Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

Ngoja niwawekee Garammy awars profile za hawa Watu

Jay Z
Eminem
Kendrick lamar
Nas
J cole.
 
Kuna watu wanaongeaa kwa kujidai wanajua sana mziki wa rap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani kijana upo geto kwako ukila ganja ukisikiliza nyimbo za Nas unaona eehe hizi ndo zenyeww unaanza kuja kubweka hapaa... Data zinaongeaa wew ukitaka Kubweka bwekaa tuu..!! Compare Eminem na mtu ka Jay Z sio utumbo wenu hapaa.. Eti J cole unamfananisha na Kendrick sijui ni bhangi za wapi. Angalia Profile za Grammy alafu uje uanze kusema tuzo sio kigezooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anyway kuna tatizo mahali.
Screenshot_20220501-043609_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220501-043813_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220501-043850_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220501-043941_Samsung%20Internet.jpg
Screenshot_20220501-044033_Samsung%20Internet.jpg
 
Kuna watu wanaongeaa kwa kujidai wanajua sana mziki wa rap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani kijana upo geto kwako ukila ganja ukisikiliza nyimbo za Nas unaona eehe hizi ndo zenyeww unaanza kuja kubweka hapaa... Data zinaongeaa wew ukitaka Kubweka bwekaa tuu..!! Compare Eminem na mtu ka Jay Z sio utumbo wenu hapaa.. Eti J cole unamfananisha na Kendrick sijui ni bhangi za wapi. Angalia Profile za Grammy alafu uje uanze kusema tuzo sio kigezooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anyway kuna tatizo mahali.View attachment 2206805View attachment 2206806View attachment 2206807View attachment 2206808View attachment 2206809
Unajua Eminem mwenyewe ana mtazano gani kuhusu hizo Grammy ?

 
Matatizo ya msanii na awards flani hayahusiani kabisa na ubora wa mwanamziki....!! Kumfananisha Eminem na J cole ni MATUSI acheni kujidai mnaju rap...
Umeelewa alichokisema Eminem ? Unajua matatizo kati ya wasanii wa Hip-Hop na Grammy awards yana ukubwa kiasi gani na yameanza lini ? unafikiri ni Eminem tu ndio anamatatizo na hizo Grammy awards ?

Ukisema kwamba Grammy awards ndio kipimo cha ubora wa msanii wa Hip Hop basi hata akina 2pac na Notorious Big ni takataka na hawahitaji kuheshimiwa. Grammy awards hazimaanishi eti wewe ndio mwana hip hop bora, hizo grammy awards ndio ziliamua kuwa Macklemore na album yake "The Heist" ni bora kuliko Kendrick Lamar na 'Good Kid, m.A.A.d City', na ndio award zilizoamua kwamba 50 cent hakuwa msanii mpya bora kwa mwaka 2004.

Grammys zimetumika kisiasa tu kukandamiza mziki wa hip hop, ndio maana hata Kanye West (mwenye Grammys 24) alirekodi video anakojolea moja ya award zake.
 
Mbona wewe hujaelezea uzuri wa Eminem anakipi Cha ziada kwenye ubora wake?
Comment za wote unabishana nao wanatoa fact lakini wewe hamna hata moja kazi umebakia kusifia na kupinga bila vigezo.
Huu ni utoto unaleta halafu kama hujui Ubora wa NAS ni vema kubadili ID yako kwanzia leo unaivunjia heshima.
Aseee umeanza kunipangia mpaka ID?
Punguza Speed soma taratibu huko nyuma utanielewa tu....
Relax, hutajifikia huko kupangiana ID.
 
Achana na 2PAC pamoja Na B.I.G

Mwana Hip Hop gani anaweza kushindana na EMINEM. Kwenye mauzo,charts, n.k

Rapa gani anaweza kubattle na Eminem.....

#forgive Me
Pamoja na yote movie ya 8 miles ilimbeba sana Eminem kujulikana kama anaweza zaidi. Eminem ni mkali lakini tumpime ktk nini?
1. Lyric
2. Flow
3. Battle & Free styles au tutumie vyote.
4. Awoke / knowledge.
Ungeweka vigezo ingependeza kwa sababu hakuna anayekuwa fit kote.

Anyway.
Kwangu mpaka sasa Flow Jigger/Wayne

Battle/ Dis track za Eminem na Nas ni kali.

Lyrics hapa wako wengi sana...na mara nyingi ni kulingana na matukio au nyimbo. Wasanii wengi huwa wanapuyanga ktk baadhi ya nyimbo kujazia albam. Kwa mfano ukisikiliza albam ya kwanza ya 50 ni kali utasema hakuna mtu kama huyu but later akawa wa kawaida. All in all ktk lyric muweke Eminem, Jay Z, Nas, Wayne na Kanye
 
Kuna watu wanaongeaa kwa kujidai wanajua sana mziki wa rap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani kijana upo geto kwako ukila ganja ukisikiliza nyimbo za Nas unaona eehe hizi ndo zenyeww unaanza kuja kubweka hapaa... Data zinaongeaa wew ukitaka Kubweka bwekaa tuu..!! Compare Eminem na mtu ka Jay Z sio utumbo wenu hapaa.. Eti J cole unamfananisha na Kendrick sijui ni bhangi za wapi. Angalia Profile za Grammy alafu uje uanze kusema tuzo sio kigezooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anyway kuna tatizo mahali.View attachment 2206805View attachment 2206806View attachment 2206807View attachment 2206808View attachment 2206809
Kelele zote hizo halafu unatumia Grammy kama kigezo cha rapa bora 😂😂😂😂

Umekosa moral authority ya kuchangi hii mada mkuu
 
Kuna watu wanaongeaa kwa kujidai wanajua sana mziki wa rap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani kijana upo geto kwako ukila ganja ukisikiliza nyimbo za Nas unaona eehe hizi ndo zenyeww unaanza kuja kubweka hapaa... Data zinaongeaa wew ukitaka Kubweka bwekaa tuu..!! Compare Eminem na mtu ka Jay Z sio utumbo wenu hapaa.. Eti J cole unamfananisha na Kendrick sijui ni bhangi za wapi. Angalia Profile za Grammy alafu uje uanze kusema tuzo sio kigezooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anyway kuna tatizo mahali.View attachment 2206805View attachment 2206806View attachment 2206807View attachment 2206808View attachment 2206809
Aiseee kumbe hivi ndio vigezo? Au unadhani tulikua hatujui?

Basi hii dunia kumbe tumejaa wajinga wengi sana tunao amini Tupac na Big ni GOAT wakati hawana Grammy hata moja.......

Halafu mkuu next time unapokua unajadiliana epuka sana maneno kama “mnajifanya mnajua sana” ni utoto na inferior complex

Kwa “data” zako hizi nakubali Em hana mpinzani
 
Kelele zote hizo halafu unatumia Grammy kama kigezo cha rapa bora [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umekosa moral authority ya kuchangi hii mada mkuu
Bhasi tutumie kigezo ganii...!
 
Aiseee kumbe hivi ndio vigezo? Au unadhani tulikua hatujui?

Basi hii dunia kumbe tumejaa wajinga wengi sana tunao amini Tupac na Big ni GOAT wakati hawana Grammy hata moja.......

Halafu mkuu next time unapokua unajadiliana epuka sana maneno kama “mnajifanya mnajua sana” ni utoto na inferior complex

Kwa “data” zako hizi nakubali Em hana mpinzani
Bhasi tutumie kigezo chenu mkiseme ambacho nyie mmeoma J cole unaweza mfananisha na Eminem.. Hata huyo Nas unakua bora una tuzo moja ya grammy Oscar hata hajui inafananaje..!! Acheni utani
 
Bhasi tutumie kigezo chenu mkiseme ambacho nyie mmeoma J cole unaweza mfananisha na Eminem.. Hata huyo Nas unakua bora una tuzo moja ya grammy Oscar hata hajui inafananaje..!! Acheni utani
Kwa muktadha wa Grammy sina cha kuongeza mkuu

Kanye West 24
Jay Z 24
Eminem 15
Kendrick Lamar 13
Pharrell Williams 13
Lauryn Hill 8
Andrew 3000 7
Dr Dree 7
Outcast 6
Childish Gambino 5
Lily Wyne 5

Nitoe ushamba mkuu hii ndio list ya rapa bora duniani?
 
EMINEM ni the most over rated rapper of all time

Kurap haraka kwa speed sio kigezo cha kuwa rapper bora abadani

Kinacho fanya watu wengi waamini Em ni rapper bora wanatumia kigezo cha mauzo....... yes Em anauza sana na anasimama sana kwenye chart kwasababu pamoja na kupata wafuasi kutoka kwa black wenye rap yao lakini anapata wafuasi wengi zaidi kutoka kwa white kuliko black rapper wanaopata kwa black wenzao tu

Kwa tunaojua rap skills Em ni rap cartoon tu na mpiga kelele

Tunapo zungumzia GOAT wa Rap walio hai tunaongelea vichwa kama
NAS Escow
Jay Z nk

Kwenye kizazi kipya tunazungumzia vichwa kama
Kendric Lamar
J Cole nk
Aaah...ebana eeeh
Rap skiller ameongea huku. Rap skiller mkubwa kuliko Dr. Dre ukishaongea nani akubishie
 
EM anarap cartoon?
Ni nyimbo ngapi za EM unazijua mpaka uje na Conlcusion hii?
Anachujua EM ni kurap faster?
Nasi mzuri yes......ila hafikii kwa EM.
Jigga mzuri ila si kwa EM....
Mzee check mafile yako vizuri.
Eti em ni overated Aseee.....
Achana naye huyo cartoon, nimeshangaa sana. Hawa ndiyo wenzao wanafanya maisha wenyeww wanang'ang'ania rap ya versiin ya awali kabisa ile mabiti yake walikua wanatoa miguno tu na kupiga madebe. Ukienda ku rekodia studio wanakwambia hiyo siyo rap.

Wao ni watumish wa rap, hawataki kuitumia rap bali wanataka kuitumikia rap.
Hawataki mabadiliko, hawaamini kupitia rap unawwza ukaimba mapenzi, wao wanaamini rap ni silaha kwa ajili ya kuwatukania wazungu tu na kulalamika ma kusifia bhangi huku maisha mabovu ikiwa ndiyo rap sehemu ya misingi ya rap
 
EM anarap cartoon?
Ni nyimbo ngapi za EM unazijua mpaka uje na Conlcusion hii?
Anachujua EM ni kurap faster?
Nasi mzuri yes......ila hafikii kwa EM.
Jigga mzuri ila si kwa EM....
Mzee check mafile yako vizuri.
Eti em ni overated Aseee.....
Kuna live moja Nas alinyoosha mikono juu. Waliimba pamoja, Nas alianza versw ya kwanza, alipokyja kukamata Emunem kwenye verese ya pili, mistari aliyochana pale ni jumla ya nyimbo zote alizowahi ku record Nas pamoja na za kushirikishwa😅😅😅
 
Eti EMINEM alipotea/alifariki Zamani sana.

HUYU NI CRONE YA EMINEM.
Duniani Kuna Mambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom