shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,794
- 13,493
Kwa maslahi mapana ya kina Gwamaka na Uswege!Utakuwa unanikomoa kabisa
Kwa maslahi mapana ya kina Gwamaka na Uswege!Utakuwa unanikomoa kabisa
kama hujajipanga sawasawa unakuwa fukara mazimaWatoto ni umaskini
Ikatokea wao wakanishauri nifanye ivyooKwa maslahi mapana ya kina Gwamaka na Uswege!
Same to me....iko tu baaasUmihimu wa aman ya moyo
Eeeeh alafu kuna watu wanakuja humu wansema kila mtoto na ridhiki yake..kama hujajipanga sawasawa unakuwa fukara mazima
Utapigwa za usoEeeeh alafu kuna watu wanakuja humu wansema kila mtoto na ridhiki yake..
Watu hawana ilmu dunya 😂 😂 😂 😂 🙌
Nipo dasalamaWai si upo uchagani
We mbuziEeeeh alafu kuna watu wanakuja humu wansema kila mtoto na ridhiki yake..
Watu hawana ilmu dunya 😂 😂 😂 😂 🙌
Sasa Kuna wengine unafiki hatuuwezi.Ukiwa mnafiki unafanikiwa
Ohhh sawa nasikia mna lalamika baridiNipo dasalama
Mpaka hapo utakuwa ushazeeka mpaka maini!Ikatokea wao wakanishauri nifanye ivyoo
Kama wewe una watoto lakini watoto wako hopeless kutwa kushinda na mishangazi 😂😂😂😂😂We mbuzi
Ni kweli kabisa una takiwa uwe mahili sanaSasa Kuna wengine unafiki hatuuwezi.
Inakuwa ngumu sana kusurvuve kwenye huu mfumo uliojengwa kwenye unafiki.
Na unafiki unaua Ubunifu na Upekee.
Kauli ya Fake till you make it ni Muhimu ..ila Kwa Nafsi huru zinazosimia ukweli it's quite hard.
😂😂 we af nakatafuta katoto ka 2010Mpaka hapo utakuwa ushazeeka mpaka maini!
Mie nawapa watu ukweli wa mambo sasa follow me to get more knowledgeNmeacha kazi ili nikufatilie kwa karibu
😂😂 sana ni malengo yakitimia na upendo una kufaNi vigumu kujua kwanini aliamua kuolewa au kuishi na wewe Hadi pale malengo yake yakitimia au akiona huna jipya zaidi ya hayo uliyoyafanya!
Unataka nivue nguo nikuachie radhi eeh ??Kama wewe una watoto lakini watoto wako hopeless kutwa kushinda na mishangazi 😂😂😂😂😂
Kubabek vua... Vua uone show showUnataka nivue nguo nikuachie radhi eeh ??
Nitakatokea mpaka kakimbie kenyewe bila kufukuzwa!! Halafu kanaenda kukutangaza we ni mchawi unataka kukatoa kafara!😂😂 we af nakatafuta katoto ka 2010