Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,576
Hebu nipe jibu la kueleweka ili nibadili mtazamoWewe Demi umenishinda tabia😀
Hebu nipe jibu la kueleweka ili nibadili mtazamoWewe Demi umenishinda tabia😀
😆😆😆 jamani, hapo kwenye kuwaua si tunaweza kufunga kizazi tusiendelee tena kuzaa?Ni kwamba Muumba hana uwezo wa kubalance namba ya watu na eneo aliloliumba?
Una watoto 10 na wewe na mumeo inamaana mko 12 inakuwaje uamue kujenga nyumba ya kuishi watu 5 halafu utegemee wengine uwaue ili mbaki idadi uliyokusudia?
Sisi ni virusi kweli , ebu vuta picha dunia isiyo na binadamuDah leo watu mna maoni mazito🤣
Kutokusamehe ni dhambi, utachomwa moto shauri lakoNimecheka kwa nguvu hadi dada yangu kahisi nimemsamehe 😥
Hamna huo moto. Kuwa na amaniKutokusamehe ni dhambi, utachomwa moto shauri lako
Is the study of knowledge which involves investigations and experimentation.What is science ?
Kwanini kusingekuwa na eneo linalojitosheleza kwa idadi kubwa anayoitaka yeye bila kuweka kifo?Mi sidhani kama tupo hapa labda eti kuna kitu inabidi tukitimize. Tupo hapa naturally tu kama ilivyo kwa mbuzi, ng'ombe, nzi nk
Kwa hiyo usijiulize sana, hamna sababu ya msingi sisi kuwepo hapa. We ishi, struggle, kufa uache nafasi waje wengine
Lazima uteseke kwanza na uyashinde majaribu aliyokuwekeaKwanini asingetupeleka moja kwa moja huko Mbinguni bila ya kutupitisha hapa duniani?
Naona wewe sasa unapingana na maandiko.Hamna huo moto. Kuwa na amani
MAma mtu, shikamooIs the study of knowledge which involves investigations and experimentation.
Marahaba hujambo wewe?MAma mtu, shikamoo
Tumeumbwa na Mungu, ila Mungu mwenyewe sio huyo tapeli mnayemsikia kanisani na msikitiniKwanini kusingekuwa na eneo linalojitosheleza kwa idadi kubwa anayoitaka yeye bila kuweka kifo?
Hebu nipe jibu la kueleweka ili nibadili mtazamo
Na mimi naamini hivyo hivyo. Basi wewe ni sawa na sisi ambao hatuamini biblia wala quranMbingu na jehanam ziko hapahapa duniani ktk haya maisha tunayoishi na uwepo wetu hapa ni naturally tu.
Naamini, Mungu yupo na sayansi ipo, kuna viumbe vingi sana zaidi ya mwanadamu.evolution.................................... hakuna cha Mungu hapa it is purely science..................
Mimi naamini Mungu yupo na huyo Mungu ni MOTHER NATURENaamini, Mungu yupo na sayansi ipo, kuna viumbe vingi sana zaidi ya mwanadamu.
Sema the narative kumuhusu Mungu ya vitabu kama biblia na koroani ni uongo.
Kutokujua kwetu ukweli kuhudu huyu Mungu siyo sababu ya kufanya Mungu asiwepo.