Ni somo gani umejifunza katika maisha

Ni somo gani umejifunza katika maisha

Very very true....utatukanwa matusi ya reja reja hatari.
Huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni.
Upo kwenye harusi unashangaa walishakuleta krest wakati wee unataka coke baridi
Krest bitter lemon.
Watu ni jasiri Sana mkuu, yeye hagusi kabisa hicho kinywaji hapo 😀
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom