Ni nini sababu ya binadamu kuletwa Duniani?

Ni nini sababu ya binadamu kuletwa Duniani?

Hivi ni raha gani hizo ambazo mwanadamu anazikosa kama akiamua kuishi maisha ya utakatifu kiasi cha kuona maisha ni mabaya kama akizikosa?
Ni tamaa mbaya? ulevi? Uchawi? Uzinzi? Ufiraji? Wizi? Kutokuheshimu wazazi? Mbona ni ubatili tu huu.
Mtu yeyote aliyepevuka hata kama hamuamini Mungu anaelewa kabisa hapo ni kujilisha upepo tu wala hayana faida ila hasara.
Mimi sipendi kwenda kanisani. Ndugu zangu wanaanza kuniambia namruhusu shetani moyoni mwangu
Hiki ndio kitu mimi sipendi kabisa kuhusu dini. Kwani lazima twende nyumba za ibada kumsifu? Vipi nikiishi maisha yangu vizuri tu bila kukwaza watu na nisiende kanisani kumsifu, nalo ni kosa?
 
Mi sidhani kama tupo hapa labda eti kuna kitu inabidi tukitimize. Tupo hapa naturally tu kama ilivyo kwa mbuzi, ng'ombe, nzi nk
Kwa hiyo usijiulize sana, hamna sababu ya msingi sisi kuwepo hapa. We ishi, struggle, kufa uache nafasi waje wengine
Hili ndio jibu sahihi ,
 
Back
Top Bottom