Mwili wa aliyekuwa Dobi Ofisi ya Makamu wa Rais Marehemu Jackson Mwakyelu aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa tarehe 28 Aprili 2023 Wasafirishwa

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Hivi hujajiuliza Kwa Nini DObi wa Makamu wa Rais Leo kasafirishwa ma DEGE la jeshi kwenda kuzikwa?

Heshimu kila mtu unae mkuta ofisini, hata Makamu wa Rais hakujua ya kuwa mfuaji alikuwa afisa wa juu Jeshini.

=====

Makamu wa Rais na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakiwa Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 30 Aprili 2023 wakisindikiza mwili wa aliyekuwa Dobi Ofisi ya Makamu wa Rais Marehemu Jackson Mwakyelu aliyefariki kwa ajali ya gari usiku wa tarehe 28 Aprili 2023.

IMG_20230430_211205_147.jpg
 
Mbona hata yule aliyekuja kutotoresha na kuwatunza tausi ikulu JPM alisema alimtoa jeshini. Ila ukimkuta ikulu alivyokuwa anaokota mayai na kuyapeleka kwenye incubator na kuwatunza vifaranga wa tausi ungeweza mchukulia poa.
 
Back
Top Bottom