Yes ni ukweli au hauko mbali na Ukweli.....
Japo ungeelezea ingekua unyama.
Kwanza nianze kwa kusema simaanishe kwamba Em ni rapa mbaya au sio GOAT, But nafikiri watu wanapaswa kuijua FACT hii.......USA ilikozaliwa Hip Hop 70% ya watu ni Wazungu na black ni chini ya 30%
Hawa 70% ndio wanaomfanya Em kuwa Mungu wa Rap kwa sababu hawa ndio wanao nunua kazi za Em na sio za Nas au Hov
Hawa 70% wakiamua kununua kazi zako, kuhudhuria shows zako, kupiga kazi zako kwenye media zote, wakiamua kukuvote kwenye award, wakiamua kupiga ngoma zako club muda wote, wakiamua kukomaa kwenye mijadala kwenye social media kwamba wewe ni GOAT........my friend basi utakua mkubwa kweli kweli
Kama Em angekuwa Black au majority wangekua ni black hakika tusingekuwa hata na huu mjadala
Anyway tu assume Em ni black na tuangalie UBORA kwa jicho la kiufundi based na OPINION
1. TECHNIICAL SKILLS AND DELIVERY Em ni mtundu sana wa kucheza na maneno, Nas sio mtundu kwenye woldplay lakini ni mzuri sana kwa namna anavyo wasilisha ujumbe
2. FREE-STYLING - Eminem kamuacha mbali sana Nas
3. FLOW- Nas’ voice ipo matured na ana “artistic flow” Em anapiga sana kelele na u comedy mwingi ila ana speed zaidi
4. STORYTELLING - Hapa haina mjadala Nas ni bora sana , Nas ana “story telling Intellectual lyricist” kuhadithia na yupo more details wakati Em yupo straight forward
5. LYRICALLY- Nas hili ndio eneo lake la kujidai, namna anavyoandika. Ushairi wa Nas unasomwa kama ref kwenye vyuo na wanazuoni wa poet
6. INFLUENCE AND IMPACTI- Nas ame influence Rapper wengi sana akiwemo Em mwenyewe lakini pia Nas pia alileta impact kubwa sana kuanzia kwenye UANDISHI, album kama illmatic ni kama msaafu/bible ya hip hop. Album hii imetambuliwa na kuhifadhiwa na maktaba ya congress kama masterpiece kwa art yake, lakini beef lake na Hov ni one of the hell kwenye hip hop na ilizalisha the best classic dis track of all time ETHER......zaidi ya Rapper 50 wame sample hii kwenye dis track zao akiwemo Em
7. Commercial success- Eminem ameuza zaidi 220 million copies wakati nas kauza 25 million, zaidi ya mara 10 ya Nas
8. BEAT - Em ana beat nyingi nzuri na soft wakati Nas beat zake ngumu wanazielewa zaidi hip hop die hard fans
9. Em alikiri kwenye Till I collapse song kwamba Nas is better than him
10. Award, Recognition and reputation - Em ana awards nyingi sana kuliko Nas, Lakini Nas ana reputation na respect kubwa sana miongoni mwa Rapper wenzake na mtaani kwa walaji original wa hip hop kuliko Em
Nimalize kwa kusema kama unapenda tu midundo na rhythm na haujali sana mtu anaimbaje basi Em anaweza kuwa bora kako
Lakini kama unasikiliza in details basi nas is far way better kuliko Em