Kisa Cha kondakta anayepanga kugomea kukabidhi gari Kwa mmiliki.

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,103
22,551
Haya mambo ya sikukuu haya!!

Baada ya nauli kupanda sana, wanaukoo tukashauriana tuliumie basi letu la ukoo katika safari yetu ndefu mbele yetu, tukachangishana, tukawasiliana na mmiliki na kushirikisha wakubwa wengine katika ukoo, ukatengezwa mwongozo wa SHERIA na KANUNI za safari na mchakato wa kumpata dereva kati ya wanaukoo wanaosafiri ukaanza.

Baada ya dereva kufanyiwa majaribio na kukidhi vigezo vyote vya mmiliki ,akakabidhiwa gari na kupewa mkataba wa miaka 10, sawa na kilometer 10,000,000, Kwa Awamu mbili za mitano mitano Kwa sharti la kufanyika mchujo Kwa Kila Awamu akipambanishwa na madereva wengine. Nia ni kuwafikisha salama Abiria.

Mmiliki akamleta pia kondakta Ili kukaa mlangoni na kumsaidia dereva na Abiria Kwa baadhi ya KAZI ndani ya bus, Ikumbukwe kuwa kondakta amewahi kufanya utundu mtaani na kujua kuendesha gari. Shida pekee ya kondakta, Hana vigezo Kwa kukosa lesseni na uzoefu wa kuendesha Kwa muda mrefu.

Safari ikaendelea Kwa Kilometa 6,000,000tu ambazo ni sawa na miaka SITA ya mkataba, mara shida ikajitokeza, Dereva akaanza kujisikia vibaya, alipata mafua makali sana, chafya zikawa nyingi ndani ya bus, dereva hakutaka ijulikane Kwa mmiliki na Abiria kuwa anaumwa, alichokifanya dere ni kukaa pembeni, baada ya Hali kuzidi kuwa mbaya, na kumkabidhi konda mara Kwa mara na wakawa wakibadilishana na safari ikaendelea.

Dere anafariki, na gari ikapaki, mwili ukatolewa nje na kwenda kuzikwa, huzuni ilitawala, Abiria waliumia sana kumkosa dere aliyewaendesha vizuri na Kwa weledi mkubwa.

Baada ya Msiba kwisha,majadiliano yakaanza kati ya Abiria na konda. Abiria walilalamika kuwa ni muhimu atafutwe dere mwingine Ili awafikishe salama mwisho wa safari, mzozo ulipokuwa mkubwa, ikabidi apigiwe simu mmiliki Ili atoe mwongozo. Mmiliki baada ya kuwasiliana na kondakta na Abiria, yalofanyika makubaliano kuwa, ni muhimu kondakta aendeshe gari Kwa muda uliobaki aweze kuwafikisha Abiria terminal na kukabidhi gari Kwa mmiliki Ili atafutwe dereva mwingine mwenye lesseni. Mmiliki alimwambia konda, ikiwa utawafikisha Abiria salama, nitakufanyia mpango upate Leseni na upitie mchujo wa kiushindani na waombaji wengine wa KAZI ya udereva ukishinda utapewa gari Kwa safari nyingine tena, na kupewa mkataba wa miaka mitano.

Kondakta alivyosikia maelekezo ya mmiliki wa bus, hakuridhika nayo, alikasirika sana na kuanza vitimbi Kwa Abiria, akatangaza maelekezo yake mapya akisigina ya mtangulizi, akateua deiwaka wake wanaomtii, akabadili route ya safari,mara aongeze spidi, mara awapigie simu wamiliki wengine kutaka kuuza gari na Abiria, mara aongeze nauli, Abiria hatukuwa na namna ingine, na tusingeweza kushuka maana tulishalipia nauli mwanzo, wakati mwingine aliongeza spidi na kulipeleka gari usawa wa mti mkubwa huku akichekelea, alipoukaribia mti alikwepesha na kuwaambia Abiria wasiogope, alikuwa anawaonyesha umahiri wake katika kuendesha gari. Alikuwa akimponda sana Dere aliyepita kuwa hakuwa akijua kuendesha gari, na Kila aliyemsifia aliyepita, alishughulikiwa na kunyimwa huduma muhimu.

Kila alipokutana na bus zingine barabarani, alianza kuuza spea za gari Moja baada ya ingine, taa zote za nyuma aliuza na ya mbele Moja, ikabaki taa Moja tu ya mbele, uuzaji wa spea za gari ukaendelea, alianza kuuza na seat za Abiria, Abiria wakawa wakisafiri wamekaa chini, mwendo wa dere ulikuwa wa Kasi mno, akipiga break kidogo, Abiria wanaserereka na kugongana sababu seat zote ziling'olewa na kuuzwa.

Imagine bus halina seat, taa zote zimeuzwa, matairi mapya yameuzwa na kuwekwa kipara na mwendo ni WA Kasi, taa inayotumika ni Moja tu, na ni usiku sana.

Safari iliendelea Kwa shida, konda akiwa katika usukani aliendelea kufanya fitna Kwa madereva wengine wenye vigezo na kuwatisha wasisogelee nafasi yake Ili abaki mwenyewe sababu ya uzoefu wa kukabidhiwa gari na dere aliyepita.

Kondakta alidhamiria kumsingizia mapungufu yote ya basi dere aliyepita Kwa kuwa hawezi kujitetea na alikuwa akipiga simu mara Kwa mara kumpanga mmiliki Ili aonekane Yeye Hana HATIA, mwenye shida ni marehemu ambaye ni dereva aliyepita.

Imebaki miaka 2 ya mkataba na takribani kilometa 2,000,000 hivi kufika buss terminal, na kukamilika Kwa Kilometa hizo 2,000,000 kutakuwa kumefikisha ukomo wa miaka 2 ya mkataba uliobaki wa dere mpya ,aliyekabidhiwa Kutoka kuwa kondakta bila kuwa na leseni Wala kupitishwa mchujo wowote.

Abiria tumajiuliza,

1. Je tutafika salama?

2. Je mmiliki atakubaliana na maelezo na mfumo wa kondakta mpya na kumkabidhi gari Moja Kwa moja bila kufanyika mchujo wa kumpata dereva mwingine?

3. Nini mtizamo wako juu ya future ya kondakta aliyejimilikisha udereva?

4. Je, Kwa tamaduni zetu za kiafrika, ni sawa kung'ng'ania KITI Cha dere aliyefariki njiani bila kukabidhi kwanza, inaleta picha Gani Kwa Abiria na mmiliki?

5. Je, ni sawa gari kuendeshwa Kwa miaka 10+mfululizo bila kupaki, kufanya service na TATHMINI ya kina kabla ya kuanza safari ingine?

Karibuni🙏
 
Haya mambo ya sikukuu haya!!

Baada ya dereva kufanyiwa majaribio na kukidhi vigezo vyote vya mmiliki ,akakabidhiwa gari na kupewa mkataba wa miaka 10 Kwa Awamu mbili za mitano mitano Kwa sharti la kufanyika mchujo Kwa Kila Awamu akipambanishwa na madereva wengine. Nia ni kuwafikisha salama Abiria.

Mmiliki akamleta pia kondakta Ili kukaa mlangoni na kumsaidia dereva na Abiria Kwa baadhi ya KAZI ndani ya bus, Ikumbukwe kuwa kondakta amewahi kufanya utundu mtaani na kujua kuendesha gari. Shida pekee ya kondakta, Hana vigezo Kwa kukosa lesseni na uzoefu wa kuendesha Kwa muda mrefu.

Safari ikaendelea Kwa Kilometa 600tu ambazo ni sawa na miaka SITA ya mkataba, mara shida ikajitokeza, Dereva akaanza kujisikia vibaya, alipata mafua makali sana, chafya zikawa nyingi ndani ya bus, dereva hakutaka ijulikane Kwa mmiliki na Abiria kuwa anaumwa, alichokifanya dere ni kukaa pembeni, baada ya Hali kuzidi kuwa mbaya, na kumkabidhi konda mara Kwa mara na wakawa wakibadilishana na safari ikaendelea.

Dere anafariki, na gari ikapaki, mwili ukatolewa nje na kwenda kuzikwa, huzuni ilitawala, Abiria waliumia sana kumkosa dere aliyewaendesha vizuri na Kwa weledi mkubwa.

Baada ya Msiba kwisha,majadiliano yakaanza kati ya Abiria na konda. Abiria walilalamika kuwa ni muhimu atafutwe dere mwingine Ili awafikishe salama mwisho wa safari, mzozo ulipokuwa mkubwa, ikabidi apigiwe simu mmiliki Ili atoe mwongozo. Mmiliki baada ya kuwasiliana na kondakta na Abiria, yalofanyika makubaliano kuwa, ni muhimu kondakta aendeshe gari Kwa muda uliobaki aweze kuwafikisha Abiria terminal na kukabidhi gari Kwa mmiliki Ili atafutwe dereva mwingine mwenye lesseni. Mmiliki alimwambia konda, ikiwa utawafikisha Abiria salama, nitakufanyia mpango upate Leseni na upitie mchujo wa kiushindani na waombaji wengine wa KAZI ya udereva ukishinda utapewa gari Kwa safari nyingine tena, na kupewa mkataba wa miaka mitano.

Kondakta alivyosikia maelekezo ya mmiliki wa bus, hakuridhika nayo, alikasirika sana na kuanza vitimbi Kwa Abiria, mara aongeze spidi, mara awapigie simu wamiliki wengine kutaka kuuza gari na Abiria, mara aongeze nauli, wakati mwingine aliongeza spidi na kulipeleka gari usawa wa mti mkubwa huku akichekelea, alipoukaribia mti alikwepesha na kuwaambia Abiria wasiogope, alikuwa anawaonyesha umahiri wake katika kuendesha gari. Alikuwa akimpoda sana Dere aliyepita kuwa hakuwa akijua kuendesha gari, na Kila aliyemsifia aliyepita, alishughulikiwa na kunyimwa huduma muhimu.

Kila alipokutana na bus zingine barabarani, alianza kuuza spea za gari Moja baada ya ingine, taa zote za nyuma aliuza na ya mbele Moja, ikabaki taa Moja tu ya mbele, uuzaji wa spea za gari ukaendelea, alianza kuuza na seat za Abiria, Abiria wakawa wakisafiri wamekaa chini, mwendo wa dere ulikuwa wa Kasi mno, alipiga break kidogo, Abiria wanaserereka na kugongana sababu seat zote zilingolewa na kuuzwa.

Imagine bus halina seat, taa zote zimeuzwa, matajiri mapya yameuzwa na kuwekwa kipara na mwendo ni WA Kasi, taa inayotumika ni Moja tu, na ni usiku sana.

Safari iliendelea Kwa shida, konda akiwa katika usukani aliendelea kufanya fitna Kwa madereva wengine wenye vigezo na kuwatisha wasisogelee nafasi yake Ili abaki mwenyewe sababu ya uzoefu wa kukabidhiwa gari na dere aliyepita.

Kondakta alidhaniria kumsingizia mapungufu yote ya basi dere aliyepita Kwa kuwa hawezi kujitetea na alikuwa alipiga simu mara Kwa mara kumpanga mmiliki Ili aonekane Hana HATIA, mwenye shida ni marehemu dereva aliyepita.

Imebaki miaka 2 ya mkataba na takribani kilometa 200 hivi kufika buss terminal, na kukamilika Kwa Kilometa hizo 200 kutakuwa kumefikisha ukomo wa miaka 2 ya mkataba uliobaki wa dere mpya aliyekabidhiwa Kutoka kuwa kondakta bila kuwa na leseni Wala kupitishwa mchujo wowote.

Abiria tumajiuliza,

1. Je tutafika salama?

2. Je mmiliki atakubaliana na maelezo na mfumo wa kondakta mpya na kumkabidhi gari Moja Kwa moja bila kufanyika mchujo wa kumpata dereva mwingine?

3. Nini mtizamo wako juu ya future ya kondakta aliyejimilikisha udereva?

Karibuni
Hata mseme nini mkijaribu Kumtoa au kutompitisha Rais Samia Suluhu Hassan tutawasha moto msioweza kuuzima.

Rais Samia lazima awepo hadi 2030
 
Haya mambo ya sikukuu haya!!

Baada ya dereva kufanyiwa majaribio na kukidhi vigezo vyote vya mmiliki ,akakabidhiwa gari na kupewa mkataba wa miaka 10 Kwa Awamu mbili za mitano mitano Kwa sharti la kufanyika mchujo Kwa Kila Awamu akipambanishwa na madereva wengine. Nia ni kuwafikisha salama Abiria.

Mmiliki akamleta pia kondakta Ili kukaa mlangoni na kumsaidia dereva na Abiria Kwa baadhi ya KAZI ndani ya bus, Ikumbukwe kuwa kondakta amewahi kufanya utundu mtaani na kujua kuendesha gari. Shida pekee ya kondakta, Hana vigezo Kwa kukosa lesseni na uzoefu wa kuendesha Kwa muda mrefu.

Safari ikaendelea Kwa Kilometa 600,000tu ambazo ni sawa na miaka SITA ya mkataba, mara shida ikajitokeza, Dereva akaanza kujisikia vibaya, alipata mafua makali sana, chafya zikawa nyingi ndani ya bus, dereva hakutaka ijulikane Kwa mmiliki na Abiria kuwa anaumwa, alichokifanya dere ni kukaa pembeni, baada ya Hali kuzidi kuwa mbaya, na kumkabidhi konda mara Kwa mara na wakawa wakibadilishana na safari ikaendelea.

Dere anafariki, na gari ikapaki, mwili ukatolewa nje na kwenda kuzikwa, huzuni ilitawala, Abiria waliumia sana kumkosa dere aliyewaendesha vizuri na Kwa weledi mkubwa.

Baada ya Msiba kwisha,majadiliano yakaanza kati ya Abiria na konda. Abiria walilalamika kuwa ni muhimu atafutwe dere mwingine Ili awafikishe salama mwisho wa safari, mzozo ulipokuwa mkubwa, ikabidi apigiwe simu mmiliki Ili atoe mwongozo. Mmiliki baada ya kuwasiliana na kondakta na Abiria, yalofanyika makubaliano kuwa, ni muhimu kondakta aendeshe gari Kwa muda uliobaki aweze kuwafikisha Abiria terminal na kukabidhi gari Kwa mmiliki Ili atafutwe dereva mwingine mwenye lesseni. Mmiliki alimwambia konda, ikiwa utawafikisha Abiria salama, nitakufanyia mpango upate Leseni na upitie mchujo wa kiushindani na waombaji wengine wa KAZI ya udereva ukishinda utapewa gari Kwa safari nyingine tena, na kupewa mkataba wa miaka mitano.

Kondakta alivyosikia maelekezo ya mmiliki wa bus, hakuridhika nayo, alikasirika sana na kuanza vitimbi Kwa Abiria, mara aongeze spidi, mara awapigie simu wamiliki wengine kutaka kuuza gari na Abiria, mara aongeze nauli, wakati mwingine aliongeza spidi na kulipeleka gari usawa wa mti mkubwa huku akichekelea, alipoukaribia mti alikwepesha na kuwaambia Abiria wasiogope, alikuwa anawaonyesha umahiri wake katika kuendesha gari. Alikuwa akimpoda sana Dere aliyepita kuwa hakuwa akijua kuendesha gari, na Kila aliyemsifia aliyepita, alishughulikiwa na kunyimwa huduma muhimu.

Kila alipokutana na bus zingine barabarani, alianza kuuza spea za gari Moja baada ya ingine, taa zote za nyuma aliuza na ya mbele Moja, ikabaki taa Moja tu ya mbele, uuzaji wa spea za gari ukaendelea, alianza kuuza na seat za Abiria, Abiria wakawa wakisafiri wamekaa chini, mwendo wa dere ulikuwa wa Kasi mno, alipiga break kidogo, Abiria wanaserereka na kugongana sababu seat zote zilingolewa na kuuzwa.

Imagine bus halina seat, taa zote zimeuzwa, matajiri mapya yameuzwa na kuwekwa kipara na mwendo ni WA Kasi, taa inayotumika ni Moja tu, na ni usiku sana.

Safari iliendelea Kwa shida, konda akiwa katika usukani aliendelea kufanya fitna Kwa madereva wengine wenye vigezo na kuwatisha wasisogelee nafasi yake Ili abaki mwenyewe sababu ya uzoefu wa kukabidhiwa gari na dere aliyepita.

Kondakta alidhaniria kumsingizia mapungufu yote ya basi dere aliyepita Kwa kuwa hawezi kujitetea na alikuwa alipiga simu mara Kwa mara kumpanga mmiliki Ili aonekane Hana HATIA, mwenye shida ni marehemu dereva aliyepita.

Imebaki miaka 2 ya mkataba na takribani kilometa 200,000 hivi kufika buss terminal, na kukamilika Kwa Kilometa hizo 200,000 kutakuwa kumefikisha ukomo wa miaka 2 ya mkataba uliobaki wa dere mpya aliyekabidhiwa Kutoka kuwa kondakta bila kuwa na leseni Wala kupitishwa mchujo wowote.

Abiria tumajiuliza,

1. Je tutafika salama?

2. Je mmiliki atakubaliana na maelezo na mfumo wa kondakta mpya na kumkabidhi gari Moja Kwa moja bila kufanyika mchujo wa kumpata dereva mwingine?

3. Nini mtizamo wako juu ya future ya kondakta aliyejimilikisha udereva?

4. Je, Kwa tamaduni zetu za kiafrika, ni sawa kungangania KITI Cha dere aliyefariki, inaleta picha Gani Kwa Abiria na mmiliki?

Karibuni
Mwanzoni sikuelewa ila nimefika mwisho ndo nimekuelewa.
 
Kuna riwaya moja iliita 'Mashetani"
 
Eti dere aliyekufa aliendesha gari vizuri sana abiria wakaumia sana alipokufa una uhakika? Una hakika tukamuulize baba yake na Ben Saanane kama abiria walimsifia marehemu dereva?.
 
Daaaah usipuuze uzi kwa kutazama title. Nilichotarajia na nilichokikuta havifanani. Nimewaza safari za sikukuu kumbe zinazungumzwa safari za nyumba kuu.

2. Dereva na wapambe wa dereva hawatakubali. Ni wakati wao kufurahia safari. Wapambe ukitaka wakubali basi dereva ajae awe na upendo kwao kama alionao kondakta aliyebahatika kuwa dereva. Na ukitaka dereva atoke basi hakikisha hana wapambe kitu ambacho ni ngumu kidogo. Abiria wao wapo tu,wamezoea kuvumilia kupanda na kushuka kwa maisha. Wazidishe ibada safari inaendelea.
 
Eti dere aliyekufa aliendesha gari vizuri sana abiria wakaumia sana alipokufa una uhakika? Una hakika tukamuulize baba yake na Ben Saanane kama abiria walimsifia marehemu dereva?.
Ben sa8 ndo nani tena?

Umeambiwa ni basi la vibwengo Hilo?
 
Daaaah usipuuze uzi kwa kutazama title. Nilichotarajia na nilichokikuta havifanani. Nimewaza safari za sikukuu kumbe zinazungumzwa safari za nyumba kuu.
Acha hizo wewe,

Safari ni ya sikukuu, na mwezi ni December na nauli zimepanda!!
 
Haya mambo ya sikukuu haya!!

Baada ya dereva kufanyiwa majaribio na kukidhi vigezo vyote vya mmiliki ,akakabidhiwa gari na kupewa mkataba wa miaka 10, sawa na kilometer 10,000,000, Kwa Awamu mbili za mitano mitano Kwa sharti la kufanyika mchujo Kwa Kila Awamu akipambanishwa na madereva wengine. Nia ni kuwafikisha salama Abiria.

Mmiliki akamleta pia kondakta Ili kukaa mlangoni na kumsaidia dereva na Abiria Kwa baadhi ya KAZI ndani ya bus, Ikumbukwe kuwa kondakta amewahi kufanya utundu mtaani na kujua kuendesha gari. Shida pekee ya kondakta, Hana vigezo Kwa kukosa lesseni na uzoefu wa kuendesha Kwa muda mrefu.

Safari ikaendelea Kwa Kilometa 6,000,000tu ambazo ni sawa na miaka SITA ya mkataba, mara shida ikajitokeza, Dereva akaanza kujisikia vibaya, alipata mafua makali sana, chafya zikawa nyingi ndani ya bus, dereva hakutaka ijulikane Kwa mmiliki na Abiria kuwa anaumwa, alichokifanya dere ni kukaa pembeni, baada ya Hali kuzidi kuwa mbaya, na kumkabidhi konda mara Kwa mara na wakawa wakibadilishana na safari ikaendelea.

Dere anafariki, na gari ikapaki, mwili ukatolewa nje na kwenda kuzikwa, huzuni ilitawala, Abiria waliumia sana kumkosa dere aliyewaendesha vizuri na Kwa weledi mkubwa.

Baada ya Msiba kwisha,majadiliano yakaanza kati ya Abiria na konda. Abiria walilalamika kuwa ni muhimu atafutwe dere mwingine Ili awafikishe salama mwisho wa safari, mzozo ulipokuwa mkubwa, ikabidi apigiwe simu mmiliki Ili atoe mwongozo. Mmiliki baada ya kuwasiliana na kondakta na Abiria, yalofanyika makubaliano kuwa, ni muhimu kondakta aendeshe gari Kwa muda uliobaki aweze kuwafikisha Abiria terminal na kukabidhi gari Kwa mmiliki Ili atafutwe dereva mwingine mwenye lesseni. Mmiliki alimwambia konda, ikiwa utawafikisha Abiria salama, nitakufanyia mpango upate Leseni na upitie mchujo wa kiushindani na waombaji wengine wa KAZI ya udereva ukishinda utapewa gari Kwa safari nyingine tena, na kupewa mkataba wa miaka mitano.

Kondakta alivyosikia maelekezo ya mmiliki wa bus, hakuridhika nayo, alikasirika sana na kuanza vitimbi Kwa Abiria, mara aongeze spidi, mara awapigie simu wamiliki wengine kutaka kuuza gari na Abiria, mara aongeze nauli, Abiria hatukuwa na namna ingine, na tusingeweza kushuka maana tulishalipia nauli mwanzo, wakati mwingine aliongeza spidi na kulipeleka gari usawa wa mti mkubwa huku akichekelea, alipoukaribia mti alikwepesha na kuwaambia Abiria wasiogope, alikuwa anawaonyesha umahiri wake katika kuendesha gari. Alikuwa akimpoda sana Dere aliyepita kuwa hakuwa akijua kuendesha gari, na Kila aliyemsifia aliyepita, alishughulikiwa na kunyimwa huduma muhimu.

Kila alipokutana na bus zingine barabarani, alianza kuuza spea za gari Moja baada ya ingine, taa zote za nyuma aliuza na ya mbele Moja, ikabaki taa Moja tu ya mbele, uuzaji wa spea za gari ukaendelea, alianza kuuza na seat za Abiria, Abiria wakawa wakisafiri wamekaa chini, mwendo wa dere ulikuwa wa Kasi mno, alipiga break kidogo, Abiria wanaserereka na kugongana sababu seat zote zilingolewa na kuuzwa.

Imagine bus halina seat, taa zote zimeuzwa, matajiri mapya yameuzwa na kuwekwa kipara na mwendo ni WA Kasi, taa inayotumika ni Moja tu, na ni usiku sana.

Safari iliendelea Kwa shida, konda akiwa katika usukani aliendelea kufanya fitna Kwa madereva wengine wenye vigezo na kuwatisha wasisogelee nafasi yake Ili abaki mwenyewe sababu ya uzoefu wa kukabidhiwa gari na dere aliyepita.

Kondakta alidhamiria kumsingizia mapungufu yote ya basi dere aliyepita Kwa kuwa hawezi kujitetea na alikuwa akipiga simu mara Kwa mara kumpanga mmiliki Ili aonekane Yeye Hana HATIA, mwenye shida ni marehemu dereva aliyepita.

Imebaki miaka 2 ya mkataba na takribani kilometa 2,000,000 hivi kufika buss terminal, na kukamilika Kwa Kilometa hizo 2,000,000 kutakuwa kumefikisha ukomo wa miaka 2 ya mkataba uliobaki wa dere mpya ,aliyekabidhiwa Kutoka kuwa kondakta bila kuwa na leseni Wala kupitishwa mchujo wowote.

Abiria tumajiuliza,

1. Je tutafika salama?

2. Je mmiliki atakubaliana na maelezo na mfumo wa kondakta mpya na kumkabidhi gari Moja Kwa moja bila kufanyika mchujo wa kumpata dereva mwingine?

3. Nini mtizamo wako juu ya future ya kondakta aliyejimilikisha udereva?

4. Je, Kwa tamaduni zetu za kiafrika, ni sawa kung'ng'ania KITI Cha dere aliyefariki bila kukabidhi, inaleta picha Gani Kwa Abiria na mmiliki?

Karibuni🙏
Kuna msitari Wa traps anasema Mungu ikikupendeza chukua na hawa nami nasema Amina!
 
Back
Top Bottom