Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,950
- 67,489
- Thread starter
- #81
Kujieleza sana ni mbaya 😂Acha mazoea.. Ishi kwa password 🙌
Kujieleza sana ni mbaya 😂Acha mazoea.. Ishi kwa password 🙌
Haipo hiyo,kazi yako itakuwa kujichukulia Sheria mkononi!Ila utaniruhusu ni watafutie mama yao mdogo
Ahahahah mkuu acha kabisa😂😂😂 na punguza mdomo
Mikono ita ota sugu sana 😂Haipo hiyo,kazi yako itakuwa kujichukulia Sheria mkononi!
Aaah sana😂Kujieleza sana ni mbaya 😂
Ikiota sungu unatoboa godoro!Mikono ita ota sugu sana 😂
Akiba haioziUsalama wako namba moja ni Akiba yako.
Usiishi bila kuwa na Akiba.
Na akiba yako usitumie kusaidia mtu yoyote!
Kama unadhani wanakujali subiri wakati wa matatizo utaelewa.
Acha kabisa umeulizwa swali moja umejibu majibu 10 tofautiAaah sana😂
sungu❌Ikiota sungu unatoboa godoro!
Umenifungua jambo mkuu 🙏😔Usalama wako namba moja ni Akiba yako.
Usiishi bila kuwa na Akiba.
Na akiba yako usitumie kusaidia mtu yoyote!
Kama unadhani wanakujali subiri wakati wa matatizo utaelewa.
Utakuwa unanikomoa kabisaIkiota sungu unatoboa godoro!
Ushaingizwa mjini sioUsiamini bei ya nyumba wala kiwanja chochote kinachouzwa Dar mpaka uhakiki mara elfu kumi.Kawaida kama bei ni m20 utaambiwa ni m60.
Wai si upo uchaganiNikatafute beer tatu ninywe nirudi kulala mimi,
Watoto ni umaskiniHehe, watoto ndo alama zetu mojawapo muhimu tutakazoacha. Usichelewe saaana kupata watoto.
Ukiwa mnafiki unafanikiwaAnd I outshined a master... Knowingly unknowingly ...
Never outshine the master..
Unapaswa kuwa humble kama siyo mnafiki....