Kalaga baho
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 5,559
- 11,421
Tatizo sio mtu. Tatizo mfumo ulivyo.. wew unadhani Kwa mfumo huu ambao hauna uwezekano wa kuajiri watu wote unaowasomesha kazi itakuwa ndogo?.Mindsets za wadogo zetu zipo katika kuajiriwa zaidi ya kufikiri kujiajiri. Hauoni kama kuna tatizo hapa mkuu?
Mtu anasotea uhasibu miaka 3 Kwa Imani akiajiriwa take home 1m au 800k Leo hii mwaka wa tatu aanze kufikiria kufungua genge mtaj laki 1 azungushe ni kitu kidogo mentally?