Ni master au degree yenye michongo mtaani?

Ni master au degree yenye michongo mtaani?

Sijui mnaongelea nin lakini elimu zaidi na zaidi ndo kimbilio letu sisi maskini plus professional certification (in sukuma voice)
 
Usisome masters kama bado haujajua unataka kufanyia nini elimu yako ya shule.

Kifupi sana soma masters baada ya kuingia kwenye mfumo wa kazi/ajira then ndani ya iyo kazi/ajira utajua ukaongeze elimu ya kitu gani
 
Hapo atajua kuwa anatafuta elimu ili apate pesa au anatafuta pesa ili apate elimu , na elimu ni chanzo cha kipato au kipato ndio chanzo cha elimu na elimu na pesa nani anaye muhitaji mwenzie zaidi, akisha jijibu hayo maswali aamue ashike njia ipi.
 
Habrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare idea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne.

Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani
Soma orthopedic,obsy&gyn ,paedriatic
 
Ukiwa na Ajira unapata raha kujenga hoja kwenye nyuzi Kama hizi
 
Back
Top Bottom