Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,598
- Thread starter
- #221
Ni kujipanga tuWatoto hawafilisi
Kila mtu hupewa riziki kulingana na mzigo alionao,usitegemee eti kutokuwa na familia kubwa ndo utatoboa kirahisi
Ni kujipanga tuWatoto hawafilisi
Kila mtu hupewa riziki kulingana na mzigo alionao,usitegemee eti kutokuwa na familia kubwa ndo utatoboa kirahisi
Niko good dogoSwafiiii upo poa by the way?
Mbona mnapemda kuniita dogo mnataka kuni nyima nini?Niko good dogo
Hebu tulia dogo maisha yenyewe mafupiMbona mnapemda kuniita dogo mnataka kuni nyima nini?
Kijana unajikubwaisha 😀😀Mi sio mdogo...
Nina mwili wa kama harmonize sema mi mrefu till enough nakula gym daily...
Sikutishi wala sijisifii ila ndo hv mara nyingi nashindaga na singlend hapa mtaani..
Hapa mtaa wamezoea kuniita FAZA MOYO
Sina baya na mtu 😂😂😂😂😂
Ulivo sema mdogo mdogo nimekumbuka kuna member niliwahi kutana nae anaitwa Vishu Mtata sijui alizania mi dogo ahahaha daah kila mda anajiongelesha tu et "kumbe tupo na mafaza jf hapa. ""
Mnanikimbizia wachumba wananiona mm dogoHebu tulia dogo maisha yenyewe mafupi
😂😂😂reach❌
rich✅
Sio ❌Ushaingizwa mjini sio
🤣🤣
😂😂 Mkuu tunaikuza kiswahili hapa, wala hatufanyi hivi Kwa kuwabeza binadamu wanaochapia, la hasha!
PoleMnanikimbizia wachumba wananiona mm dogo
Jifunzeni roho mbaya mtaishi maisha marefu.Hell
Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia
distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
Mazoea kama huna hunaJifunzeni roho mbaya mtaishi maisha marefu.
SawaPole
Ndiyo mkuu😂😂 Mkuu tunaikuza kiswahili hapa, wala hatufanyi hivi Kwa kuwabeza binadamu wanaochapia, la hasha!
Tusonge mbere kwa mbere sasa 😎.Ndiyo mkuu
mbere kwa mbere❌Tusonge mbere kwa mbere sasa 😎.
Godamn right my manPesa ikikutembelea iheshimu sana.,
Hakuna experience mbaya kama ulikua na flow ya fedha ukarudi chini kabisa
😂😂😂mbere kwa mbere❌
mbele kwa mbele ✅
😂😂