Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

Ni sahihi kujenga kwenye kiwanja cha mkeo?

Mkuu ebu nieleweshe hiki kipengele...hivi ukitoa pesa za ujenzi unakuwa hujafanya cost sharing? na ikiwa wewe ndio jina la umiliki ni lako na mkeo akasaidia kutoa kiasi katika ujenzi utamwambia habari za umiliki wa kisheria? na je usipofanya hivyo unakuwa humpendi na huthamini mchango wake? Ebu fafanua.

Mkuu kwa mwanaume ukioa hayo unakuwa umeyapanga kuwa sasa naoa na mwanamke huyu atakaa chini ya ubavu wangu hivyo nitampenda, nitamuheshimu na nitamlea yeye na watoto tutaojaaliwa kwa jasho langu! !! Hivi ndivyo nilifundishwa nilipokuwa naoa huko kijijini kwetu, sikuambiwa hata siku moja kupangia matumizi kipato cha mke wangu isipokuwa kwa utashi wake afanye hivyo akiona kuna uhitaji. . . . .

Ikiwa umiliki ni wangu na yeye ndie mama wa watoto wangu basi mie wazo langu kuu ni siku nisipokuwepo wataishije. . . . .So suala la sheria liko pale pale tena kimaandishi kabisa!!!

Nikitoa pesa za ujenzi wakati kisheria umiliki uko kwake nitakuwa nimechangia ujenzi katika kiwanja chake tu. . . ."sharing" inaanzia na "ownership" you dont talk of sharing while you are out of ownership equation. . . . . . I never ever bank on gentleman agrement when it comes to property nashukuru mke wangu alilielewa hili na yeye anaishi hivyo. . . . . . .tumejifunza kwa waliotangulia and we decided kujifunza kwa makosa yao

We rock the boat now
 
We mwanamke unaakili sana mumeo anafaida, hasara alishasahau!

Watu wanachelewesha maendeleo bure kisa unabinafsi, hivi mfano leo hii umedondoka mbele za haki ni nani atashikilia mirathi yako!? kama si mkeo? Au nae atafukuzwa na ukoo wa mumewe?

Fuatilia habari za mirathi na wanawake wanavyonyanyasika utajua nini maana ya kuandika mambo yako kisheria ukiwa hai na akili timamu. Kama kweli unajali mke na wanao huwezi ishi bila kufikiria survival yao siku ukiitika wito wa kudumu!!!!!!!

Kama kweli unawapenda kwa nini usihakikishe wataishi bila kusumbuka huku na kule kukaa vikao na mashahidi kuongelea mambo ambayo unaweza kuyatatua ukiwa hai na afya yako???!!
 
Habar za muda na wakati.kama huuu ndugu msomaji.
Leo napenda unipe uzur, ubaya, tahadhar au chochote ktk hili.
mke wangu anakiwanja ambacho alikinunua kabla hatujawa pamoja na sasa nipo nae anataka tujenge kwenye kiwanja chake mi nimegoma sijakubaliana na hili.
vp wadau hili linakaaje?

Nunua chako au nunueni pamoja.


*****************
Wadau msisahau

Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE

ingia kwa link hii chini

http://mama.mtv.com/voting/


Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************
 
Ndo ivo mmeaswa kuishi na sisi kwa akili.lasivo inakula kwenu.japo sio wote.ila mda wowote we jua kwa mwanamke mambo yanaeza geuka mbele nyuma,kushoto kulia.
Once again sio wote.

Kumtambua huyo ambye mambo hayawezi kugeuka ndo ishuu..Maana wote mnafanana
 
Back
Top Bottom