kepha_006
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 413
- 763
Hoja yako kama ina kitu mkuuMaisha ni fumbo.
Maisha ya duniani yalikuwa ni zawadi na sio adhabu, changamoto ni binadamu kutaka kuishi against nature, hapo ndipo mateso yanapo anzia.
Swali: Unauhakika gani kwamba upo duniani?
Umeshawahi kuota ndoto na ukajiona upo huko ndotoni? What if na hapa upo ndotoni na pengine ukifa hapa ndo unaamka kutoka usingizi uliokuwapo?