Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

Mkuu usiharibu mjadala kwa kuleta utoto..... hapa hakuna anayeketa ujuaji labda wewe
Hapa watu wanajadili kujiburudisha na kuongeza ufahamu kwa kujenga hoja na sio ugonvi na dharau

Speaking of J Cole
J.Cole ni mfuasi namba moja wa NAS ni kama copy ya Nas kwa wana hip hop wa zama za kati

Kwa taarifa yako tu J cole tukiachilia mbali ubora wake kimashairi na flow tuangalie mauzo na chart ambazo wengi ndio mnatumia kama kigezo pekee cha ubora

Katika album 6 za J Cole album 6 zime peak no 1 kwenye Billboard.......sio jambo jepesi hata kidogo

Hiyo akbum ya Off Season unayoidharau imeingia kwwnye tuzo za Grammy na kupoteza mbele ya DONDA ya Kanye West kama best hip hop album

Kama ulikua hujui basi chukua hii ukitaja kizazi bora kabisa cha rapper kipindi kimoja nyuma ukiachana na hiki cha akina lil baby basi J Cole ndio mmoja wa wana hip hop bora wa kizazi chao

J Cole sio daraja moja na Eminem kwasababu ya ukongwe wa Eminem lakini njia anayopita J Cole ndio njia aliyopita Eminem...... usimchukulie poa
Na usisahau katika hizo album 6 zote zina mauzo zaidi ya Platinum, na tatu kati yake hazikuwa na features na msanii yoyote, kwa hawa wasanii walioanza kutoa kazi kati ya late (2000s) mpaka sasa J Cole ana nafasi yake ya kipekee
 
Mkuu jamaa anamchukukia poa sana J Cole
Mwaka juzi alikua ni mmoja wa wasanii wache wa hip hop waliokua wana lipwa hela ndefu kwa show kuliko wengine
Demand yake ni kubwa sana na ametengeneza reputation kubwa sana mtaani
 
Kwa rapper wanaorap faster mzee wa kwanza Twista... Anafata eminem..busta rhymes alafu wengine wanafataa..!!
Mkuu kwako Snoopy sio rapper bora kwakuwa ana rap slow?
 
EMINEM ni the most over rated rapper of all time

Kurap haraka kwa speed sio kigezo cha kuwa rapper bora abadani

Kinacho fanya watu wengi waamini Em ni rapper bora wanatumia kigezo cha mauzo....... yes Em anauza sana na anasimama sana kwenye chart kwasababu pamoja na kupata wafuasi kutoka kwa black wenye rap yao lakini anapata wafuasi wengi zaidi kutoka kwa white kuliko black rapper wanaopata kwa black wenzao tu

Kwa tunaojua rap skills Em ni rap cartoon tu na mpiga kelele

Tunapo zungumzia GOAT wa Rap walio hai tunaongelea vichwa kama
NAS Escow
Jay Z nk

Kwenye kizazi kipya tunazungumzia vichwa kama
Kendric Lamar
J Cole nk
Sahihi
 
Hakamii ni uwezo wake.....
Nas mkali ila haswitch yaani analadha moja....
Anachowazidi EM ni kubadilika, kiasi kwamba Within EM unapata characters watatu tofauti.
Ladha ya Slim shady sio ladha ya Eminem wala sio ladha ya marshall Mathers. ( najua ni ngumu kueleweka ila kama umemfuatilia vizuri EM utaelewa).

U white haujambeba Em, ila umemrudisha Nyuma Em, hasa wakati wa struggle zake za kutoka kwao huko Detroit.
Na labda pengine wewe humkubali sababu ni white.
Acha kupoteza muda wako Broh, hawa ni aina ya watu ambao wanakuambia Lucky Dube ni mkali kuliko Bob Marley, Playboy Carti ni mkali kuliko J.Cole, hakika nakwambia utaandika mpaka vidole vitauma hawatokuelewa, sanasana watakutia hasira tu.
Huyu huyu Eminem wa Stan, Bad guy, The way I am, Drug ballad, Mocking bird, Closing my closet, Evil Twin, Rap God, Lucky you, Not afraid, Monster, Lose yourself, Hellbound, Gnat na .... Mtu anasema anafanya rap cartoon!? Utamuambia nini mtu mwenye kichwa cha namna hii akuelewe?
 
Weka Love the way you lie... Hiyo ya Lucky dube ndo watakuua maana ni balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kupoteza muda wako Broh, hawa ni aina ya watu ambao wanakuambia Lucky Dube ni mkali kuliko Bob Marley, Playboy Carti ni mkali kuliko J.Cole, hakika nakwambia utaandika mpaka vidole vitauma hawatokuelewa, sanasana watakutia hasira tu.
Huyu huyu Eminem wa Stan, Bad guy, The way I am, Drug ballad, Mocking bird, Closing my closet, Evil Twin, Rap God, Lucky you, Not afraid, Monster, Lose yourself, Hellbound, Gnat na .... Mtu anasema anafanya rap cartoon!? Utamuambia nini mtu mwenye kichwa cha namna hii akuelewe?
Asee nimesikitika sana......
Nadhani Eminem anastahili special thread.
 
Acha kupoteza muda wako Broh, hawa ni aina ya watu ambao wanakuambia Lucky Dube ni mkali kuliko Bob Marley, Playboy Carti ni mkali kuliko J.Cole, hakika nakwambia utaandika mpaka vidole vitauma hawatokuelewa, sanasana watakutia hasira tu.
Huyu huyu Eminem wa Stan, Bad guy, The way I am, Drug ballad, Mocking bird, Closing my closet, Evil Twin, Rap God, Lucky you, Not afraid, Monster, Lose yourself, Hellbound, Gnat na .... Mtu anasema anafanya rap cartoon!? Utamuambia nini mtu mwenye kichwa cha namna hii akuelewe?
Eminem katengenezwa umuone Rap God na wazungu
Kwamba ni bora kuliko wenye culture yao

Na kwa bahati mbaya wengi mme fall kwenye hiyo trap

Eminem ni mzuri but amekua over rated na huwezi kuliona hilo kwa sababu brain yako imekua brain washed
 
Kubadili aina ya kuimba hakukufanyi uwe bora na ndio maana wasanii wote bora duniani wanastick na aina ya uimbaji wao, ni lyrics na unavyotembea na beats na punch line zako

Em ni mpiga kelele tu, sauti yake haina PUNCH ina kelele kama kengele na kufoka foka tu
Ni muandishi mzuri but not a good storyteller
Anatumia sana Auto tune na kupandishia sauti kuipa sauti yake upekee

Mwisho
U white wake ulimpa tabu kuanza tu lakini alipopata platform u white umembeba pakubwa sana kwenye mauzo kwa sababu hakuna white atanunua kazi za Nas au Hov au Snoppy ila atanunua na kwenda show za white mwenzake Em
Daaaaaah!!!
😂😂😂😂😂
Eminem katengenezwa umuone Rap God na wazungu
Kwamba ni bora kuliko wenye culture yao

Na kwa bahati mbaya wengi mme fall kwenye hiyo trap

Eminem ni mzuri but amekua over rated na huwezi kuliona hilo kwa sababu brain yako imekua brain washed
Kwahiyo Eminem anafanya rap cartoon, sio?
 
Kwa wanao FAHAMU Hip Hop basi Rapper bora kabisa wa muda wote walio hai huwa wanawashindanisha HOV Vs NAS

HOV ame achieve zaidi kwenye FAME wakati NAS amejikita zaidi kwenye ARTISTY

Ukijichanganya kwenye viunga vya wenye Hip Hop yao ukasema sijui Eminem ni bora kuliko hawa Magodfather wa Hip Hop unapigwa vipao na kufukuziwa mbali

Miezi ya nyuma HOV alisema haoni mtu wa kushindana naye kwenye Versus kwenye social media “wazungu” na black walio kua brain washed ndio walijaa kudai Eminem atamshinda
Lakini wamba wakiichukulia kauli ile kama ni uchokozi kwa NAS

Bifu la HOV na NAS ndio bifu kubwa na la aina yake kuwahi kutokea kwenye ulimwengu wa HIP HOP

Baada ya Nas kuingia studio na kutoa album ndani ya miaka hii miwili na moja kushinda Grammy kama albam bora ya hip hop inasemekana HOV naye karudi studio anapika album

Hawa ndio wamba wenye full respect kwenye ulimwengu wa HIP HOP
 
Unapojaribu kumlinganisha eminem na rapper wengne unapata shida kabisa maana ana rap in his own style, wewe ni nani kati ya mamilion ya watu wanaomkubali eminem wanaomchukulia poa eminem ni wale ambao wanadababu zao binafsi maana nafs za watu zinatofautiana
 
Kweli kipenda roho,

Yaani hip hop nilizojaza kwenye PC yangu Eminem hayupo

Kuna kipindi nilikuwa najilazimisha kutafuta hit yake angalau moja sikufanikiwa

Naonaga anapiga kelele tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom