Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

Mkuu Em ni rapper mzuri sana kwa muktadha wa mauzo na audience kubwa (Black and white)
Lakini kwenye original rap skills Em ni mpiga kelele tu wakati mwingine anabebwa sana na auto tune na double voice vitu ambavyo huwezi kuvikuta kwa NAS, HOV, J COLE and the likes

Unapo zungumzia UBORA mfano wake ni kama hilo jina la ID yako ILLIMATIC
Hiyo ndio moja ya albam bora kabisa za Rap za muda wote na sio kelele za Em
Illmatic haina mauzo wa chart kama za album za Em lakini Billboard wanai regarded as the best hip hop album of all time
Wakati Rollingstone wameiweka No 44 kama album bora 500 duniani

Namuheshimu Em kwenye mauzo na chart lakini Rap ni zaidi ya ku top kwenye chart tu na kuwa na mauzo makubwa
Tafuta vyanzo credible vinavyo chambua ubora kitaaluma badala ya kuangalia mauzo na stremming
Leo hii Lil Nas X anakimbiza vibaya kwenye Hip Hop anabeba tuzo streaming usiseme shows zake ticket sold out kitambo sababu tu ni SHOGA na walaji wa muziki wa kizazi hiki wanaamini Lil Nas x is the best of the best
Uchambuzi mzuri! Heko!
 
Wakuu hamna mdau yeyote ashushe nondo za kumhusu mwana mmoja Ila Kwa sasa amefariki...tangu mwaka 1999 Kwa kupigwa Shaba .... nimesikiliza baadhi ya clip zake YouTube aisee jamaa ni mnoma kwenye mitindo huru na naona hakuwahi kutamba Sana kwenye mainstream kulinganisha kina HOV wakati ule ...mwana huyo NI WA kuitwa BIG L.........
And secondly Pia naomba nitolewe tongotongo kumhusu andre3000 ambaye naona anakuwa regarded as one among the best rappers with good flows na unique lyricism...Kwa upande wangu naona WA kawaida Tu.... ..

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye album ya NAS King’s Disease 1 alimshirikisha Em kwenye wimbo wa EPMD 2
Basi kama kawaida yake Em ukimuita kwenye kolabo unaambiwa huwa anakamia vibaya sana kukufunika, hiyo imesababisha wasanii wengi kufuta verse zao na kuandika upya baada ya kusikia verse ya Em watu kama 50cent Kanye West Jay z walifanya hivyo lakini NAS hakufanya hivyo alibaki kwenye originality yake na mwisho wa siku Em akaoneka kaharibu vibaya wimbo kwa jinsi alivyo rap haraka haraka na kwa Tample za juu hadi Producer Hit Boy kulazimika kubadili beat mara 2 kwenye verse ya Em ili kwenda na rhythm ya wimbo
Hakamii ndio uwezo wake.....
Nas namkubali ni rapa mkali, ila ana ladha moja.
Habadiliki kama EM
 
Kwenye album ya NAS King’s Disease 1 alimshirikisha Em kwenye wimbo wa EPMD 2
Basi kama kawaida yake Em ukimuita kwenye kolabo unaambiwa huwa anakamia vibaya sana kukufunika, hiyo imesababisha wasanii wengi kufuta verse zao na kuandika upya baada ya kusikia verse ya Em watu kama 50cent Kanye West Jay z walifanya hivyo lakini NAS hakufanya hivyo alibaki kwenye originality yake na mwisho wa siku Em akaoneka kaharibu vibaya wimbo kwa jinsi alivyo rap haraka haraka na kwa Tample za juu hadi Producer Hit Boy kulazimika kubadili beat mara 2 kwenye verse ya Em ili kwenda na rhythm ya wimbo
Hakamii ni uwezo wake.....
Nas mkali ila haswitch yaani analadha moja....
Anachowazidi EM ni kubadilika, kiasi kwamba Within EM unapata characters watatu tofauti.
Ladha ya Slim shady sio ladha ya Eminem wala sio ladha ya marshall Mathers. ( najua ni ngumu kueleweka ila kama umemfuatilia vizuri EM utaelewa).

U white haujambeba Em, ila umemrudisha Nyuma Em, hasa wakati wa struggle zake za kutoka kwao huko Detroit.
Na labda pengine wewe humkubali sababu ni white.
 
EMINEM ni the most over rated rapper of all time

Kurap haraka kwa speed sio kigezo cha kuwa rapper bora abadani

Kinacho fanya watu wengi waamini Em ni rapper bora wanatumia kigezo cha mauzo....... yes Em anauza sana na anasimama sana kwenye chart kwasababu pamoja na kupata wafuasi kutoka kwa black wenye rap yao lakini anapata wafuasi wengi zaidi kutoka kwa white kuliko black rapper wanaopata kwa black wenzao tu

Kwa tunaojua rap skills Em ni rap cartoon tu na mpiga kelele

Tunapo zungumzia GOAT wa Rap walio hai tunaongelea vichwa kama
NAS Escow
Jay Z nk

Kwenye kizazi kipya tunazungumzia vichwa kama
Kendric Lamar
J Cole nk
Unamuachaje mtu kama Canibus
 
SEHEMU YA HUO WIMBO:

“So am I, too, you cant kill a spirit even if you tried to, haha
You SOLD your soul to me, need I remind you?
You remember that night, you
Prayed to God you'd give anything to get a record deal
Well, Dre signed you
This is what you wanted your whole life, Marshall, right? Ooh
Look at this house, look at these cars, I'm so nice, woo
Oh, but you didn't know fame has a PRICE, too”
Na mstari mwingine ulioleta controversy NI
In the shadows of all who are willing to sell their souls
For this rap game and it g-g-goes
One-two-three, chk-chk, one-two-three
Chk-chk, one-two-three, that ain't the hook, now follow me

Hyo 1-2-3 chk-chk ukizidisha na kujumlisha no zote unapata 6 1+2+3=6. 1×2×3=6...........zimewekwa mara 3 na kuunganisha ....666

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hakamii ni uwezo wake.....
Nas mkali ila haswitch yaani analadha moja....
Anachowazidi EM ni kubadilika, kiasi kwamba Within EM unapata characters watatu tofauti.
Ladha ya Slim shady sio ladha ya Eminem wala sio ladha ya marshall Mathers. ( najua ni ngumu kueleweka ila kama umemfuatilia vizuri EM utaelewa).

U white haujambeba Em, ila umemrudisha Nyuma Em, hasa wakati wa struggle zake za kutoka kwao huko Detroit.
Na labda pengine wewe humkubali sababu ni white.
Mkuu hapa itabidi tukubaliane kutokukubaliana kwetu kwamba wewe unamkubali zaidi Em mimi namuelewa zaidi NAS

Lakini hii haiondoi ukweli kwamba Nas Escober is far better than Em kwenye kila idara kasoro mauzo tu

Kubadili aina ya kuimba hakukufanyi uwe bora na ndio maana wasanii wote bora duniani wanastick na aina ya uimbaji wao, ni lyrics na unavyotembea na beats na punch line zako

Em ni mpiga kelele tu, sauti yake haina PUNCH ina kelele kama kengele na kufoka foka tu
Ni muandishi mzuri but not a good storyteller
Anatumia sana Auto tune na kupandishia sauti kuipa sauti yake upekee

Mwisho
U white wake ulimpa tabu kuanza tu lakini alipopata platform u white umembeba pakubwa sana kwenye mauzo kwa sababu hakuna white atanunua kazi za Nas au Hov au Snoppy ila atanunua na kwenda show za white mwenzake Em
 
Unalazimisha Kigezo cha mauzo ( amacho mimi sijakitumia) na sitokitumia sababu itakuwa ni kuwaonea wasanii wengine......
Kwamba EM sio story teller? Unaskiliza Nyimbo zake lakini? Kuna strory nzuri tofauti na Stan na the way vitu vimeenda kwenye hiyo Nyimbo?
Nas anapunches kumzidi Em? Nitajie hiyo Album au hata Single moja ambayo Nas kashusha vitu mpaka ukaamua kusema hivyo......
( kumbuka mimi nawakubali wote, nawaskiliza wote ila naenda Na EM).
 
SEHEMU YA HUO WIMBO:

“So am I, too, you cant kill a spirit even if you tried to, haha
You SOLD your soul to me, need I remind you?
You remember that night, you
Prayed to God you'd give anything to get a record deal
Well, Dre signed you
This is what you wanted your whole life, Marshall, right? Ooh
Look at this house, look at these cars, I'm so nice, woo
Oh, but you didn't know fame has a PRICE, too”
Mkuu umetafsiri vibaya huo wimbo ( au watu hutafsiri vibaya huo wimbo).
Kama jamaa nilivyomwambia hapo juu, Eminem ana characters watatu ndani ya mtu mmoja. Japo mwenyewe anasema ni ngumu sana kutenganisha wanaingiliana sana.

Asa character ya Slim shady ndio imempa umaarufu Em, muonekanano ni yule Eminem wa dyed hair....
images (1).jpeg

Kwenye kitabu chake anasema Alianza kutumia madawa akiwa kwenye shows tena ni shabiki alimpa ( Maana used to rap kuhusu drugs na vitu kama hivyo ila alikuwa hatumii).

Kwenye hiyoAlbum ya Relapse ambako my Darling ipo, ni Eminem baada ya Ukimya wa mda kutokana na madawa anarecover na kuamua kuachana na Old ways ( Uhuni, madawa na vitu vyote alivyofanya wakati anatoka)

Kuachana na Old ways means kuikataa character yake ya Slim shaddy, inamuwia ugumu kutokana na kuwa ni part of him, ni kama Spirit inamuwinda anatamani mpaka kujiua inashindikana.

Kwenye hiyo nyimbo unaskia chainsaw inaunguruma. Hiyo ilikuwa ni Symbol yake kama slimshady, mwanzoni iliunguruma kuonesha kuwa Slim anamuwinda EM.

images (2).jpeg

Mwishoni inaunguruma tena Kwamba Slim kampata Em, afu EM na ile sauti ya Demon wanaanza kurap pamoja, akimaanisha Kuwa Slim shady karudi tena na hawezi kuiacha ile character moja kwa moja ila atakua nayo.....
Yaani ataendelea kuwa Slim shady, Eminem na Marshall mathers kwa wakati mmmoja.

Isikilize tena mkuu uaielewa vizuri tu.
 
Mkuu umetafsiri vibaya huo wimbo ( au watu hutafsiri vibaya huo wimbo).
Kama jamaa nilivyomwambia hapo juu, Eminem ana characters watatu ndani ya mtu mmoja. Japo mwenyewe anasema ni ngumu sana kutenganisha wanaingiliana sana.

Asa character ya Slim shady ndio imempa umaarufu Em, muonekanano ni yule Eminem wa dyed hair....View attachment 2198250

Kuachana na Old ways means kuikataa character yake ya Slim shaddy inamuwia ugumu kutokana na kuwa ni part of him ni kama Spirit inamuwinda anatamani mpaka kujiua inashindikana.

Kwenye hiyo nyimbo unaskia chainsaw inaunguruma. Hiyo ilikuwa ni Symbol yake kama slimshady, mwanzoni iliunguruma kuonesha kuwa Slim anamuwinda EM.

View attachment 2198251

Mwishoni inaunguruma tena Kwamba Slim kampata Em, afu EM na ile sauti ya Demon wanaanza kurap pamoja, akimaanisha Kuwa Slim shady karudi tena na hawezi kuiacha ile character moja kwa moja ila atakua nayo.....
Yaani ataendelea kuwa Slim shady, Eminem na Marshall mathers kwa wakati mmmoja.

Isikilize tena mkuu uaielewa vizuri tu.
Vp Kuhusu Mwana Wa Kuitwa NF Akibattle Na Eminem.
 
Unalazimisha Kigezo cha mauzo ( amacho mimi sijakitumia) na sitokitumia sababu itakuwa ni kuwaonea wasanii wengine......
Kwamba EM sio story teller? Unaskiliza Nyimbo zake lakini? Kuna strory nzuri tofauti na Stan na the way vitu vimeenda kwenye hiyo Nyimbo?
Nas anapunches kumzidi Em? Nitajie hiyo Album au hata Single moja ambayo Nas kashusha vitu mpaka ukaamua kusema hivyo......
( kumbuka mimi nawakubali wote, nawaskiliza wote ila naenda Na EM).
Mkuu sikazimishi bala ninyi washabiki wa Em ndio mnakitumia kuhalalisha ubora wake
Nakubaliana na maoni binafsi lakini pia maoni ya wengi kiujumla ndio hueshimiwa na kuwa regarded kama the best of best
Naheshimu wewe na wengine kumpenda na kumuelewa Em
Ntakutajia tena album moja na single moja out of nyingi zilizopo

Nimekutajia Album ya Illmatic kwamba hii ni album bora kabisa ya rap kulingana na rap music critics karibu wote
Billboard japo haiku perform maajabu lakini wamei rate kama best hip hop album of all time
Maktaba ya Congress wameichagua na kui hifadhi kwenye National Recording Registry for being "culturally, historically, or aesthetically significant". Mpaka album kuingizwa huko sio mchezo mchezo
Album za Em zinasifa ya kuvunja rekodi kama best selling na top charting tu

Kwa upande wa Single nitakutajia Ether
Kuna dis track nyingi sana duniani laki Ether ndio dis track bora ya muda wote
Punch line mle ndani zumesimama, Nas karap with authority, wajuvi wa Hip Hop wanaitaja kama nyimbo iliokamilika kwa 100%
Either ndio kielelezo cha classic dis track duniani tofauti na dis kama Hit them up ambazo zilijaa matusi
Leo hii zaidi ya wasanii 50 wamesample wimbo wa either kwenye dis track zao akiwemo Em kwenye dis track ya Exhibit

Na kwenye swala la storyline na storytelling NAS hana mpinzani kabisaa
 
EMINEM ni the most over rated rapper of all time

Kurap haraka kwa speed sio kigezo cha kuwa rapper bora abadani

Kinacho fanya watu wengi waamini Em ni rapper bora wanatumia kigezo cha mauzo....... yes Em anauza sana na anasimama sana kwenye chart kwasababu pamoja na kupata wafuasi kutoka kwa black wenye rap yao lakini anapata wafuasi wengi zaidi kutoka kwa white kuliko black rapper wanaopata kwa black wenzao tu

Kwa tunaojua rap skills Em ni rap cartoon tu na mpiga kelele

Tunapo zungumzia GOAT wa Rap walio hai tunaongelea vichwa kama
NAS Escow
Jay Z nk

Kwenye kizazi kipya tunazungumzia vichwa kama
Kendric Lamar
J Cole nk
Kuna ngoma inaweza kuhit na kali kama im not afraid...!! Kwani rap maana ake nini???? Mtu ana speed ana mistariii unaleta ngonjera zako za J cole sijuiii....
 
Mkuu sikazimishi bala ninyi washabiki wa Em ndio mnakitumia kuhalalisha ubora wake
Nakubaliana na maoni binafsi lakini pia maoni ya wengi kiujumla ndio hueshimiwa na kuwa regarded kama the best of best
Naheshimu wewe na wengine kumpenda na kumuelewa Em
Ntakutajia tena album moja na single moja out of nyingi zilizopo

Nimekutajia Album ya Illmatic kwamba hii ni album bora kabisa ya rap kulingana na rap music critics karibu wote
Billboard japo haiku perform maajabu lakini wamei rate kama best hip hop album of all time
Maktaba ya Congress wameichagua na kui hifadhi kwenye National Recording Registry for being "culturally, historically, or aesthetically significant". Mpaka album kuingizwa huko sio mchezo mchezo
Album za Em zinasifa ya kuvunja rekodi kama best selling na top charting tu

Kwa upande wa Single nitakutajia Ether
Kuna dis track nyingi sana duniani laki Ether ndio dis track bora ya muda wote
Punch line mle ndani zumesimama, Nas karap with authority, wajuvi wa Hip Hop wanaitaja kama nyimbo iliokamilika kwa 100%
Either ndio kielelezo cha classic dis track duniani tofauti na dis kama Hit them up ambazo zilijaa matusi
Leo hii zaidi ya wasanii 50 wamesample wimbo wa either kwenye dis track zao akiwemo Em kwenye dis track ya Exhibit

Na kwenye swala la storyline na storytelling NAS hana mpinzani kabisaa
Aseee Ether kwako ndio ngoma kali?
Ni disstrack kali kweli sikatai.....
Ila sio ngoma kali kihivyo.
Kuna mawili mkuu Unamahaba kupitiliza na Nas au unamchukia EM kupitiliza.
Ila bado kila nikiomba hoja hunipi nani ni mkali, kwa vigezo sio kwa maneno matupu.
 
Mkuu umetafsiri vibaya huo wimbo ( au watu hutafsiri vibaya huo wimbo).
Kama jamaa nilivyomwambia hapo juu, Eminem ana characters watatu ndani ya mtu mmoja. Japo mwenyewe anasema ni ngumu sana kutenganisha wanaingiliana sana.

Asa character ya Slim shady ndio imempa umaarufu Em, muonekanano ni yule Eminem wa dyed hair....View attachment 2198250

Kwenye kitabu chake anasema Alianza kutumia madawa akiwa kwenye shows tena ni shabiki alimpa ( Maana used to rap kuhusu drugs na vitu kama hivyo ila alikuwa hatumii).

Kwenye hiyoAlbum ya Relapse ambako my Darling ipo, ni Eminem baada ya Ukimya wa mda kutokana na madawa anarecover na kuamua kuachana na Old ways ( Uhuni, madawa na vitu vyote alivyofanya wakati anatoka)

Kuachana na Old ways means kuikataa character yake ya Slim shaddy, inamuwia ugumu kutokana na kuwa ni part of him, ni kama Spirit inamuwinda anatamani mpaka kujiua inashindikana.

Kwenye hiyo nyimbo unaskia chainsaw inaunguruma. Hiyo ilikuwa ni Symbol yake kama slimshady, mwanzoni iliunguruma kuonesha kuwa Slim anamuwinda EM.

View attachment 2198251

Mwishoni inaunguruma tena Kwamba Slim kampata Em, afu EM na ile sauti ya Demon wanaanza kurap pamoja, akimaanisha Kuwa Slim shady karudi tena na hawezi kuiacha ile character moja kwa moja ila atakua nayo.....
Yaani ataendelea kuwa Slim shady, Eminem na Marshall mathers kwa wakati mmmoja.

Isikilize tena mkuu uaielewa vizuri tu.
Kuna mbwembwe nyingi Em na washabiki wake mnaaminishana uongo

Ukweli ni kwamba Em alipoanza kurap na ile sauti yake ya kelele kama filimbi na urap katuni mwingi critics wengi sana walimkosoa na kumbuka hawa manguli wengi ni black
Sasa ili kuwaprove wrong ndio akaanza kubadilika akawa anapunguza kufoka na ukatuni
Hata hivyo wenye Rap yao kama Snoopy bado wakawa wanampiga madongo namna anavyo rap kwa makelele na speed na kutumia auto tune akindhani ndio ubora

Em wasanii wa kwanza kumvutia kwenye hip hop ni NAS lakini bahati mbaya hakua na sauti nzito ndio akaja na urap katuni wake

Leo hii mtu kama NAS ka inspire wana hip hop wakafata misingi kama J Cole, Kendirck Lamar

Lakini angalia wana hip hop waliokua inspired na Em ni kama wakina Mashine Gun Kelly
 
Aseee Ether kwako ndio ngoma kali?
Ni disstrack kali kweli sikatai.....
Ila sio ngoma kali kihivyo.
Kuna mawili mkuu Unamahaba kupitiliza na Nas au unamchukia EM kupitiliza.
Ila bado kila nikiomba hoja hunipi nani ni mkali, kwa vigezo sio kwa maneno matupu.
Itoshe tu kusema Eminem “katengenezwa” na wazungu ili kuwaonyesha black American kwamba wapo wazungu bora zaidi kwenye hip hop na kwa bahati mbaya sana tumeingia kwenye hilo chaka

Najua nitaitwa mbaguzi sababu ndio chaka alimojifichia Eminem lakini huo ndio ukweli
 
😂😂😂 Struggle was real mjomba....
Harakati zake ni za wazi mpaka kutoboa, Rap ni mziki wa watu weusi ( no way white wangemkuza).
Mtu mweupe kutoboa ilikuwa ni kazi, na ukiona white boy ametoboa jua anajua.
 
Yes the struggle was real at first
Lakini baadae wazungu wakapenyeza rupia kwenye udhia

Kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia kuhusu supremacy ya wazungu kuliko tunavyo yaona kwa nje
Ni kama jinsi wazungu hao wanavyo mtengeneza Lil Nas X shoga

Don’t get me wrong, Eminem ni rapa mzuri kiasi chake but not to the extent mlioaminishwa kwamba ndio bora zaidi kuliko wenye culture yao
 
"What if Eminem was black, would he have sold five mill’?
Or would he be 1 out of 5 million rappers with no deal?"

- Fedro Starr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom