Ni nani wako nyuma ya Usajili wa Chama kipya cha CCKD-Tanzania?

Kwanini wametumia neno demokrasia,, wanataka kifanane na Chadema,, ni upuuuzi unaofanywa na wale viongozi kukimoa cha CHADEMA
 
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

View attachment 2028113
Polepole,bashiru ni baadhi ya hao watu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

View attachment 2028113
CCM imeshafika D!

Nendeni mpaka Z ila hakuna wa kupotoshwa tena,tunataka katiba mpya na tume huru,zama za ccm zimekwisha sasa wanarusha teke la mwisho la kifo chao
 
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

View attachment 2028113
Hata chawa najua haipendi, waambie ukweli Ili wajirekebishe, wajiinarishe na wapendwe🤔.
 
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

View attachment 2028113
By the way CCJ (Chama Cha Jamii) iliishia wapi?
Kilianza na Fred Mpendazoe, baadae ikasemekana Big Sam alikuwa nyuma yake.

Tanzania bana, kuna agenda huwa zinatengenezwa watu wanajaa baadae filamu nyingine mpya inaibuka, tunasahau yale ya zamani na kudandia mapya.

Wakati huu tukiwa hatuna maibu rasmi kwanini JNHPP itachelewa kwa siku 400, kuna ubishani wa Bagamoyo port, mzee Mangula anasema ilani ilitoa ahadi ya gati. SGR nayo walau majaribio ya Dar Moro, network yake haisomi.

Sukari nayo mtemi H anasema hivi, wazalisha sukari wanakuja na facts mezani kuwa babu Mseveni kamwingiza chaka mkulu; loh. Tanzania, Tanzania, lini tutapiga agenda moja tumalize then tuanze nyingine upya.

Wajitahidi tu tupate umeme wa uhakika iwe kwa JNHPP, upepo, Gas ya Mtwara ili tunapovutia uwekezaji, nishati isiwe ni story za pwagu na pwaguzi. Maji ya uhakika lazima tujenge pia mkakati wa kuzalisha na kuhifadhi maji ili hata mvua hainyeshi kwa miaka 2, maji ya uhakika yapo. Inasikitisha upasuaji unasimamishwa referal hospitals, simply maji hayatoki, kisa, DAWASCO anasingizia mvua zimechelewa, mara kuna mchina anamwagilia vegetables 1mil/kwa saa.

Wananchi wanataka kuona deliverables na sio story za kila siku; anatuandika script anatupeleka siko.
 
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

View attachment 2028113
Ushamba tu huu
 
Mimi na familia yangu tunaipenda sana CCM nafikiri tutaipenda daima ,kidumu chama cha mapinduzi!
JPM aliweka msingi wa anayewania nafasi ya Urais kupitia CCM awe mwenye afya njema na anayejua kupiga pushapu, kwahiyo mgombea wetu wa CCM makwa 2025 awe na uwezo wa kufanya hayo mambo!
 
Alafu hii tabia ya lidhania kila chama kipya kinakuja kuifuta chadema na kukipachika jina eti ni CCM B ife..huu ni ujinga kwani chadema ndio kitu gani vyama vingine havipo!!??.
 
Ni nani yuko nyuma ya Chama hiki kipya Cha Siasa cha 21 Tanzania.

Bahati mbaya sana wanaoanzisha vyama hivi wanashindwa kabla ya kuanza.

Ukweli ni kwamba CCM hakuna wakuitoa kwa sasa kwa mamna ilivyo na sera na dira zinazoeleweka.

CCM ni chama zao la kutafuta maendeleo na haki ya kila Mtanzania ndio maana inapendwa sana.

Vyama hivi ni mazao ya migogoro Ndio maana havifiki mbali kama itakavyokuwa kwa CCKD.

#Usipoteze muda wako baki CCM.

View attachment 2028113
CCM hiyo hiyo inayopendwa na watanzania ndiyo hiyo hiyo inayotumia polisi, DCs RCs, wakurugenzi, tume mbovu ya uchaguzi kubaki madarakani. Ndiyo hiyo hiyo inayozuia vyama vingine visifanye harakati za kisiasa huku yenyewe kila siku ikifanya. ndiyo inayotumia majaji wa michongo kuendesha kesi fake za wapinzani ili kuwadhoofisha.
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Back
Top Bottom