakuna aliyemuunga mkono.
nadhani kama watu wangelimuunga mkono ingelikuwa mwanzo wa kuwaandama wezi hawa wanaotuibia mchana kweupe tena kwa ridhaa yetu wenyewe.
Nakumbuka ule mchezo wa karata tatu jinsi nilivyowahi kuibiwa nikiwa napenda mwenyewe. Ni huu tunachezewa watanzania.
tusipoamua wenyewe kujitoa katika mchezo huu, tutaibiwa mpaka tukome.
Mungu ibariki Tanzania.
Walaaniwe wote wanaotuibia Tanzania kwa ujanja regardless ni nani!?!
 
Hii nchi ya Tanzania sio masikini, viongozi wake ndio masikini na wafinyu wa mawazo; upeo huo umewapelekea wananchi wake kuwa MAFUKARA na maskini wa mawazo wa kutotambua jinsi gani ya kutumia abundant resources walizonazo economically.
 
149niwz.gif
 
Halafu hivi kweli hiyo nyumba iliyoko kwenye hiyo picha bei yake la pango ni dola 8,000 - 10,000? Angalia huo ukuta jinsi ulivyo mchafu...angalia hiyo minyaya sijui ya umeme au simu jinsi inavyoharibu mazingira hapo. Sidhani kama hiyo nyumba rent yake iko worth hizo hela zinazodaiwa kuwa inagharimu kwa mwezi...
 
Ukuta mchafu kweli, haya hao wanaomlipia/ serikali, wakamsafishie na ukuta basi.
 
Wakuu ni uchungu kusikia vitu kama hivi kwenye nchi iliyobatizwa jina la "nchi maskini" na watawala wetu.
tusiendelee kulalamika tu, tutafute suluhu pia. Je tufanyeje kujikomboa dhidi ya wizi na dhuluma hii tunayofanyiwa watanzania?
Maana kuna watu hapa jf wanajifanya wana maumivu sana na hali hii ili hali baba, mama, dada, shangazi, mjomba, nk wanafaidi keki kubwa au niseme wanashiriki katika wizi huu.
je wako tayari kuwambia wazi wazi hao wezi ambao ni jamaa zao kwamba nyie ni wezi?
Je chama cha mapinduzi kiko tayari kujisema kwamba ndiye master planner wa wizi wa wazi wa keki hii ya watanzania? La sivyo tutaandika weeeee hapa bila kuwa na suruhu ya nini kifanyike!
Nakumbuka aliposema Dr Slaa kwa mara ya kwanza kuwa ni vema hata wabunge wapunguze mishahara yao (including himself ofcourse) hata baadhi ya wana jf hapa walimbeza. Hii ni kwa sababu wengi hawaoni mbali. Leo bila shaka kama kawaida yake ameibuka mshindi kwa hoja ya kweli aliyoianzisha na hakuna aliyemuunga mkono.
nadhani kama watu wangelimuunga mkono ingelikuwa mwanzo wa kuwaandama wezi hawa wanaotuibia mchana kweupe tena kwa ridhaa yetu wenyewe.
Nakumbuka ule mchezo wa karata tatu jinsi nilivyowahi kuibiwa nikiwa napenda mwenyewe. Ni huu tunachezewa watanzania.
tusipoamua wenyewe kujitoa katika mchezo huu, tutaibiwa mpaka tukome.
Mungu ibariki Tanzania.
Walaaniwe wote wanaotuibia Tanzania kwa ujanja regardless ni nani!?!

Kwa kuongezea ni kwamba Tanzania na watanzania walio wengi wanatawaliwa na kundi dogo la "watawala" aka miungu watu. Tuliweza kupata uhuru toka kwa wakoloni weupe na sasa tuko chini ya ukoloni wa watu weusi ambao wanatutawala kwa kivuli cha utanzania. Watawala hawa wanafanya watakacho na sisi wanyonge hatuna uwezo wa kuwafanya kitu chochote. Wanachukua mazao yetu na kutupangia bei ya kununua toka kwetu, wanatumia pesa watakavyo, wanajipa vyeo watakavyo na mbaya zaidi wanawarisisha watoto wao madaraka. Wanyonge na watoto wetu tutaendelea kutawaliwa na kufanywa watumwa ndani ya nchi yetu ambayo tuliipigania na kupata uhuru mwaka 1961. Kwa mantiki hii nilikuwa nawaomba watanzania wanyonge tuungane kwani fimbo ya mnyonge ni umoja na tupambane na hawa wakoloni weusi ili tupate uhuru wetu kwa maana halisi ya kupata uhuru. Maana halisi ya kupata uhuru ni pale patakapo kuwa na hali ya kugawana keki ama rasilimali ya taifa sawasawa bila kujali dini, rangi, jina ama kabila.
 
Swali la kujiuliza na kuwa nyumba hiyo inamilikiwa na nani, na ni valuation gani iliyotumika kuweka kiwango hizho cha dola 8000 kwa mwezi.. Nyumba ya kupanga ambayo ni gali sana kule Hollywood kwa wenye nazo, haifiki dola 5000 kwa mwezi, kwa mfano hii hapa na hii hapa.

Ila inaonekana kuwa mheshimiwa Sitta kajaliwa sana kuila nchi hii kutokea Dodoma bila kufanyiwa lolote. Alikula CDA sasa anakula Bunge kutokea hapo hapo Dodoma. Angefanya kazi yake vizuri wakati akiwa CDA, leo hii asingepanga nyumba kwa bei kubwa hivyo.
 
kwa kweli mambo haya kuingizwa kwenye dini ni kazi kubwa sana

mie naona tukianza hivi na sisi wazanzibari watumbatu tutoe waraka wetu na wengine na tuone tutafikia wapi ?
 
haya mambo aachane nayo aendelee kuwatabilia wajinga.............
 
Huyu mzee Shekhe Yahya tatizo majini yamemkaa sana kichwani baada ya kusoma maandiko yanayoanzia kulia kwenda kushoto, anazungumza hata haeleweki! Anadai Spika aache kuongelea mambo ya dini huku anataka Spika huyo huyo aongelee suala la kadhi ambalo ni ibada ya dini ya kiislamu! Do you think you can get anything concrete from him?
 
Huyu mzee Shekhe Yahya tatizo majini yamemkaa sana kichwani baada ya kusoma maandiko yanayoanzia kulia kwenda kushoto, anazungumza hata haeleweki! Anadai Spika aache kuongelea mambo ya dini huku anataka Spika huyo huyo aongelee suala la kadhi ambalo ni ibada ya dini ya kiislamu! Do you think you can get anything concrete from him? Pia anaongea mambo ya enzi za mwalimu anasahau Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977 ibara ya 19 (2) inasemaje juu ya serikali na dini! Anaquote sheria ya mahakama za mahakimu ya mwaka 1963 ambayo ilishakuwa repealed na Magistrates Courts Act, 1984 (Cap. 11, RE 2002)! The Hansards are nothing but the old story, Sheikh! In fact hansards are not part of statutes!
 
Last edited:
Bwahahahahahahahahahahah, teteteteteteteteteeeeeeeee
Huyu mtabiri wa wajinga wenzie. Ni mganga njaa tu! Muumini na rafiki wa majini!
Nashangaa wanaoangalia na kufuatilia ujinga wake channel ten! Hivi na wewe junius ni mmoja wao?
Itakuwa na ww unatazama, ulijuwaje?
 
naona ameminya uwezo wake wa kufikiria kwenye hili.
 
Sipo na washabikia UTABIRI WA MAMBO YA MBELENI, ambayo kwenye dini ya kiislamu hairuhusiwi!
Nani kakwambia hayaruhusiwi ? Hebu weka aya hapa tuone ,tembelea webu za kiyahudi ambazo ndizo mnazozifuata na kuziamini kuwa ni webu za kiisilamu kumbe mmeandaliwa nyie mnaoleta maneno ya maandazi.
 
Ndo-wenye Mji hao ati!!
"Sisi ndo-wa mjini bwana,twajua kula chapati kwa mchuzi"-Ditopile M.(RIP)
"Huyo Spika anaongelea mambo ya Maandazi"-Hahya Husein.
**Haya Mambo ya Mjini yana kazi kweliX2!
 
shehki mchawi, HEHEH, HAPA NDO WAISLAM HUWA WANANIVUNJA MBAVU. MTU ANAYEWASWALISHA NI MCHAWI,MLA NYAMA ZA WATU,SURA KAMA ANAKULA PILIPILI NA NDIMU, MSOMA NYOTA NA MWIBA NYOTA ZA WATU, MWANGA.

siku zake ni chache. atawafuata wenzie.
 
Huyu shehe naye apewe msikiti tu maana kazi zingine zote zimemshinda.

BTW ... ile kesi ya Mahita na watoto imeishia wapi?
 
Back
Top Bottom