Lastborn Mkubwa
Member
- Jul 23, 2026
- 22
- 19
Ahsante kwa wote waliotukimbia wakati tulipohitaji uwepo wao. Ahsante kwa waliotuona hatuna cha kuwashauri wala kuwasaidia; walitupa sababu ya kuwa bora zaidi.
Ahsante kwa waliotuacha walipopata watu waliowaona bora kuliko sisi. Walitufundisha kuwa hata kivuli hupotea mwanga unapotoweka.
Na ahsante kwa tuliowasaidia kwenye magumu yao, tukawafanya kuwa bora, kisha wakatuona sisi si kitu katika safari yao. Bila wao, huenda tusingekuwa hivi tulivyo leo.
Tujifunze kuwaachilia wanaotaka kuondoka bila chuki, bila kulazimisha na bila kujuta. Wengine huja kutufundisha, si kubaki nasi milele. 🤍