Ni somo gani umejifunza katika maisha

Ni somo gani umejifunza katika maisha

Na imagine ulivyokuwa mdogo halafu utamke hayo uliyoandika,basi unavua shati halafu unavimbisha kifua kuonesha we mbabe🤓🤓🤓
Mi sio mdogo...
Nina mwili wa kama harmonize sema mi mrefu till enough nakula gym daily...

Sikutishi wala sijisifii ila ndo hv mara nyingi nashindaga na singlend hapa mtaani..

Hapa mtaa wamezoea kuniita FAZA MOYO
Sina baya na mtu 😂😂😂😂😂

Ulivo sema mdogo mdogo nimekumbuka kuna member niliwahi kutana nae anaitwa Vishu Mtata sijui alizania mi dogo ahahaha daah kila mda anajiongelesha tu et "kumbe tupo na mafaza jf hapa. ""
 
Umenichekesha Sana mkuu kwamba tupo na mafaza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwenye maisha naendelea kujifunza maana kila siku ni ukurasa mpya unaojazwa na unayokutana nayo siku hio.

General Lesson so Far...
Kila mtu ana picha yake tofauti kuhusu wewe, huenda kwa kusikia, kuona picha yako au kujumuika na wewe Moja kwa Moja.

Hivyo usipoteze nguvu zako kumuaminisha/kuthibitisha kwa mtu kuhusu haiba yako (especially Wema, Uaminifu na Ustaarabu).
Haibadilishi chochote.

Ishi katika falsafa zako (Hii haimaanishi usibadilike kwa wenye tabia za walakini, Hapana). Kubali kuambukizwa tabia njema na anayevutiwa siku zote atakuja mwenyewe.

Wewe halisi ni yule unaejiona nafsini mwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom