Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

MAULA

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
1,056
Reaction score
171
Habar za muda na wakati.kama huuu ndugu msomaji.

Leo napenda unipe uzuri, ubaya, tahadhari au chochote katika hili. Mke wangu anakiwanja ambacho alikinunua kabla hatujawa pamoja na sasa nipo nae anataka tujenge kwenye kiwanja chake mi nimegoma sijakubaliana na hili.

Vipi wadau hili linakaaje?
 
Ukitaka kuyaona maisha yalivyo machungu Jaribu kujenga hapo...
Siku mkizinguana atakwambia ''chukua nyumba yako niachie kiwanja changu''
Sasa sijui hiyo nyumba utaiweka mfukonii...!!:confused2:
 
Ikiwa hivyo Basi nunueni Pamoja mjenge..
 
sihisi kama nisahihi yaan mind yangu imegoma kabisa swala hili sihis kama ni sahh kwan nahic ntanyanyasika baadae

Nunua kingine mjenge,hapo fanyieni maendeleo mengine. Ila kama ni mkeo wa ndoa sioni sababu ya kuogopa
 
Habar za muda na wakati.kama huuu ndugu msomaji.
Leo napenda unipe uzur, ubaya, tahadhar au chochote ktk hili.
mke wangu anakiwanja ambacho alikinunua kabla hatujawa pamoja na sasa nipo nae anataka tujenge kwenye kiwanja chake mi nimegoma sijakubaliana na hili.
vp wadau hili linakaaje?


Jenga tu kwani uwoga wa nini? Kama ni mke wako na ikitokea mkaachana si kuna sheria za nchi ambazo zinaamua ya kwamba mali ni 50/50 sasa wasi wasi wako ni nini?
Maadamu mmeoana kisheria Kiwanja chake ni chako pia hivyo hakuna kitu anachoweza kukufanya angalau kisheria!
 
Wanaume kwa ubinafsi....

Angekuwa kiwanja chako ungemshinikiza akakope ofisini benki vikoba ili mjenge..... ila kwa vile ni cha mke.....
 
Ogopa hiyo kitu bora ukinunue kiwe chako kuliko kujenga kwake maana ataja kwambia utoe nyumba yako achukue kiwanja chake
 
Kama umemuoa na mna watoto maisha yako yameisha sasa andaa ya watoto wako. . . .Kama kuna utata nenda kwa mwanasheria muandike declaration hiyo property ni yenu wote mbadili na documents au la mrudishie nusu ya bei kisheria na iwe matrimornial property

Fikiria watoto zaid juu ya hili
 
sihisi kama nisahihi yaan mind yangu imegoma kabisa swala hili sihis kama ni sahh kwan nahic ntanyanyasika baadae

ila unapenda mkizinguana mwanamke ndo anyanyasike?
 
wanaume wabinafsi na mna roho mbaya kuliko mnavyofikiri!! au labda hamjawa na watoto? huoni hata ukijenga kwa vile mna watoto watakuwa na hifadhi hata mkizinguana na mkeo?
 
Ukitaka kuyaona maisha yalivyo machungu Jaribu kujenga hapo...
Siku mkizinguana atakwambia ''chukua nyumba yako niachie kiwanja changu''
Sasa sijui hiyo nyumba utaiweka mfukonii...!!:confused2:

Hahhahahaaa.nimecheka sana hii jama.duh!eti chukua nyumba yako.lol
 
Best option ni kukinunua toka kwa mkeo, even half price sio mbaya then muende mkabadilishe documents toka kwa umiliki wa miss.... na kuwa cha familia ya Mr. & Mrs...... Otherwise siku mambo yakiwa mabaya utaona mbingu zikishuka.
 
Back
Top Bottom