Ni somo gani umejifunza katika maisha

Ni somo gani umejifunza katika maisha

Watu wanakupenda, kukuthamini na kukutafuta UKIWA NA KITU CHA KUWAPA.
Kosa kipato uone kama kuna mtu atakuwa na shida na wewe
Hata ndugu hukukimbia
Very very true....utatukanwa matusi ya reja reja hatari.
Huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni.
Upo kwenye harusi unashangaa walishakuleta krest wakati wee unataka coke baridi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom