Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,114
- 37,607
Ngoja nikamskilize Dax
Mana Eminem Ni level nyingine
Mana Eminem Ni level nyingine
Andre3000 kufanya mauaji sana kweny goma na kanye life at the partyWakuu hamna mdau yeyote ashushe nondo za kumhusu mwana mmoja Ila Kwa sasa amefariki...tangu mwaka 1999 Kwa kupigwa Shaba .... nimesikiliza baadhi ya clip zake YouTube aisee jamaa ni mnoma kwenye mitindo huru na naona hakuwahi kutamba Sana kwenye mainstream kulinganisha kina HOV wakati ule ...mwana huyo NI WA kuitwa BIG L.........
And secondly Pia naomba nitolewe tongotongo kumhusu andre3000 ambaye naona anakuwa regarded as one among the best rappers with good flows na unique lyricism...Kwa upande wangu naona WA kawaida Tu.... ..
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hamjui cole huyuUnamjua vizuri J Cole wewe?
vijana wa leo hawawezi kukuelewa mkuu, sio makosa yaoMkuu usiharibu mjadala kwa kuleta utoto..... hapa hakuna anayeketa ujuaji labda wewe
Hapa watu wanajadili kujiburudisha na kuongeza ufahamu kwa kujenga hoja na sio ugonvi na dharau
Speaking of J Cole
J.Cole ni mfuasi namba moja wa NAS ni kama copy ya Nas kwa wana hip hop wa zama za kati
Kwa taarifa yako tu J cole tukiachilia mbali ubora wake kimashairi na flow tuangalie mauzo na chart ambazo wengi ndio mnatumia kama kigezo pekee cha ubora
Katika album 6 za J Cole album 6 zime peak no 1 kwenye Billboard.......sio jambo jepesi hata kidogo
Hiyo akbum ya Off Season unayoidharau imeingia kwwnye tuzo za Grammy na kupoteza mbele ya DONDA ya Kanye West kama best hip hop album
Kama ulikua hujui basi chukua hii ukitaja kizazi bora kabisa cha rapper kipindi kimoja nyuma ukiachana na hiki cha akina lil baby basi J Cole ndio mmoja wa wana hip hop bora wa kizazi chao
J Cole sio daraja moja na Eminem kwasababu ya ukongwe wa Eminem lakini njia anayopita J Cole ndio njia aliyopita Eminem...... usimchukulie poa
I used to print Nas raps and Tape them on the wall,vijana wa leo hawawezi kukuelewa mkuu, sio makosa yao
sio ajabu hawaelewi kinachozungumzwa wanapagawishwa na speed ya maneno
Dion called me when it dropped, sounded sad but sincere
Told me Nas heard your single and he hate that shit
Said you the one, yo why you make that shit?
I can't believe I let Nas down
Damn, my heart sunk to my stomach
I can't believe I let Nas down
I got defensive on the phone
Resentment was in my tone, JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala it
… Long live the idols, may they never be your rivals
Pac was like Jesus, Nas wrote the Bible
Now what you're 'bout to hear's a tale of glory and sin
No I.D. my mentor now let the story begin
hatari sana Jermaine, story teller wa kutukuka!!!
Upo sahihi mkuu hawawezi kunielewavijana wa leo hawawezi kukuelewa mkuu, sio makosa yao
sio ajabu hawaelewi kinachozungumzwa wanapagawishwa na speed ya maneno
Dion called me when it dropped, sounded sad but sincere
Told me Nas heard your single and he hate that shit
Said you the one, yo why you make that shit?
I can't believe I let Nas down
Damn, my heart sunk to my stomach
I can't believe I let Nas down
I got defensive on the phone
Resentment was in my tone, JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala it
… Long live the idols, may they never be your rivals
Pac was like Jesus, Nas wrote the Bible
Now what you're 'bout to hear's a tale of glory and sin
No I.D. my mentor now let the story begin
hatari sana Jermaine, story teller wa kutukuka!!!
Ahsante sana mkuu, natumai madogo watajifunza kitu hapaUpo sahihi mkuu hawawezi kunielewa
LET NAS DOWN ni wimbo wa J Cole wenye kisa kizuri sana mkuu
J Cole alikua anamkubali sana NAS kabla hata hajatoka alikua anabandika verse za nyimbo za Nas ukutani chumba kizima
Alikuja kutengeneza wimbo wa Walk Out mwenye akauamini kweli lakini producer wake No ID akamsikilizisha Nas, unaambiwa Nas hakuuelewa kabisa akasema sijaupenda kabisa
Cha kushangaza badala ya dogo ku mind lakini akasikitika tu na akakaza buti zaidi
Alipokuja kutoa album ya pili ikabidi atunge wimbo kuonyesha ni kwa jinsi gani amemuangusha idol wake anaye mkubali sana kwa kutunga wimbo ambao hakuupenda
Unaambiwa baada ya kumaliza kurekodi J cole akamvizia Nas wakati ana safiri na ndege na yeye akakata tiketi ndege moja na kuhakikisha anakaa naye siti moja
Walipokua hewani J cole akamuomba Nas ausikilize huo wimbo wa Let Nas Down...... baada ya kuu sikiliza Nas alifurahi sana na akaupenda kwa jinsi dogo alivyo muheshimu na wimbo ukawa ndio mjadala mkubwa sana kwenye album ya pili ya J Cole Born Sinner
Baada ya hapo wakaingia studio na kufanya Remix J Cole X Nas na wimbo ukaitwa Make Nas Proud
Dah brother umegusa kwenye sauce yenyewe sasa, huyu umsimamishe na kina Mr. Cheeks mbona balaa atalionaNakumbuka enzi za
1.Marshal Mathers lp
2.Off the wall
3.The eminem show
Baada ya hapo skuwa mfuatiliaji sana wa music.
Em yupo vizuri japo sauti yake skuwahi kuipenda, sauti haina utulivu ( at least kwenye Stan), nadhan ndo hizo "kelele" watu wanazosema.
Ila em ukimkabithi Treach lazima awaze mara mbili, labda "comfidence" la mashabiki wengi alonao tu litamuweka sawa.
Mkuu wote wana storytelling songs nzuri4. Storry telling, hapa naenda na EM, labda kama kuna Ngoma yake ina story kali ( au labda ulimaanisha nini kusema story telling?).
Hitimisho pia umeyumba kidogo mkuu, Kwingine kote sawa na hapo ndipo panapompa ubora EM.
Dah brother umegusa kwenye sauce yenyewe sasa, huyu umsimamishe na kina Mr. Cheeks mbona balaa ataliona
Nakubaliana na Mayu kwamba pamoja na ukali wake alionao lakini zaidi kuna ajenda ya ngozi! SHOWBIZ
Hana ladha kiviile Kama wanavyompotray
Ila mwisho wa siku kila mtu atapenda anachopenda sababu bongo zetu zinadecode tofauti sana.
Kwangu Eminem anasubiri sana, kelele ni style lakini yake hainuvutiii. Bora kelele za Wu Tang akina Ghostface Raekwon na Method mwenyewe. Kama ni ukatuni na-preffer zaidi nimskilize Phife Dawg na jamaa zake ATCQ!
Ili kuprove kwamba M&M ni God of HipHop cha ajabu hao uliowataja wote wanamkubali Eminem.EMINEM ni the most over rated rapper of all time
Kurap haraka kwa speed sio kigezo cha kuwa rapper bora abadani
Kinacho fanya watu wengi waamini Em ni rapper bora wanatumia kigezo cha mauzo....... yes Em anauza sana na anasimama sana kwenye chart kwasababu pamoja na kupata wafuasi kutoka kwa black wenye rap yao lakini anapata wafuasi wengi zaidi kutoka kwa white kuliko black rapper wanaopata kwa black wenzao tu
Kwa tunaojua rap skills Em ni rap cartoon tu na mpiga kelele
Tunapo zungumzia GOAT wa Rap walio hai tunaongelea vichwa kama
NAS Escow
Jay Z nk
Kwenye kizazi kipya tunazungumzia vichwa kama
Kendric Lamar
J Cole nk
Utakuwa haulewi anachokiimba ndio maana unasema kelele.Nakazia.
Eminem ni overrated rap cartoon, labda kwa vile sipendi rap ya kufokewa makelele ya aina yake…. sijawahi kuelewa sababu zinazombeba kwenye mauzo.
Wasanii wasipokua na beef wanatabia ya kuheshimiana sana. Hata Em anawakubali sana Hov Nas Kendrick na J Cole unaosema wanamkubal Em...... Ref list ya rapper wake bora wa muda woteIli kuprove kwamba M&M ni God of HipHop cha ajabu hao uliowataja wote wanamkubali Eminem.
Mimi namkubali Em sababu ya message, rhythm, lyrical na rhymes kali hapo sijagusia beat na styles tofauti za kufa mtu.
Na sio mimi tu bali wote wanaomkubali Eminem.
Ndani ya renegade Nas and Snoop wenyewe walisema Jayz walimkanyaga on his own game, even Jayz mwenyewe anakubali kwamba walimfanya vibaya in renegade.
Dr. Dre alivyomsikia tu Eminem alidhani ni black then akamtafuta na kumwambia ajitambulishe hii! Em akaanza akaanza kuchana "My name is" kilichofuata akapewa beat tu.
Sasa hata kama legend kama Dr. Dre alimkubali Em kwa mara ya kwanza tu wewe nani ubishe? acha dharau aisee.
Eminem ana hit na yupo kwenye track kibao tu ambazo hatumii speed, moja wapo ni hiyo renegade na anateleza na beat kama lake.
Mtu anayedhani Em anakubalika kwa sababu ya speed basi hajui radha ya hiphop wala maana yake, wanaojua maana yake huo watasema ni utoto.
"So the FCC won't let me be Or let me be me so let me see They try to shut me down on MTV But it feels so empty without me."
Alafu mzee unasemaje? yaani Em ana rap cartoon ana kupiga kelele?
Sijui kama hata umewahi kusikiliza ngoma kali za Em mkuu, check hivi vyuma hapa.
Lose yourself
I'm not afraid
Stan
Mocking Bird
No love, humu ukisikiliza kwa makini utamsikia Wayne.
Love the way you lie
Till I Collapse
Renegade humu unaweza sema Jigga ndio kashirikishwa.
The monster
Luck you
Not alike
Venom
Godzilla
Killshot
Hapo hakuna Cartoon unazosema na kama mpaka hapo ukishindwa kumuelewa Em basi fanya mpango wa kufunga masikio mengine mkuu.
Acha utani na M&M mzee the Marshall Mathers.
Utakuwa haulewi anachokiimba ndio maana unasema kelele.
Hivi unaelewa kwenye Lose yourself ameimba nini?
Asiyeelewa atasema mule anapiga kelele, wakati ni one of the best hiphop track of all time na tuzo za kutosha.
Embu acheni utani nyie.
Kuna wanaodai Em alikufa since 2006 kwa kukiuka matakwa ya kikundi alichouza roho yake wa sasa Ni cloned Emhuyu mwamba kuna tetesi aliuza roho yake kwa Lucifer na wimbo wake wa my Darling unathibitisha
Mkuu MADA kuu ilikua Em ni Rap God na hakuna wa kumfananisha naye wala kumshinda......, hapa anayepinga lazima apinge kwa kulinganisha na kueleza weakness za Em dhidi ya wengineWengi humu tunakubaliana mengi ila tunakuja kupishana sehemu chache........
Em ana rap cartoon❌.......Hii si kweli, Nyingi ya hizi unazoziita rap cartoons ni disstrack na zina ujumbe kabisa na Uzuri ni kuwa arirap kitu kinachoeleweka na sio makelele tu kama unavyodhani ( Naelewa ukisema rap cartoon kutoka kwa Em unasemea Just lose it, Ass like that, Ma dad gone crazy etc).
Em anachojua ni kurap kwa speed tu ❌.....huu ni uongo afu sio mzuri.
Kwanza huwezi kurap kwa speed kama huna pumzi, pumzi ni muhimu kwa Rapper.
Lakini Em smeonesha ubora katika kurap taratibu.
Mfano Beautiful, When am gone na 97' Bonnie and clyde.
Marapper wote watatu ni wakali uzuri ni kuwa nawaskiliza wote kutokana na mood So siongei kwa mahaba nimtazamo tu, ambao unakuja kukubaliana na wengi wanaosema Em ni mkali.
Tuje kwnye Speed Why tuitumie kama weakness? Speed ( pumzi) sio jambo baya kwa rapa ni la muhimu.Mkuu MADA kuu ilikua Em ni Rap God na hakuna wa kumfananisha naye wala kumshinda......, hapa anayepinga lazima apinge kwa kulinganisha na kueleza weakness za Em dhidi ya wengine
Tatizo lenu mnata tu kuambiwa sifa nzuri za Em na HAMTAKI kusikia sifa zingine ambazo mnahisi zina m discredit “God Rap”
Narudia tena Em anazo rap cartoon/comedy nyingi tu na zime hit tofauti na Rapper wenye matured songs only...... so ukiambiwa anaimba rap cartoon kubali kwasababu sio dhambi kuimba hivyo
Sifa moja wapo ya Em ni speed na ndio nature yake, na yupo kwenye Guinness Book, Nas, Jadakiss, Hov, 2pac, Big hawana speed hizo....... kubali Speed ni sifa yake kubwa pia
Sitaki kuamini kwamba mahaba yako kwa Em yana kufanya ku ignore completely kwamba speed na rap cartoon sio sifa mmoja wapo za Em
Sijaona hata mtu mmoja anasema Em sio rapper mzuri...... tatizo ni swali la mleta mada