Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

Mfano mzuri ni huku ninapoishi..,

Kunajamaa flani alijenga kwenye sehemu ya mkewe kipindi alipokuwa kzini,.. Sasa ikaja kutokea zogo kazini akatimuliwa so akawa yuko home tu hana hili wala lile pesa hana wala yani kawa zero.
Sasa mke kawa Jeuri balaa, kila siku vurugu mechi..., Jamaa ilimbidi awe mpoleee kwa kushindwa kujiamini na mkimya lakini mke hakukoma akawa anatoka nje ya ndoa.

Ivi nnavyoandika huu uzi jamaa now kawa mlevi wa GONGO kwa mawazo na vitimbwi vya mkewe.
Kuna siku alijaribu kum-command mkewe la la la laaa mamaa alicharuka huyoo balaa.

Sasa niambie kuna kujiamini huko.

Kujenga kiwanja cha mwanamke sikatai lakini hakikisha mwanaume unakuwa na Makazi uliyoyaandaa wewe kama wewe kwanza ikishindikana kabisa japo hata kiwanja.

Wanawake wa sikuhizi hamtabiriki.



Ha haha kwanza mi ni mwanaume

1. Wanawake wanaishi na wanaume kulingana na unavyojiweka sasa kama mtu anakunywa gongo why dada wa watu asigongwe zake nje??!!!
2. Sheria ziko wazi juu ya "co-ownership" ukiwekeza moyoni na kusahau sheria juu yako. . . . . . .
3. Kuandaa makazi ni uwezo kama nguvu yake haitoshi ila wakijumuika wanaweza we unashauri kila mmoja ajenge kabanda kake??!!!
 
Kizzy wizzy, kama mwanaume hajiamini hajiamini tu...awe kajenga kwake kwa mkewe au kapanga.

Na kama mwanamke ni kiburi huwa ni kiburi tu hakiketwi na kujenga kiwanja chake wala nini. Tabia huwa nayo toka mwanzo, hapo ni mwanaume amwbugi kwenyw kuchagua mke


Tatizo sio ubinafsi elewa bibie, Tatizo ni dharau pindi likitokea la kutokea..
Kwanza ukijenga kwenye kiwanja cha mwanamke mtu unakuwa hujiamini, Kunamaamuzi magumu na kauli kama mwanaume utashindwa kuzitoa kwa kuhofia kuvuruga..!

Alafu kingine wanawake wa siku hizi ni mmekuwa tofauti kabisa na zamani, yaani ni mmekuwa majehuri, Viburi na Majivuno ndo mana huwa tunaweka Precaution mbele.


Kurudisha nusu pesa sio kuthamini mchango wa mkewe. Ni kutojiamini na kutoaminiana kwa ndoa za siju hizi.
Kama wanataka kuishi kiuhalisia (ambao kila mmoja deep down anamhofia mwenzie) kila mtu abaki na kiwanja chake...

Ukizungumzia kifo..mbona wapo wanawake wanatimuluwa kwenyw hizo nyumba za waume zao???

Anyway ndoa ni vile mnavyoishi.....
Ni vike mlivyojenga misingi yenu toka mwanzo...
Ni vile mlivyochaguana...

Kama mume alichagua koroma sawa...
Kama mke nae alichagua koroma sawa..

Ndio wabadilishe tittle deed hiyo kurudishiana nusu ni fair arrangement pia inaonesha mume anathamini mchango na jitihada za mkewe. . . .na appreciation kuwa "it worths the struggle" mke ana hiari ya kupokea au kukataa au akapokea na kusema hii tuanzie msingi. . . . . .

Mabalaa yako mengi pamoja na mmoja kufariki hivi akifa mke wakati all documents ziko kwa jina lake halafu familia yake ikaja kusema nyumba ilikuwa ya mtoto wao hilo sio balaa. . . . .??!!! Muanze mvutano na vikao visivyo mbele wala nyuma kujadili jambo ambalo uliliona kabisa linakuja. . . . .

Ni bora kuishi uhalisia kuliko kiweka kila kitu in the name of love. . . . .

Sheria iliwekwa kuzingatia yote haya na kama kweli mmekubaliana kuishi wote ina ugumu gani kuweka mambo kisheria kwa faida yenu na watoto???!!!
 
kunahaya matukio mawili ndo huwa yananikatisha tamaaa...
1.kunajamaa alijenga nyumba yake na kiwanya kilikua chake akapishana na mke wake akahama akamwachia mke nyumba na watoto yeye akahamia eneo jingine km 90 hv kutoka pala but after few weeks yule mwanamke katafuta kinjemba anakaa nacho jamaa stor zikamfkia.
kaenda mahakaman mahakama ikaamua vizur sana kua yule mwanamke kwa kua ameolewa tena aham ktk nyumba awaache watoto au aachane na hicho kinjemba abak na wa toto. kuhama hatak coz ataenda akae wap kinjemba chenyewe ndo kinategemea kicheze uduku kwa huyu mke ndo kipate chochote.
mume harisi nae ameufurahia ushaur wa mahakama lakn miaka mi3 imepita haujatekelezeka.........
sasa nambie stress za miaka 3 utaweza vumiliaaaaa?!!!!!!
na
2.kunyajamaa alijenga kiwanja cha mke wake sawa wao wanaishi kwa aman ktk nyumba nyingine na ile ya awal mkewe kamleta kaka.ake anaishi na familia yake buuure.
kinachotuuma wengi ni kuona mke wa huyu kaka anaeishi ktk nyumba ya dada ake kajaza ndugu wa upande wake na hataki hata kusikia ndugu wa upande wa kiume na wakati huenda dhumun la dada mtu na mmewe kumpa kaka yao akae pale ni kupunguza ugumu wa maisha wa kaka yake lakin anae faid ni mke sasa na sio kaka sasa hadi shem aliejenga hajiskii vzur.
sasa daaaa sijui tutapona...
 
1. BADILI TABIA. . . . .Sheria iliona yote hayo. . . Wanawake wanatimuliwa sababu hakuna maandishi kisheria yanayoonesha japo "mimi mume wa fulani nikifa basi mke na watoto wangu wabaki na nyumba hii ikiwa mali yao halali" ndio hayo ya kutegemea mapenzi badala ya permanent solution za kisheria.. . .

2. Kurudisha pesa ni appreciation yes. . . . .kujiamini kuna basis kwa case hii kujiamini ni kuwa legal party ya kinachomilikiwa by virtue of both love , affection and cost. . . . .Kwani ye alikiokota? ?!! Si alinunua kwa pesa ambayo angeweza kufanyia mengine. . . .ni kama unanunua shares, pia kuna gharama ya kutunza kiwanja mpaka unakikuta pesa aliokota??!!! Unatakiwa utoe hilo wazo yeye atakataa kwa utashi wake sio mwanaume u assume tu kuwa mke anacho basi chetu. . . . . na kufanya hivi haimaanishi humpendi ila usipofanya ndio unakuwa humpendi sababu huweki misingi ya kudumu ya kisheria

3. Naona unaongelea sana kuchagua as if kuna technique maalum inayokuonesha future behaviours . . . .Hebu saidia jamvi kwa hivyo vigezo ili kunusuru kupata "koroma". . . . .
 
Last edited by a moderator:
Ha haha kwanza mi ni mwanaume

1. Wanawake wanaishi na wanaume kulingana na unavyojiweka sasa kama mtu anakunywa gongo why dada wa watu asigongwe zake nje??!!!
2. Sheria ziko wazi juu ya "co-ownership" ukiwekeza moyoni na kusahau sheria juu yako. . . . . . .
3. Kuandaa makazi ni uwezo kama nguvu yake haitoshi ila wakijumuika wanaweza we unashauri kila mmoja ajenge kabanda kake??!!!

Mkuu kwanza sorry kwa kukudhania wewe ni Ke.

Pili OLESAIDIMU nakubaliana na wewe kwenye point namba 1. na 2.

Sishuri kila mtu ajenge kibanda chake ila mwanaume ni vizuri ukajenga sehemu uliyonunua wewe au unayomiliki.
Hii huepusha mambo mengi sana mkuu.

Mfano mwingine... Nina bamkubwa wangu ameoa na alijenge kabla hajaoa nyumba kubwa tuu. Sasa baada ya kuacha kazi mkewe akaanza kumdharau na kuanza kuleta za kuleta ila mdingi alisimama wima na kumtuliza kama aliyokuwa anamfanyia zamani alipokuwa kazini.

Sasa embu niambie kama angekuwa kajenga kwenye kiwanja cha mkewe ndoa si ndo ingekuwa kwenye hatihati.

Mambo haya wala hauhitaji kujiuliza saaaana, yapo wazi kabisa!
 
Last edited by a moderator:
kunahaya matukio mawili ndo huwa yananikatisha tamaaa...
1.kunajamaa alijenga nyumba yake na kiwanya kilikua chake akapishana na mke wake akahama akamwachia mke nyumba na watoto yeye akahamia eneo jingine km 90 hv kutoka pala but after few weeks yule mwanamke katafuta kinjemba anakaa nacho jamaa stor zikamfkia.
kaenda mahakaman mahakama ikaamua vizur sana kua yule mwanamke kwa kua ameolewa tena aham ktk nyumba awaache watoto au aachane na hicho kinjemba abak na wa toto. kuhama hatak coz ataenda akae wap kinjemba chenyewe ndo kinategemea kicheze uduku kwa huyu mke ndo kipate chochote.
mume harisi nae ameufurahia ushaur wa mahakama lakn miaka mi3 imepita haujatekelezeka.........
sasa nambie stress za miaka 3 utaweza vumiliaaaaa?!!!!!!
na
2.kunyajamaa alijenga kiwanja cha mke wake sawa wao wanaishi kwa aman ktk nyumba nyingine na ile ya awal mkewe kamleta kaka.ake anaishi na familia yake buuure.
kinachotuuma wengi ni kuona mke wa huyu kaka anaeishi ktk nyumba ya dada ake kajaza ndugu wa upande wake na hataki hata kusikia ndugu wa upande wa kiume na wakati huenda dhumun la dada mtu na mmewe kumpa kaka yao akae pale ni kupunguza ugumu wa maisha wa kaka yake lakin anae faid ni mke sasa na sio kaka sasa hadi shem aliejenga hajiskii vzur.
sasa daaaa sijui tutapona...

Case number one. . . .Maamuzi yameshatoka kusimamia ni suala la uamuzi tu jamaa akikomaa ni kuchukua brokers wanatoa vitu nje nyumba inafungwa ila bado hajaamua ndio maana ana kigugumizi. . . . . . .Kaacha huku bado anapenda. . . . . .


Case number two. . . Nyumba na mali za familia ni kwa ajili ya mke na mume na watoto basi trickle down effect itaenda kwa ndugu indirectly. . . .Unapoamua kuweka emotion kwenye property maana yake hutaki monetary benefits na ndicho walichoamua sasa kelele za nini solution ilikuwa kupangisha na seemu ya kodi wasaidiwe wenye shida nyingine iende kwa accounts za watoto

Huwezi changanya ubinadamu na mambo ya kisheria by equal portions ukabaki stable. . . . . .
 
Mkuu kwanza sorry kwa kukudhania wewe ni Ke.

Pili OLESAIDIMU nakubaliana na wewe kwenye point namba 1. na 2.

Sishuri kila mtu ajenge kibanda chake ila mwanaume ni vizuri ukajenga sehemu uliyonunua wewe au unayomiliki.
Hii huepusha mambo mengi sana mkuu.

Mfano mwingine... Nina bamkubwa wangu ameoa na alijenge kabla hajaoa nyumba kubwa tuu. Sasa baada ya kuacha kazi mkewe akaanza kumdharau na kuanza kuleta za kuleta ila mdingi alisimama wima na kumtuliza kama aliyokuwa anamfanyia zamani alipokuwa kazini.

Sasa embu niambie kama angekuwa kajenga kwenye kiwanja cha mkewe ndoa si ndo ingekuwa kwenye hatihati.

Mambo haya wala hauhitaji kujiuliza saaaana, yapo wazi kabisa!

1. Mifano yote unatoa ni wanawake wasiojiweza na hawana nyumba, hivi umewaza kuwa kuna wanawake unamkuta ana nyumba na kiwanja na kiwanja chake kipo pazuri kwa maisha ya familia na yuko tayari mjenge hapo??!!! Wewe say unanyumba na kiwanja pia ila chako kipo mbali na mjini mathalani. . . ??!!!

2. Ongozwa na sheria linapokuja suala la property it be access, benefits, ownership, disposal au acquisition, transfer na mengine yote. . . . . .kama hutaki hekaheka. . . . .. ukiongozwa na "yaani honey huniamini" shauri yako . . . . . . . . honey wa leo aweza kuwa hook ya kesho. . . .Wekeni maslahi ya kila mmoja na watoto wenu kisheria.. . .
 
Last edited by a moderator:
Hivi kuna umuhimu gani wa kuoana(kuwa mwili mmoja) ilihal mnashindwa kushare
Yaani unaishi na Mtu kimachale...
Khaaa ndo maana nimejiwekea principles zangu men are too selfish
 
Wanaume bana
Ingekuwa kiwanja chake mkewe angehangaika heacen n earth wajenge

Ila cha mkewe full kumtisha...... insecurity kibaaaao

Hebu acheni ubinafsi

Mnawavunja mioyo wake zenu wanaojitoa kwa ajili yenu kwa hali na mali... maana hapo mke anajua kumbe mwenzangu yupo mguu nje mguu ndani

Ndo walivyo wanataka kushare dudu na kufanyiwa kazi ndani ila linapokuja swala la kumsuport mkewe kwa kidogo alichonacho never yaani basi tu...ndo maana nafanya yangu kimya kimya.
 
Naunga mkono hoja....

Wanaume siku hizi wanaanza kuwa waoga kama mabinti.

Mwanamke akishakuwa mkeo.... vyote alivyo navyo vinakuwa chini ya mamlaka yako. Hapa nazungumzia mke kwa maana ya mke....

Sheria za ndoa ziko wazi sijui kwanini wanaume wanakuwa waoga?? Hivi siku hizi mtu anaoa huku akifikiria kuachana??

Naomba nikuajiri
 
Ukitaka kuyaona maisha yalivyo machungu Jaribu kujenga hapo...
Siku mkizinguana atakwambia ''chukua nyumba yako niachie kiwanja changu''
Sasa sijui hiyo nyumba utaiweka mfukonii...!!:confused2:
hahahahahaha tena atakuambia ikifika jioni nikute umetoa nyumba yako hapa kwenye kiwanja changu nijenge mwenyew
 
Hivi kuna umuhimu gani wa kuoana(kuwa mwili mmoja) ilihal mnashindwa kushare
Yaani unaishi na Mtu kimachale...
Khaaa ndo maana nimejiwekea principles zangu men are too selfish

Hivi naomba kuuliza, ku share maana yake hamuweki mambo kisheria??!!
 
Hivi kuna umuhimu gani wa kuoana(kuwa mwili mmoja) ilihal mnashindwa kushare
Yaani unaishi na Mtu kimachale...
Khaaa ndo maana nimejiwekea principles zangu men are too selfish

Mmezidi bana ndiyo sababu huwa tunaogopa kitakwimu wanawake wengi wameolewa na hawana kipato chochote ila mwanaume anaishi naye vizuri tena kwa amani ila kwa wanawake waliona uwezo kuliko mwanamume utajuta kuzaliwa masikini.
 
Wanaume kwa ubinafsi....

Angekuwa kiwanja chako ungemshinikiza akakope ofisini benki vikoba ili mjenge..... ila kwa vile ni cha mke.....
We mwanamke unaakili sana mumeo anafaida, hasara alishasahau!

Watu wanachelewesha maendeleo bure kisa unabinafsi, hivi mfano leo hii umedondoka mbele za haki ni nani atashikilia mirathi yako!? kama si mkeo? Au nae atafukuzwa na ukoo wa mumewe?
 
hahahahahaha tena atakuambia ikifika jioni nikute umetoa nyumba yako hapa kwenye kiwanja changu nijenge mwenyew
ndege wanao fanana ndio wanao ruka kundi moja, ukiona mkeo anauthubutu wa kukutimua kwa maneno hayo ujue wewe pia unaweza kumtimua yeye kwa maneo hayo hayo.
 
BADILI TABIA.

2. Kurudisha pesa ni appreciation yes. . . . .kujiamini kuna basis kwa case hii kujiamini ni kuwa legal party ya kinachomilikiwa by virtue of both love , affection and cost. . . . .Kwani ye alikiokota? ?!! Si alinunua kwa pesa ambayo angeweza kufanyia mengine. . . .ni kama unanunua shares, pia kuna gharama ya kutunza kiwanja mpaka unakikuta pesa aliokota??!!! Unatakiwa utoe hilo wazo yeye atakataa kwa utashi wake sio mwanaume u assume tu kuwa mke anacho basi chetu. . . . .

Mkuu ebu nieleweshe hiki kipengele...hivi ukitoa pesa za ujenzi unakuwa hujafanya cost sharing? na ikiwa wewe ndio jina la umiliki ni lako na mkeo akasaidia kutoa kiasi katika ujenzi utamwambia habari za umiliki wa kisheria? na je usipofanya hivyo unakuwa humpendi na huthamini mchango wake? Ebu fafanua.
 
Ndo manake, Nyie Ke Sijui huwa mna matatizo gani... Yani mkishika vichenji huwa mnakuwaga na dharau kweli
Tena hasa ukigundua unamzidi Me kipato ndo kabisaa...!

Nasema hivyo kwasababu nimeshuhudia!
:confused2:

Ndo ivo mmeaswa kuishi na sisi kwa akili.lasivo inakula kwenu.japo sio wote.ila mda wowote we jua kwa mwanamke mambo yanaeza geuka mbele nyuma,kushoto kulia.
Once again sio wote.
 
Back
Top Bottom