Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

hapa najifunza kitu now hususan hl ni sahihi kama ukiwa mnawatoto tayar na kuandikisha jina la familia au watoto.
ila vngnevyo labda tukinunue tukiwa wote mf ukamjenga kumbe ni cha familia yao....

Mkuu naomba nikuulize....

1. Huyo ni mkeo wa ndoa halali?
2. Kiwanja alikinunua kabla/baada ya ndoa?
3. Ndoa yenu ina umri gani? Mna mtoto/watoto?
4. Kipato chako kikoje? Mkeo ana kipato? Kinazidi chako?
5. Una hofu na mkeo? Unampenda? Unahisi anakupenda?

Ngoja tuishie hapo kwanza...
 
Kuna Viwanja vya serikali vilikuwa vinauzwa. Jamaa akaomba kama vinne... kwa jina lake, kingine la mkewe na vingine viwili kwa majina ya wanae. Ikatokea jina la mkewe likabahatika....

Unaweza hisi kilitokea nini??

Hahahah

Lazima kiliuzwa hicho......

Akimstahi sana "atamlipa nusu" ili abadili jina
 
明.Kujenga nyumba ukweni au kwenye kiwanja cha Mkeo ni sawa na kujenga kwenye Hifadhi ya barabara mda wowote tanroads wanakinukisha.

duuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
hii coment ndo inanistres zaid katika hiliiii........
 
Nunua kingine ujenge ukimaliza mpe hela akajenge na kwake, Mi binafsi sipendi mwanaume ajenge kwenye kiwanja changu halafu aje kuishi, sipendi ajishushie heshima kwa familia yangu, wasije wakamchukulia poa

Hii kali....

Yani anunue chake ajenge.....
Then atafute hela ampe mkewe akajenge yake....

Hahahaha BADILI TABIA mke wa ujana wangu, hebu njoo soma hizi comments za wake za vijana wetu...

Seriously hii kauli haiwezi toka kwa a wife material woman. Ndo maana saa nyingine nawaunga mkono masinia bachelaz. Bora wazalishe masingo mazaz tu yaishe....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu naomba nikuulize....

1. Huyo ni mkeo wa ndoa halali?
2. Kiwanja alikinunua kabla/baada ya ndoa?
3. Ndoa yenu ina umri gani? Mna mtoto/watoto?
4. Kipato chako kikoje? Mkeo ana kipato? Kinazidi chako?
5. Una hofu na mkeo? Unampenda? Unahisi anakupenda?

Ngoja tuishie hapo kwanza...

1.ndio
2.kabla
3.miaka 2/ ndo ujauzito
4.changu cha maisha ya mtz wa kawaida( ndo maana nahisi naogopa kingekua kikubwa walaaaa)
chake hakzd changu
5.sina hodo.nampenda. abanipenda. ila misingi naona inanikwamisha
 
Hii kali....

Yani anunue chake ajenge.....
Then atafute hela ampe mkewe akajenge yake....

Hahahaha BADILI TABIA mke wa ujana wangu, hebu njoo soma hizi comments za wake za vijana wetu...

Seriously hii kauli haiwezi toka kwa a wife material woman. Ndo maana saa nyingine nawaunga mkono masinia bachelaz. Bora wazalishe masingo mazaz tu yaishe....

Kama unaweza kumpa Mkeo zawadi ya gari ya gharama utashindwaje kumpa hela ajenge kiwanja chake, watu wanawapa mpaka vimada vitu vya gharama why usimpe Mkeo na wanao wafaidi
 
Last edited by a moderator:
Kama mmefunga ndoa kisheria, na kama mmejaliwa kupata watoto hakuna sheedah! Ila kama mnaishi ishi tu kienyeji, watch out!
 
Wanaume bana
Ingekuwa kiwanja chake mkewe angehangaika heacen n earth wajenge

Ila cha mkewe full kumtisha...... insecurity kibaaaao

Hebu acheni ubinafsi

Mnawavunja mioyo wake zenu wanaojitoa kwa ajili yenu kwa hali na mali... maana hapo mke anajua kumbe mwenzangu yupo mguu nje mguu ndani

BADILI TABIA mimi nakuelewa sana. Tatizo ndoa za kiafrika ni "mume anamuoa mke", dhana ya "kuoana" ipo magharibi zaidi. Sasa kama ninaoa, kiafrika ninatakiwa kumiliki boma, ambapo familia yangu itaishi. Sio ubinafsi, ni mfumo uliopo...hata Asprin ana argue lakini boma ni la mume kiafrika, sisi hatuoani...mume ndio huoa. Hiyo dhana inatubana sisi wanaume!
 
Last edited by a moderator:
Kama unaweza kumpa Mkeo zawadi ya gari ya gharama utashindwaje kumpa hela ajenge kiwanja chake, watu wanawapa mpaka vimada vitu vya gharama why usimpe Mkeo na wanao wafaidi

Mi najua mkishaoana hakuna mali ya mme wala mke. ni mali zenu wote. Mali za familia. Ndio maana hata ikitokea bahati mbaya mkaachana... sheria huwa wazi.... Mnagawana kwa usawa.

Sasa hii biashara mi nijenge yetu afu nikupe hela ukajenge yako... what the hell?? si bora nikuache na likiwanja lako ujipepee??

Anyway, kwa mfano uliyotoa... well.. I rest my case!
 
Kwa lugha nyingine mfumo wa kiafrica unampa mwanaume kutokujiamini......

Maana kujenga kiwanja cha mke hakuondoi dhana kuwa mwanaume ndio kaoa... ndiye kichwa...ndiye baba




BADILI TABIA mimi nakuelewa sana. Tatizo ndoa za kiafrika ni "mume anamuoa mke", dhana ya "kuoana" ipo magharibi zaidi. Sasa kama ninaoa, kiafrika ninatakiwa kumiliki boma, ambapo familia yangu itaishi. Sio ubinafsi, ni mfumo uliopo...hata Asprin ana argue lakini boma ni la mume kiafrika, sisi hatuoani...mume ndio huoa. Hiyo dhana inatubana sisi wanaume!
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu hapa wametoa suluhu nzuri sana kuwa, mke na mume wakubaliane kuweka majina yote. Sheria ya Ardhi ipo wazi kabisa (transfer from one person to himself and another person). Kama hakijapimwa bado mnaweza kumuona wakili akawaandalia memorandum ambayo iko fair.

Hiyo ya kuwaandika watoto mimi siipendi sana, nimeshashuhudia watu wakihangaika kubadilisha jina tena kuja kwao wenyewe kwa sababu mbalimbali.
 
Kwa lugha nyingine mfumo wa kiafrica unampa mwanaume kutokujiamini......

Maana kujenga kiwanja cha mke hakuondoi dhana kuwa mwanaume ndio kaoa... ndiye kichwa...ndiye baba


Niambie wapi kiafrika mtu kaoa kijijini, baada ya hapo akaenda kuishi boma la mkewe? (kwenye shamba la wakwe zake), si kila mtu atamsema kijijini? Same rule applies here...japo hapo mpo mjini.
 
Ndoa zenyewe za siku hizi michepuko kibao hukawii kusikia ndoa imeota magugu, njemba ilijenga kwenye kiwanja cha mkewe humu kumbe kile kiwanja kapewa na ex wake ambaye ndiye jirani yao na ex anajitahidi kwa kila hali kumkwepa mume. Kama jamaa alikubali kujenga wakati title deed ina jina la mkewe basi imeshakula kwake. Unadhani njemba angejua mkewe alipewa kiwanja na ex BF wake na hapo alipo ni jirani yao angekubali kujenga hapo? akili mkichwa miaka hii hata mrembo kama mumewe ana kiwanja na mume anataka wajenge pamoja cha kufanya ni kubadili ownership badala ya kuwa na jina la mume tu iwe na majina yote ya mume na mke. Nadhani utaniunga mkono hapa 🙂🙂

Wanaume bana
Ingekuwa kiwanja chake mkewe angehangaika heacen n earth wajenge

Ila cha mkewe full kumtisha...... insecurity kibaaaao

Hebu acheni ubinafsi

Mnawavunja mioyo wake zenu wanaojitoa kwa ajili yenu kwa hali na mali... maana hapo mke anajua kumbe mwenzangu yupo mguu nje mguu ndani
 
Habar za muda na wakati.kama huuu ndugu msomaji.
Leo napenda unipe uzur, ubaya, tahadhar au chochote ktk hili.
mke wangu anakiwanja ambacho alikinunua kabla hatujawa pamoja na sasa nipo nae anataka tujenge kwenye kiwanja chake mi nimegoma sijakubaliana na hili.
vp wadau hili linakaaje?

Mwenye kiwanja ndo mwenye nyumba
 
BADILI TABIA mimi nakuelewa sana. Tatizo ndoa za kiafrika ni "mume anamuoa mke", dhana ya "kuoana" ipo magharibi zaidi. Sasa kama ninaoa, kiafrika ninatakiwa kumiliki boma, ambapo familia yangu itaishi. Sio ubinafsi, ni mfumo uliopo...hata Asprin ana argue lakini boma ni la mume kiafrika, sisi hatuoani...mume ndio huoa. Hiyo dhana inatubana sisi wanaume!

Huo unaoufikiria ni ushamba kabisa na inaonekana hamna mtazamo wa pamoja as family
 
Last edited by a moderator:
Kwa lugha nyingine mfumo wa kiafrica unampa mwanaume kutokujiamini......

Maana kujenga kiwanja cha mke hakuondoi dhana kuwa mwanaume ndio kaoa... ndiye kichwa...ndiye baba

Mkuu mi nakubaliana na wwe kwa asilimia zote na inawezekana mtoa mada hajui maana ya kuoa au maana ya kuwa kichwa cha familia
 
Aja U.Ji nga Wewe
Halafu Kesho Na Uje Na Thread Isemayo
'mke Wangu Amebadilika Sana Mala Baada Ya Kujenga Nyumba Kwenye Kiwanja Chake!'
 
wanaume wabinafsi na mna roho mbaya kuliko mnavyofikiri!! au labda hamjawa na watoto? huoni hata ukijenga kwa vile mna watoto watakuwa na hifadhi hata mkizinguana na mkeo?

Hahahaa, umri tu ukikua utajua! Cha mwanaume cha familia, cha mwanamke cha mwanamke, akili ya kuambiwa changanya na yako! MAULA huyo mwanamke alinunua kiwanja kwa njia anazozijua, kabla ya mahusiano na wewe, hatuombei mabaya, lakini kuepusha migogoro tafuteni kiwanja kingine mjenge, kuwa naye wazi kabisa kwamba kuna leo na kesho, licha ya nyie kufarakana mmoja wenu anaweza kuondoka duniani akaacha migogoro! NUNUA UWANJA USINING'INIE KWENYE MGONGO WA MWANAMKE!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom