Mkuu Em ni rapper mzuri sana kwa muktadha wa mauzo na audience kubwa (Black and white)
Lakini kwenye original rap skills Em ni mpiga kelele tu wakati mwingine anabebwa sana na auto tune na double voice vitu ambavyo huwezi kuvikuta kwa NAS, HOV, J COLE and the likes
Unapo zungumzia UBORA mfano wake ni kama hilo jina la ID yako ILLIMATIC
Hiyo ndio moja ya albam bora kabisa za Rap za muda wote na sio kelele za Em
Illmatic haina mauzo wa chart kama za album za Em lakini Billboard wanai regarded as the best hip hop album of all time
Wakati Rollingstone wameiweka No 44 kama album bora 500 duniani
Namuheshimu Em kwenye mauzo na chart lakini Rap ni zaidi ya ku top kwenye chart tu na kuwa na mauzo makubwa
Tafuta vyanzo credible vinavyo chambua ubora kitaaluma badala ya kuangalia mauzo na stremming
Leo hii Lil Nas X anakimbiza vibaya anabeba tuzo streaming usiseme shows zake ticket sold out kitambo sababu tu ni SHOGA na walaji wa muziki wa kizazi hiki wanaamini Lil Nas x is the best of the best