Tuna
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,823
- 2,476
Devil bible,im not a devil.Tatizo uoga, unawafelisha Kujua mengi
Devil bible,im not a devil.Tatizo uoga, unawafelisha Kujua mengi
Fumba macho kama nusu saa halafu mfikirie Mungu au kama ni mkristo unaweza mfikiria na yesu pia , halafu andika taswira ya ulicho kiona ndani ya lile giza wakati umefumba macho kwa utulivu kabisa.Sasa mbona unacheka mkuu
Malaika wote waliojaa nbinguni, hawakumtosha hadi aumbe binadamu wa kumwabudu? Ina make sense? Kukaririshwa kubaya sn,Sababu kubwa ya kuumbwa sisi bin adam ni kumwabudu muumba wetu aliyetuumba
👍Hatujaletwa duniani bali tumetokea duniani.
Ni kama ua linavyochipuka kutoka Kwenye udongo.
Au jani linavyochipuka Kutoka kwenye mti wake.
Hilo jani halijawekwa/Halijapachikwa bali limechipukia kutoka Kwenye mti.
Hivyo basi, ukielewa hivyo utagundua kuwa hamna purpose ya jani bila purpose ya mti.
Jani lipo Kwa ajili ya mti na mti upo Kwa ajili ya ustawi wa jani.
Hatujaletwa duniani bali tumetokana na Dunia, Tupo Kwa ajili ya Dunia na Dunia ipo Kwa ajili yetu. Na haiishii Dunia tu bali ulimwengu mzima.
Maana hata jua linawaka Kwa ajili ya ustawi wako.
Kila kitu kipo Kwa ajili ya kitu kingine.
Kwanini?
Kwasababu Kila kitu ni kitu kimoja.
Hakuna clear boundaries za wewe na mazingira bali wewe na mazingira yanayokuzunguka ni kitu kimoja. Wewe pia ni sehemu ya mazingira.
Hakuna clear boundary ya wewe na Mimi au wewe na mwingine kwakuwa wewe au Mimi au mwingine kiuhalisia havipo.
Kwakuwa Kila kitu ni kitu kimoja.
Kwa hiyo wewe unaona umeumbwa ili uje ujaze choo siyo?Malaika wote waliojaa nbinguni, hawakumtosha hadi aumbe binadamu wa kumwabudu? Ina make sense? Kukaririshwa kubaya sn,
Ni sawa unaambiwa chukuà mafuta eti ya upako,maji na sadaka ya kujimaliza na wewe unatowa, mchungaji anaendelea kutajirika wakati muumini analala njàa🤣🤣
👏👏👏👏Kwanza, Hakuna Mungu.
Pili, Binadamu hawakuletwa na wala binadamu hawaletwi duniani.
Binadamu ni nature, binadamu ni sehemu ya nature.
Nature is self -existing.
We are also self-existing.
Binadamu tumekuwepo duniani na tunaendelea kuwepo duniani kwa kuzaliana sisi wenyewe kwa wenyewe.
Tuna uwezo wa kuamua kuacha kuzaliana kabisa duniani, kisha tuka toweka kabisa kwenye uso wa dunia.
Hatukuwepo mahali popote pale kabla ya kuzaliwa kwetu, Vivyo hivyo hatuendi mahali popote pale baada ya kufa kwetu.
Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, udadisi, uchunguzi na majaribio zaidi.
We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are the part of the mysteries we are trying to solve.
🤣😂Maisha ni fumbo.
Maisha ya duniani yalikuwa ni zawadi na sio adhabu, changamoto ni binadamu kutaka kuishi against nature, hapo ndipo mateso yanapo anzia.
Swali: Unauhakika gani kwamba upo duniani?
Umeshawahi kuota ndoto na ukajiona upo huko ndotoni? What if na hapa upo ndotoni na pengine ukifa hapa ndo unaamka kutoka usingizi uliokuwapo?
Mi sijaletwa duniani.Habari wanaJf
Nimekuwa nikijiuliza swali moja la msingi sana lakini majibu thabiti nimekuwa nikikosa kabisa...
Kwa wale wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu naomba wanijuze kwanini tumeletwa hapa duniani ambako tunaishi maisha mafupi na kupita, je Mungu hakuona namna nyingine ya kutufanya tufike huko kwenye maisha ya milele kunakosemwa na vitabu vyake bila kupitia hapa duniani kwenye shida na karaha?
Kulikuwa na haja ipi kutupitisha kwenye mateso hali ya kuwa ipo sehemu salama tunaelekea? ( Kwanini alitupitisha duniani?)
Hata wale wasioamini uwepo wa Mungu nao naomba wanisaidie kujua juu ya hili swali langu...kama hakuna maisha baada ya haya kwanini tupitishwe hii sehemu yenye taabu na mateso mengi tena kwenye maisha mafupi..kwanini tumetolewa huko tulikokuwa na kuletwa hapa duniani ambako kuishi kwetu ni muda mfupi na tisingebaki huko huko kama tulikuwa na maisha kabla?
Nini sababu ya sisi binadamu kuletwa/kupitishwa hapa duniani?
Nani kakwambia Mimi nimeumbwa?Kwa hiyo wewe unaona umeumbwa ili uje ujaze choo siyo?
Kaka unajua ni ngumu sana mtu akuelewe ,japo hawa wote wanaopinga wakikaa kutafakari wana pata wasiwasi wa hizo imani .Malaika wote waliojaa nbinguni, hawakumtosha hadi aumbe binadamu wa kumwabudu? Ina make sense? Kukaririshwa kubaya sn,
Ni sawa unaambiwa chukuà mafuta eti ya upako,maji na sadaka ya kujimaliza na wewe unatowa, mchungaji anaendelea kutajirika wakati muumini analala njàa🤣🤣
Pande zote nneKwa faida ya nani?
Wewe uliumbwa au mama yako alikuzaa?Kwa hiyo wewe unaona umeumbwa ili uje ujaze choo siyo?
Everyone loves themselves no matter they know it or not.To experience love,it starts by loving yourself and don't confuse with being selfish.
WoiPande zote nne
Kwa Jamii za kiafrica kuwaambia kuwa hicho wanachoamini na kuabudu ni watu walikaa na kupanga mipango ya jinsi ya kuiitawala Dunia wanaanza kukukemea kuwa ni pepo🤣🤣Kaka unajua ni ngumu sana mtu akuelewe ,japo hawa wote wanaopinga wakikaa kutafakari wana pata wasiwasi wa hizo imani .
Shida ni moja tu imani hizi zimejengwa kwa misingi mizito ya VITISHO +AHADI
Wewe ebu fikiria mtu toka mdogo kabisa anapewa ahadi fulani na vitisho kwa pamoja. 🤔
Mama mtu hutaki koo zipanuke ?