Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

Jenga tu mkuu ila kama hakijapimwa, pimeni na mkiandikishe kama cha mtoto n.k
 
Habar za muda na wakati.kama huuu ndugu msomaji.
Leo napenda unipe uzur, ubaya, tahadhar au chochote ktk hili.
mke wangu anakiwanja ambacho alikinunua kabla hatujawa pamoja na sasa nipo nae anataka tujenge kwenye kiwanja chake mi nimegoma sijakubaliana na hili.
vp wadau hili linakaaje?

kwa mfano kiwanja kingekuwa chako,halafu mkeo kapata hela ungekubali ajenge kwenye kiwanja chako??!!! jibu lako la kweli ndio utumie kuchukua uamuzi......99% ya wanaume humu wangekubali wake zao wajenge kwenye viwanja vyao!
 
Habar za muda na wakati.kama huuu ndugu msomaji.
Leo napenda unipe uzur, ubaya, tahadhar au chochote ktk hili.
mke wangu anakiwanja ambacho alikinunua kabla hatujawa pamoja na sasa nipo nae anataka tujenge kwenye kiwanja chake mi nimegoma sijakubaliana na hili.
vp wadau hili linakaaje?
Kama mna watoto nae sawa jenga siku mkigombana anakua kishachukua mali yake na itawatunza wanao ila kama ni bado usithubutu
 
Labda ungeuliza hivi; "Ni sahihi kumjengea mke wako?" Jibu ni ndiyo, hakuna ubaya. Kujenga kwenye kiwanja cha mke wako na bado kuihesabu hiyo nyumba yako sio sahihi.

Inategemea unaielewaje ndoa. Kwenye ndoa mali zinazochumwa ni za wanandoa hakupashwi kuwa na nafasi ya ubinafsi. Ukiweka ubinafsi kwenye ndoa, then hapo hakuna ndoa. Sioni ubaya wa kujenga kwenye kiwanja alichokuwa anamiliki mke wako kabla hamjafunga ndoa ili mradi masharti na vigezo vya uwepo wa ndoa vizingatiwe.

Tiba
 
Kama kuna watu hawana zamana duniani basi mwanamke ni moja wao mwanamke hazaminiki. Lugha nyingine wanaitwa geuza mwendo hawakawiagi kubadili mwendo.
 
Achana na Mawazo ta kitoto. Jenga nyumba, muishi kwa amani. Mbona hujiamini? Kwani mkiachana ndo we utakufa? Wangapi wamekufa bila nyumba? Kwani mkeo hata mkiachana ukamuachia hiyo nyumba atafaidi mini cha ziada sana zaidi ta kuacha kumbukumbu yako kwake? Think positive kijana 1+1=2 ndo maisha ya Leo. Badilikeni jamani. Mi ni kidume usijefikiri ni mwanamke
 
Huu ndio ushauri uliotulia na muafaka ili mkeo asikununie.

Best option ni kukinunua toka kwa mkeo, even half price sio mbaya then muende mkabadilishe documents toka kwa umiliki wa miss.... na kuwa cha familia ya Mr. & Mrs...... Otherwise siku mambo yakiwa mabaya utaona mbingu zikishuka.
 
Wanaume bana
Ingekuwa kiwanja chake mkewe angehangaika heacen n earth wajenge

Ila cha mkewe full kumtisha...... insecurity kibaaaao

Hebu acheni ubinafsi

Mnawavunja mioyo wake zenu wanaojitoa kwa ajili yenu kwa hali na mali... maana hapo mke anajua kumbe mwenzangu yupo mguu nje mguu ndani

Mkuu

Mi nishamkanya sasa naona bado anakiherere ngoja yamkute.
Mleta thread usidanganywe na comments za kina BADILI TABIA
Wenzako tumeyashudia ndomana tunakushauri hivi.
 
Last edited by a moderator:
Wanaume kwa ubinafsi....

Angekuwa kiwanja chako ungemshinikiza akakope ofisini benki vikoba ili mjenge..... ila kwa vile ni cha mke.....

