Kamwe usikubali kujihusisha na chuki za kidini

Kamwe usikubali kujihusisha na chuki za kidini

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,902
Reaction score
16,213
Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia uhalifu kama wewe unavyochukia, rafiki yako Muislamu anachukia ubakaji kama wewe unavyochukia. Rafiki yako Mkristo anachukia wauaji kama wewe unavyowachukia

Watu hawajui maadui zao ni akina nani, na watu wenye power wanatumia hii kama advantage na kuwatenganisha muwe mnachukiana wenyewe kwa wenyewe, watu innocent ambao hata hamuhusiki na maovu yanayoendelea hapa duniani

Wengi wenu mnaotukanana kisa dini ni watu wazuri na hamhusiki kabisa na maovu yanayotendeka na watu wengine. Ni pointless watu wazuri ambao hamna power za kufanya any crime against humanity kuchukiana na kurushiana matusi kisa dini juu ya mambo yanayofanywa na watu wengine. Watu wanaofanya mambo machafu ni watu wabaya tu, wala sio kwamba ni kwa sababu ni waislamu au ni wakristo. Wanaua watu kwa sababu ni watu wabaya, dini ni mwavuli wanaojifichia. Na hamuwezi kucontrol ambacho watu walio mbali huko wanakifanya, so you're innocent and your friend is innocent. Acheni kutukanana na kurushiana maneno makali
 
Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia uhalifu kama wewe unavyochukia, ragiki yako Muislamu anachukia ubakaji kama wewe unavyochukia. Rafiki yako Mkristo anachukia wauaji kama wewe unavyowachukia

Wengi wenu mnaotukanana kisa dini ni watu wazuri na hamhusiki kabisa na maovu yanayotendeka na watu wengine. Ni pointless watu wazuri ambao hamna power za kufanya any crime against humanity kuchukiana na kurushiana matusi kisa dini
Mimi ni mkristo ,Nina ndugu na marafiki wa muislamu Sina ugomvi nao KABISA!
 
wanaoleta chuki za kidini ni minority ambao ni arabs, na lengo ni divide and rule, ili watawale majority ni lazima sisi tugombane kwani arabs wanajua fika kwamba black people wakielewana na kuwa kitu 1 hawana chance hapa kwetu, hivyo ni mbinu ya zamani sana but it works, ukifwatilia wanaowalipa hawa akina shehe mwaipopo hiyo paper trail utaishia kwa arabs.

kwa kawaida muslims hawana shida yoyote na Christians tunaishi nao mitaani, tunafanya nao kazi, tunacheza nao mipira kwanza hakuna hata siku moja ambapo dini ya mtu inaingia ukiachilia utani wa kawaida, tanzagiza unaweza ukaishi maeneo ya muslims hata wakifunga kula wewe ukala hakuna shida, kwanza wengine muslims wengi tu nawajua wala hawafungi kwa kifupi sisi ni liberal society ila wanaotuchonganisha ni arabs.
angalia wote wanaoleta fujo zanzibar ni arabs ni mara chahe sana uone 100% black man mzanzibari akaongelea mambo ya kutaka kuvunja muungano, au chuki dhidi yetu, rejea yule aliyemuuita E.Nchimbi yuda.

sasa kwa nini wanafanya hivyo? ni ku-maintain status quo, ili waendelee kumiliki biashara zote, ndiyo maana kiongozi akiwa muslim arabs wanapata utajiri wa ajabu, binafsi ningeelewa angalau kidogo kama labda muslims weusi wangependelea muslims blacks wenzao lkn wanawawezesha muslims arabs, wakati kinyume chake arabs will never do that kwamba wawawezeshe black muslims wawe matajiri huku wao wakiwa masikini ...
 
wanaoleta chuki za kidini ni minority ambao ni arabs, na lengo ni divide and rule, ili watawake ni lazima sisi tugombane kwani arabs wanajua fika black people wakielewana hawana chance hapa kwetu, hivyo ni mbinu ya zamani sana but it works, ukifwatilia wanaowalipa hawa akina shehe mwaipopo hiyo paper trail utaishia kwa arabs.
kwa kawaida muslims hawana shida yoyote na Christians tunaishi nao mitaani, tunafanya kazi, tunacheza nao mipira kwanz hakuna hata siku moja ambapo dini y amtu inaingia ukiachilia utani wa kawaida, tanzagiza unaweza ukaishi maeneo ya muslims hata wakifunga kula wewe ukala hakuna shida, kwanza wengine mulims wengi tu nawajua wala hawafungi kwa kifupi sisi ni liberal society ila wanaotuchinganisha ni arabs ...
Mh hii sera hawako nayo waarabu hii sera ni ya wazungu (white people) alafu mbona waarabu hawajwahi kuweka vikao kujadili kuhusu Africa na kama upo ushahidi ulete lakini Sasa angalia sana watu weupe muda mwingi wanafanya vikao kujadili kuhusu Afrika na namna ya kuiongoza ukitaka ushahidi ntakupatia.
 
tanzagiza hakuna wazungu, hakuna mzungu mfanyabishara mkubwa hata mmoja tanzagiza, hakuna mzungu cartel wa sukari, mafuta, wamiliki malori ya mafuta wote arabs ...
 
Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia uhalifu kama wewe unavyochukia, ragiki yako Muislamu anachukia ubakaji kama wewe unavyochukia. Rafiki yako Mkristo anachukia wauaji kama wewe unavyowachukia

Watu hawajui maadui zao ni akina nani, na watu wenye power wanatumia hii kama advantage na kuwatenganisha muwe mnachukiana wenyewe kwa wenyewe, watu innocent ambao hata hamuhusiki na maovu yanayoendelea hapa duniani

Wengi wenu mnaotukanana kisa dini ni watu wazuri na hamhusiki kabisa na maovu yanayotendeka na watu wengine. Ni pointless watu wazuri ambao hamna power za kufanya any crime against humanity kuchukiana na kurushiana matusi kisa dini juua ya mambo yanayofanywa na watu wengine, hawa watu wanaofanya mambo machafu ni watu wabaya tu, wala sio kwamba ni kwa sababu ni waislamu au ni wakristo. Wanaua watu kwa sababu ni watu wabaya, dini ni mwavuli wanaojifichia. Na hamuwezi kucontrol ambacho watu walio mbali huko wanakifanya, so you're innocent and your friend is innocent. Acheni kutukanana na kurushiana maneno makali
WAislamu wote sio magaidi ila magaidi wote ni waislamu.

Inasikitisha sana.
 
Watu walio shika dini sana wengi wao ni wabaguzi na ukiwafuatilia sana dini wanazitumia kama vazi la kuficha tabia zao mbaya kama uzinzi, roho mbaya,udhulumati nk na wanakuwaga wabaguzi sana.
 
Umenena vyema mkuu, mimi nashangaa humu unakuta ni mkristo anasema amri kuu ni upendo kisa tu hukubaliani naye anakupa tusi moja makini.
Malezi mabovu wengine majumbani kwao ili alete kitu anatukanwa kwanza wengine wametoka majumbani kwao matusi hawayajui zaidi ya adhabu za viboko tu.
 
Malezi mabovu wengine majumbani kwao ili alete kitu anatukanwa kwanza wengine wametoka majumbani kwao matusi hawayajui zaidi ya adhabu za viboko tu.
Hakika... mkuu! nadhani nikuanzia nyumbani kuna jirani yetu hapa dah! amejaa matusi balaa yani mtoto hata kama anamwambia alete kiti... anasindikizwa na tusi
 
Hakika... mkuu! nadhani nikuanzia nyumbani kuna jirani yetu hapa dah! amejaa matusi balaa yani mtoto hata kama anamwambia alete kiti... anasindikizwa na tusi
Namshukuru Mungu maeneo hayo siwezi kukaa kabisa ndio vijana wengi wapo humu wamekulia hayo maisha na ukiwa nae hawezi kutukana wala kufanya kitu chochote si walaini ila kwenye mitandao sasa..
 
Sisi huku tunaishi na waislam na tunashirikiana mambo mengi ya kijamii, Pilau zao za iddi wakitualika tunakula vema tu, tatizo liko kwenye mafundisho yao kuita wasio waislam ni makafiri na ndio chuki yao inaanzia hapo. Upande wa wakristo hakuna mafundisho ya chuki kule mahubiri ni upendo tu, jamii ya waislam huishi kwa amani kubwa katikati ya jamii ya wakristo
 
tanzagiza hakuna wazungu, hakuna mzungu mfanyabishara mkubwa hata mmoja tanzagiza, hakuna mzungu cartel wa sukari, mafuta, wamiliki malori ya mafuta wote arabs ...
Kuna muarabu mwenye migodi mikubwa kama Geita Gold au North Mara?
NB: Wanasiasa, hasa wa upinzani, ndio wameona turufu yao, kwasasa, ni kutumia migawanyiko ya kidini!
 
Ni mpumbavu pekee atakayeamini kuwa jirani yake muislamu au mkristo ndio adui yake. Ukifuatilia kiundani rafiki yako au jirani yako Mkristo/Muislamu sio adui yako kabisa, na hata yeye anachukia uhalifu kama wewe unavyochukia, rafiki yako Muislamu anachukia ubakaji kama wewe unavyochukia. Rafiki yako Mkristo anachukia wauaji kama wewe unavyowachukia

Watu hawajui maadui zao ni akina nani, na watu wenye power wanatumia hii kama advantage na kuwatenganisha muwe mnachukiana wenyewe kwa wenyewe, watu innocent ambao hata hamuhusiki na maovu yanayoendelea hapa duniani

Wengi wenu mnaotukanana kisa dini ni watu wazuri na hamhusiki kabisa na maovu yanayotendeka na watu wengine. Ni pointless watu wazuri ambao hamna power za kufanya any crime against humanity kuchukiana na kurushiana matusi kisa dini juu ya mambo yanayofanywa na watu wengine. Watu wanaofanya mambo machafu ni watu wabaya tu, wala sio kwamba ni kwa sababu ni waislamu au ni wakristo. Wanaua watu kwa sababu ni watu wabaya, dini ni mwavuli wanaojifichia. Na hamuwezi kucontrol ambacho watu walio mbali huko wanakifanya, so you're innocent and your friend is innocent. Acheni kutukanana na kurushiana maneno makali
Waislamu ni mbwa taka taka tu ,huu utawala wa ibiisi samuya na washenzi wenzake watu wamepata picha halisi jinsi hawa takataka walivyo
 
tanzagiza hakuna wazungu, hakuna mzungu mfanyabishara mkubwa hata mmoja tanzagiza, hakuna mzungu cartel wa sukari, mafuta, wamiliki malori ya mafuta wote arabs ...
Sasa Kwani wamekatwaza kuja kufanya biashara mkuu. Wakitaka kuja waache waje. Alafu ukiruhusu udini ukutawake mkuu hutafikia malengo.
Kuna dada alikuwa anafanya kazi Kwa mzee mmoja wa kiislamu yule dada anaitwa Beatrice. Alijenga mbaka na nyumba kubwa ya kisasa Kwasababu ya kumuibia yule mzee. Kuna siku nikamwambia mzee mbona huyu sister anakuibia sana mzee. Mzee akanijibu muache apate sehemu ya kuishi kwanza then ntamtafuta mtu mwengine. Ingekuwa ni roho mbaya huyu dada angekuwa ameshafukuzwa kazi kitambo sana.
 
Hayo mambo yameanza kushamiri miaka ya hivi karibuni

Tumekuwa tukiishia kindugu na wenzetu Waislamu na Wakristo tangu enzi na enzi

Dini zenyewe zililetwa na Wafanyabiashara wa Kiarabu (Uislamu) na Wamisionari (Ukristo)

Tusikubali kugawanywa kidini wala kivyama vya Siasa wala kupitia rangi zetu za ngozi ama kupitia ukabila
 
Back
Top Bottom