Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,194
Kula raha kula raha wakati unangoja kuuliwa 😂😂😂Not fair
Kula raha kula raha wakati unangoja kuuliwa 😂😂😂Not fair
🤣 Hilo hapana mkuu, japo upo sawa kabisaNa inawezekana sisi ni virusi tupo ndani ya tumbo la mnyama mkubwa , na akimeza dawa tunakufa na kupungua kwetu ni nafuu kwake🤔🤔
MwehHukutengenezewa kama upungufu, ni zawadi, kwamba uwe na free will. changamoto tu ni kuwa will power haina mipaka, na unaweza ukafanya jambo hata kinyume na aliyekupa huo uwezo wa kuchagua. Hasa ndo kinachokutesa.
Hasira ya Mungu ipo kwasababu uliumbwa ukiwa mkamilifu. Kwa hiyo mapungufu uliyonayo ni ya kujitakia tu, ni kama unavyolea mtoto wako alaf afanye kitu tofauti na unavyo mwelekeza utakasirika
Tatizo ni kwamba moto uliumbwa hata kabla binadamu hawajaumbwa. Sasa najiuliza mfano kama ingetokea watu wasitende dhambi huo moto ungekua wa kazi gani..?Na huo udhaifu ndo dhambi yenyewe adhabu yake ni kuchomwa moto wa jehanam
Acha bana😀😀Kula raha kula raha wakati unangoja kuuliwa 😂😂😂
Au inawezekana hata hatupo😆🤣 Hilo hapana mkuu, japo upo sawa kabisa
Swali lako kwa wasioamini mungu ni batili kwa sababu wao hawaamini unapitishwa duniani na yoyote na wala hawaamini wametolewa popote huko walikokuwa.Habari wanaJf
Nimekuwa nikijiuliza swali moja la msingi sana lakini majibu thabiti nimekuwa nikikosa kabisa...
Kwa wale wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu naomba wanijuze kwanini tumeletwa hapa duniani ambako tunaishi maisha mafupi na kupita, je Mungu hakuona namna nyingine ya kutufanya tufike huko kwenye maisha ya milele kunakosemwa na vitabu vyake bila kupitia hapa duniani kwenye shida na karaha?
Kulikuwa na haja ipi kutupitisha kwenye mateso hali ya kuwa ipo sehemu salama tunaelekea? ( Kwanini alitupitisha duniani?)
Hata wale wasioamini uwepo wa Mungu nao naomba wanisaidie kujua juu ya hili swali langu...kama hakuna maisha baada ya haya kwanini tupitishwe hii sehemu yenye taabu na mateso mengi tena kwenye maisha mafupi..kwanini tumetolewa huko tulikokuwa na kuletwa hapa duniani ambako kuishi kwetu ni muda mfupi na tisingebaki huko huko kama tulikuwa na maisha kabla?
Nini sababu ya sisi binadamu kuletwa/kupitishwa hapa duniani?
Ilikuwa ni makusudi binadamu aumbwe na mapungufu ili huo moto upate kazi ya kufanyaTatizo ni kwamba moto uliumbwa hata kabla binadamu hawajaumbwa. Sasa najiuliza mfano kama ingetokea watu wasitende dhambi huo moto ungekua wa kazi gani..?
Tumekuja kuteseka na kutenda dhambi tukifa akatuchome moto, ndo starehe yake
Kwani wewe una upungufu gan ambao una uhakika hauwezi kuushinda?Mweh
Sahihi kabisaAu inawezekana hata hatupo😆
Kupitia hiyo science itueleze ni kwanini tumekuja duniani tena kuishi maisha ya muda mfupi sanaevolution.................................... hakuna cha Mungu hapa it is purely science..................
Kwanini nihangaike kuushinda wakati ndivyo nilivyoumbwa? Mateso yote ya kazi gani? Tungeumbwa perfect hapa tungekuwa tunasifu na kuabudu kwa raha zote. Na hata hizo amri kumi za mungu zisingekuwepo maana tusingekuwa na uwezo wa kuzitenda kwa jinsi tulivyoumbwa kikamilifu.Kwani wewe una upungufu gan ambao una uhakika hauwezi kuushinda?
Je ni watu wote tunao huo?
(Ingekuwa hivyo basi ingekuwa technical error za uumbaji), lakin kile kinachokusumbua wewe mwenzako anakiweza na vice versa, hii ina maana hata wewe ungeamua ungeweza tu kama hao binadamu wenzako.
Sio sahihi mkuu, aliyekuambia utachomwa moto ni nani?Ilikuwa ni makusudi binadamu aumbwe na mapungufu ili huo moto upate kazi ya kufanya
😂😂😂😂Tumekuja kuteseka na kutenda dhambi tukifa akatuchome moto, ndo starehe yake
Khe kumbe moto haupo? Hii mpya hebu nifafanulieSio sahihi mkuu, aliyekuambia utachomwa moto ni nani?
Sir GodNani huyo?
Usingejulikana kwa nani? Yaani yeye asipojulikana kuna shida gani?Kama asingetuumba uwepo wake usingejulika mkuu.