Hii thread imenifundisha kitu kimoja kikubwa sana kuhusu hizi ndoa za siku hizi.....

Siku hizi kuoa imekuwa fasheni tu.
 
Mambo ya mpaka kifo kitutenganishe hakuna

Hii thread imenifundisha kitu kimoja kikubwa sana kuhusu hizi ndoa za siku hizi.....

Siku hizi kuoa imekuwa fasheni tu.

Wanawaza kuachana tu
 
Achana na Mawazo ta kitoto. Jenga nyumba, muishi kwa amani. Mbona hujiamini? Kwani mkiachana ndo we utakufa? Wangapi wamekufa bila nyumba? Kwani mkeo hata mkiachana ukamuachia hiyo nyumba atafaidi mini cha ziada sana zaidi ta kuacha kumbukumbu yako kwake? Think positive kijana 1+1=2 ndo maisha ya Leo. Badilikeni jamani. Mi ni kidume usijefikiri ni mwanamke

Naunga mkono hoja....

Wanaume siku hizi wanaanza kuwa waoga kama mabinti.

Mwanamke akishakuwa mkeo.... vyote alivyo navyo vinakuwa chini ya mamlaka yako. Hapa nazungumzia mke kwa maana ya mke....

Sheria za ndoa ziko wazi sijui kwanini wanaume wanakuwa waoga?? Hivi siku hizi mtu anaoa huku akifikiria kuachana??
 
Kwa nchi za ulaya na eshia inawezekana, Afrika dhubutu!!! Baada ya nyumba kumalizika atakutaftia kosa ili akutimue. Au labda wako tofauti???
 
Wanaume bana
Ingekuwa kiwanja chake mkewe angehangaika heacen n earth wajenge

Ila cha mkewe full kumtisha...... insecurity kibaaaao

Hebu acheni ubinafsi

Mnawavunja mioyo wake zenu wanaojitoa kwa ajili yenu kwa hali na mali... maana hapo mke anajua kumbe mwenzangu yupo mguu nje mguu ndani

Kuna Viwanja vya serikali vilikuwa vinauzwa. Jamaa akaomba kama vinne... kwa jina lake, kingine la mkewe na vingine viwili kwa majina ya wanae. Ikatokea jina la mkewe likabahatika....

Unaweza hisi kilitokea nini??
 
hapa najifunza kitu now hususan hl ni sahihi kama ukiwa mnawatoto tayar na kuandikisha jina la familia au watoto.
ila vngnevyo labda tukinunue tukiwa wote mf ukamjenga kumbe ni cha familia yao....
 
Habar za muda na wakati.kama huuu ndugu msomaji.
Leo napenda unipe uzur, ubaya, tahadhar au chochote ktk hili.
mke wangu anakiwanja ambacho alikinunua kabla hatujawa pamoja na sasa nipo nae anataka tujenge kwenye kiwanja chake mi nimegoma sijakubaliana na hili.
vp wadau hili linakaaje?

Nunua kingine ujenge ukimaliza mpe hela akajenge na kwake, Mi binafsi sipendi mwanaume ajenge kwenye kiwanja changu halafu aje kuishi, sipendi ajishushie heshima kwa familia yangu, wasije wakamchukulia poa
 
Kama umemuoa na mna watoto maisha yako yameisha sasa andaa ya watoto wako. . . .Kama kuna utata nenda kwa mwanasheria muandike declaration hiyo property ni yenu wote mbadili na documents au la mrudishie nusu ya bei kisheria na iwe matrimornial property

Fikiria watoto zaid juu ya hili
Haswa.
Kina mama tumeelimika. Tusichukue mikopo kujenga kwenye kiwanja cha mume!!!
Tuhakikishe jina linaandikwa la mtoto au yote mawili si tunaona mtazamo wa upande wa pili?
 
Kumbuka kua hakuna hati ya nyumba kuna hati ya kiwanja tu.tafakari.
 
明.Kujenga nyumba ukweni au kwenye kiwanja cha Mkeo ni sawa na kujenga kwenye Hifadhi ya barabara mda wowote tanroads wanakinukisha.
 
Back
Top Bottom