LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,121
- 27,128
Wataalamu wa mambo wanasema ni nuksi kwa taswira/image ya mtu kuwa reflected kwenye kioo au sehemu yoyote ya Gari lililobeba mwili wa marehemu " funeral car"
Suluhisho ni nini?
Kufanya maombi mazito kama ni mkristo...
Kufanya Dua Na visomo vizito kama Ni muislamu
Kufanya tambiko Zito la kimila Kwa wewe unayeamini katika Mila.
Au kufanya vyote Kwa pamoja.
Kinga?
Kaa Mbali Na Gari lililobeba mwili wa marehemu...
NB: WATU WANAO FANYA KAZI KWENYE FUNERAL SERVICES COMPANIES WANAJUA KUHUSU MIIKO HII NA WANAJUA NINI CHA KUFANYA .. HATA MADEREVA WA HAYO MAGARI PIA WANAJUA NINI CHA KUFANYA. HATA WANAO SAFIRISHA MAITI KUPELEKA MIKOANI WANAJUA NINI CHA KUFANYA . TARATIBU ZA KUFUATA MWILI WA MAREHEMU UNAWEKWA VIPI KWENYE GARI.KICHWA KINA ANGALIA WAPI, MIGUU INAANGALIA WAPI...
Shida Ni pale inapotokea Kwa Bahati mbaya Yani ulikuwa unatembea barabarani au unaendesha Gari halafu buu baa Gari Hilo hapo pembeni umepiga jicho kwenye Gari Na taswira yako imekuwa relfected either kwenye kioo au kwenye Gari... That is a very bad omen. Linapotokea Jambo Hilo unashauriwa kufanya Moja WaPo Kati ya mambo niliyo yataja hapo juu au vyote kwa pamoja...
N.b: hiyo picha Ni kwenye msiba wa Hanspope.