Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,322
- 10,198
Wanamzidi nini?Yes the struggle was real at first
Lakini baadae wazungu wakapenyeza rupia kwenye udhia
Kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia kuhusu supremacy ya wazungu kuliko tunavyo yaona kwa nje
Ni kama jinsi wazungu hao wanavyo mtengeneza Lil Nas X shoga
Don’t get me wrong, Eminem ni rapa mzuri kiasi chake but not to the extent mlioaminishwa kwamba ndio bora zaidi kuliko wenye culture yao
Chukua rapper mmoja unayemkubali niambie amemzidi hichi na hichi EM.