Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

Ni Rapa gani anaweza kushindana na Eminem?

Tuje kwnye Speed Why tuitumie kama weakness? Speed ( pumzi) sio jambo baya kwa rapa ni la muhimu.
Kwamba Em anachojua ni kurap kwa speed tu❌.....hichi ndicho nacho kataa, kapiga ngoma kali kibao za taratibu na zikawa kali.

Vipi na mimi nikisema nas anachojua yeye ni kurap kuhusu harakati za blacks tu, ukitoa hapo hamna chochote, Ntakua nakosea?
Hakuna aliye itumia kama weakness mkuu isipokua kuna watu wengi wamejengea hoja kwa Em kawashinda wengine kwasababu ana speed hakuna anaye mfika......Hoja kinzani ikiawa ni Speed sio kigezo cha Rapa bora......PERIOD
Em kurap kwa speed ndio nature yake kama alivyo buster au Twista nk
Na kuna marapa wakali hawana speed kabisaa, Speed haimfanyi Rapa kuwa mzuri wala mbaya

Kuhusu Nas kurapu nyimbo za kiharakati za mtu mweusi tu hapo inanipa mashaka kama unamjua vizuri Nas na nyimbo zake, jamaa kaimba kila kitu aisee tena sio kugusa kwenye mstari mmoja kwenye verse.......Full song
Mkuu unapoambiwa huyu mwamba ni masta wa uandishi amini hivyo, hakuna kitu ameacha kuimba.
J Cole aliwahi kusema huyu jamaa ni kama anataka kuandika Bible yake vile kwa jinsi anavyopiga kila angle..........EM kaachwa mbali sana kwenye hii idara mkuu
Fanya utafiti

Kumbuka Em ndiye Mwenye weakness ya zaidi ya 90% ya theme ya nyimbo zake zinafanana anajizungumzia zaidi yeye binafsi
 
Hili hatubishani mkuu....
Zaidi ya asilimia 90 nyimbo za Nas ni harakati za mtu mweusi.
Ni nyimbo chache ametoka nje ya theme hiyo.
 
Wapo wengi tuu mkuu kuna mmoja anaitwa Pharaho Monch ni moja ya Rapa atari sana jaribu kuitafuta ngoma moja inaitwa Ohh No yupo na Mos Def & Nate Dogg ni noma
Kwa rapper wanaorap faster mzee wa kwanza Twista... Anafata eminem..busta rhymes alafu wengine wanafataa..!!
 
Hili hatubishani mkuu....
Zaidi ya asilimia 90 nyimbo za Nas ni harakati za mtu mweusi.
Ni nyimbo chache ametoka nje ya theme hiyo.
Labda unifafanulie unapo sema harakati za mtu mweusi unamaanisha nini?
Kwamba nyimbo za Nas 90% zinapigania haki za mtu mweusi?
Kwasababu hip hop ni culture wanaimba kinacho wazunguka, na anacho rap Nas ndio wanacho rap 99% ya rapa wote kama culture akiwemo Em, Wanatofautiana Angle tu
Drugs, guns, kujisifu, kueleza hisia zao, politics, love, vurugu, beef/diss, matusi, umwamba,dini,elimu, kuasa, visanga na polisi majuto, nk nk.......sijui hizo harakati za Nas tu unazitoa wapi?
Nyimbo kama za Bob Marley ndio nyimbo za harakati mkuu sio hizi

Since your JF Id is Illmatic basi na assume unaipenda na kuifahamu vilivyo hiyo album.
Nitajie nyimbo za kiharakati katika album ya Illmatic na udadafuzi
Maana mimi naona ujivuni mwingi, drugs, hustle etc
 
Kushindana kwenye nn????....coz marapa wanashindanishwa kwenye nyanja mbalimbali.

Kuna wanaojua kuandika sana hapa ndo kina eminem,lil wayne,nas,kendrick lamar,kina pac na wengineo wanaingia.

Wengine ni wazee wa freestyle ndo kina kendrick,kina wiz khalifa,kina kanye.

In short kuwa specific buda
 
EMINEM ni the most over rated rapper of all time

Kurap haraka kwa speed sio kigezo cha kuwa rapper bora abadani

Kinacho fanya watu wengi waamini Em ni rapper bora wanatumia kigezo cha mauzo....... yes Em anauza sana na anasimama sana kwenye chart kwasababu pamoja na kupata wafuasi kutoka kwa black wenye rap yao lakini anapata wafuasi wengi zaidi kutoka kwa white kuliko black rapper wanaopata kwa black wenzao tu

Kwa tunaojua rap skills Em ni rap cartoon tu na mpiga kelele

Tunapo zungumzia GOAT wa Rap walio hai tunaongelea vichwa kama
NAS Escow
Jay Z nk

Kwenye kizazi kipya tunazungumzia vichwa kama
Kendric Lamar
J Cole nk
Una utani wewe
 
Achana nao haoo watakwambia Niki mbishi mkali kuliko Fid Q wao wanastandard zao kichwani wanazoziamini... ila hakuna rapper bora kushida Eminem mpaka leo hiii..!!
"Ila hakuna rapper bora kushinda Eminam mpaka leo hii...!! ???? Serious hiki n kituko cha karne.. Labda ungesema kwako
 
Achana nao haoo watakwambia Niki mbishi mkali kuliko Fid Q wao wanastandard zao kichwani wanazoziamini... ila hakuna rapper bora kushida Eminem mpaka leo hiii..!!
Unatumia kigezo gani?
 
Unadhani mpaka nikachukua illmatic kama username yangu ni bahati mbaya?
Hajanipa fact za kihiphop kaleta siasa tu.....
Ndio maana nikakwambia Chukua Mfano Nas afu niambie anamzidi nini Em....
Kwani Eminem anamzidi Nini Nas?...labda tuanzie hapo kwanza.
 
Yes ni ukweli au hauko mbali na Ukweli.....
Japo ungeelezea ingekua unyama.
Mbona wewe hujaelezea uzuri wa Eminem anakipi Cha ziada kwenye ubora wake?
Comment za wote unabishana nao wanatoa fact lakini wewe hamna hata moja kazi umebakia kusifia na kupinga bila vigezo.
Huu ni utoto unaleta halafu kama hujui Ubora wa NAS ni vema kubadili ID yako kwanzia leo unaivunjia heshima.
 
Daaaah we jamaa hebu kaa pembeniii basi mana kichwani kweupe unazingua.
Bhasi J cole mkali kuzidi wotee.. Vipi kichwani kumejaaa sasa eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom