Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,792
- 43,401
Kuna sehemu nimeliona lishangazii la kicongo limenona paja lake kama mguu wa tembooMbona ni hatare sana
Kuna sehemu nimeliona lishangazii la kicongo limenona paja lake kama mguu wa tembooMbona ni hatare sana
Maisha yamenifunza ya kwamba DUNIA haina hurumaHell
Je ni somo gani umejifunza katika maisha ungependa wajifunze wengine pia
distance relationship ina nionyesha kuwa ni kwanini bank ina tawi kila sehemu. Vipi kwa upande wako
Hahaha ukute kajikirimu 😂 na wakongo wanavyo penda weupeKuna sehemu nimeliona lishangazii la kicongo limenona paja lake kama mguu wa temboo
Linene Sana ni limekaa kama li shangingii nene limenonaaHahaha ukute kajikirimu 😂 na wakongo wanavyo penda weupe
HahahahahaLinene Sana ni limekaa kama li shangingii nene limenonaa
Kuna tatuuu moja kwenye upajaa na kikukuHahahahaha
Anataka kuondoka na mtu hapo apate nauli ya kesho 😂Kuna tatuuu moja kwenye upajaa na kikuku
Linalembuaa kinomaa
Ngojaa nikimbiee 🏃🏃🏃
Ukichelewa sana mwisho miaka mingap?Kabisa cheza na muda.
Ata sasaiv tume chelewa bossUkichelewa sana mwisho miaka mingap?
Nakwambiaje mbinguni mtachomwa kwa Moto wenu special!!Labda imekosewa je?
Upole ukizidi sana uta onewa na watu 😂Kwenye haya maisha ukiwa mpole sana utaingiziwa vidole hadi kwenye macho
Na kuwa mwema sana si kigezo cha kupendwa na watu
Bali watautumia wema wako kukuangamiza
Yaan ata ukinifuma gest nita kubishia sio mimi 😂 mm nipo ofisinNakwambiaje mbinguni mtachomwa kwa Moto wenu special!!
KabisaHakuna Kuamini Kiumbe Yoyote Yule Hai...Hata Mti Kwa Maana Unaweza Kukudondokea Kipindi Unajilia Zako Pumziko...Lakini Inahitajika Heshima Tu Kwa Kila Kiumbe Kilicho Hai....
Mhhh 😔Kifo ni baraka.
Acha tuUpole ukizidi sana uta onewa na watu 😂
Swafiiii upo poa by the way?Acha tu