Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,306
- 185,257
Nasemajeeeeeeee pesa mi hapanaaaa! Wacha nife njaaUoga wako ndiyo umasikini wako... Hahaha
Nasemajeeeeeeee pesa mi hapanaaaa! Wacha nife njaaUoga wako ndiyo umasikini wako... Hahaha
Hii lazima ianze na mwanamke wa aina gani umeoa km umekosea hta ungekuwa unashinda nyumbni kumlinda ungepigiwa tuWahenga walisema fimbo ya mbali haiui nyoka.Ukiwa na Mke au mpenzi mkiwa mnakaa mikoa tofauti au wilaya tofauti ww jua lazima kuna mtu anamtafuta na mwanaume kuna mtu anamtafuna.
Wewe sasa unakufaje na njaa... Wakati au basi ngoja nikae kimya...Nasemajeeeeeeee pesa mi hapanaaaa! Wacha nife njaa
😁😁😁😁😁😁😁!Wewe sasa unakuta njaa... Wakati au basi ngoja nikae kimya...
Mi nilichojifunza Bongo tunaandamania mitandaoni baasi...Nimejifunza bongo ukiandamana unajikuta uko peke yako......
Sawa sawaGrowth requires sacrifices 📌
Ndio mie huyoMbona limekuja mwajuma khamis
😂😂😂 sasa mbona jina la kikeNdio mie huyo
Sio mimi wa kuwa kwenye grid ya taifa kiufupi najiwezaMwanangu Poor Brain anatembea na mashangazi badala aoe, akiunganishwa kwenye gridi itakuaje
Uwezi ukawa wa bombom ww...Nimevurugwa kuliko ninyi watu wa gomz oooh kituo kinachofuata ni bombom ndo napoishi,
Ndio yaani nyie ndo nawataka siku unashangaa ndo huyu faza mi nakucheka tuUmenichekesha Sana mkuu kwamba tupo na mafaza🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ninaitwa nani 🤔Sio mimi wa kuwa kwenye grid ya taifa kiufupi najiweza
Uwezi ukawa wa bombom ww...
Wakati mtaani kwenu wanakuita wakoshua
Naskia unaitwa wa kishuaNinaitwa nani 🤔
Mimi huyu 🤔🤔Naskia unaitwa wa kishua
Alafu Donald trump kakataa kutoa dawa za bureeeee ie. ARV'sMwanangu Poor Brain anatembea na mashangazi badala aoe, akiunganishwa kwenye gridi itakuaje
Mbona ni hatare sanaAlafu Donald trump kakataa kutoa dawa za bureeeee ie. ARV's