MzabzabJina?
MzabzabJina?
🤣🤣🤣🤣🤣Ukikamatwa papo kwa hapo unadhani unaweza kusema alikutega?Aliniwekea mitego nikanasa
Wewe endelea tu na kong distance huwezi elewa😀Kwamba shem ana weza ikata na kisu sio?
Much respect to you sister 🙌Nime edit my people
Kweli kabisaKwenye maisha naendelea kujifunza maana kila siku ni ukurasa mpya unaojazwa na unayokutana nayo siku hio.
General Lesson so Far...
Kila mtu ana picha yake tofauti kuhusu wewe, huenda kwa kusikia, kuona picha yako au kujumuika na wewe Moja kwa Moja.
Hivyo usipoteze nguvu zako kumuaminisha/kuthibitisha kwa mtu kuhusu haiba yako (especially Wema, Uaminifu na Ustaarabu).
Haibadilishi chochote.
Ishi katika falsafa zako (Hii haimaanishi usibadilike kwa wenye tabia za walakini, Hapana). Kubali kuambukizwa tabia njema na anayevutiwa siku zote atakuja mwenyewe.
Wewe halisi ni yule unaejiona nafsini mwako.
Mbona limekuja mwajuma khamisMzabzab
More any tingsInner peace is everything.....
Nakataaa sio mimi🤣🤣🤣🤣🤣Ukikamatwa papo kwa hapo unadhani unaweza kusema alikutega?
Kabisa
😂😂 kabisa siwez elewaWewe endelea tu na kong distance huwezi elewa😀
🤣🤣🤣🤣Sio wewe uliyetumiwa SMS wakati simu ni yako?Nakataaa sio mimi
Labda imekosewa je?🤣🤣🤣🤣Sio wewe uliyetumiwa SMS wakati simu ni yako?
Growth requires sacrifices 📌Hell
Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia
distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
Pesa isikupe jeuri!
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Pesa isikupe jeuri!
Bora uzima maisha ni matokeo
Changamoto sana.Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Pesa ineza fanya uliwe na ntu hata humfeel mweh!
Uoga wako ndiyo umasikini wako... HahahaPesa ineza fanya uliwe na ntu hata humfeel mweh!
Mi pesa hapana bora nife masikini