Ni master au degree yenye michongo mtaani?

Hapana. Hao hawana shida... Mana mfumo unawaandaa kuwa wataalam wa eneo Fulani. Mfumo huu unachokuja kuzingua ni kutaka watu wapungue wakimaliza chuo. Mana hauhitaji wafanyakaz wengi. Yani tumeanza msingi tumepungua.. tumemaliza sekondari kwenda advance pia. Shida Iko hapo mkimaliza chuo pia mpungue ili kazini waende wachache.
Hapo ndo unakuta madogo wameachwa solemba kwenye mataa hawana Cha kufanya. Isitoshe tunawaandaa wenyew kuwa wahasib then tunakuja kuwaambia uhasibu kazi hakuna wauze machungwa. Sasa balance sheet au profoma invoice na machungwa wap na wap
Shida hii yote ni wanasiasa wa hovyo na sera mbovu.
 
Kaka ni ufahamu na Akili ya mtu, mi sijaenda hata shule ila nakomaa na mtaa💪
Watanzania tuna kasumba mbaya sana juu ya elimu. Utasikia mtu anasema Bakhresa mbona hajasoma lakini ni tajiri! Au Diamond mbona anaishi vizuri tu bila elimu! Ni hivi: Hatusomi shule ili tuwe matajiri, au tuwe na fedha nyingi na tuishi maisha ya kuponda raha. Hili siyo lengo la shule hata kidogo na ndiyo maana watu wengi wanakwama. Utajiri na fedha nyingi za kutesa ni vitu ambavyo mtu yoyote anaweza kuvipata ili mradi tu awe na malengo na afanye kazi kwa bidii. Kwa kifupi tunaenda shule ili tuelimike. Ina maana watu waliofika vyuo vikuu hawaoni faida ya elimu zao? Mimi mbona nimefika tu chuo, sina utajiri wowote lakini kila siku ijayokwa Mungu na-enjoy sana elimu niliyopata? Nadhani kwa sababu watu wetu wengi wamezaliwa na kukulia kwenye mazingira ya umaskini ndiyo maana wanachukulia fedha nyingi kama ndiyo kipimo cha mafanikio kielimu!
 
Mkuu Wana chuo wenzako, mbona hawa andiki vibaya hivi???🤔🤔😂😂
 
Pengine ubaya uko kwenye akili zako? Hata mimi kabla sijatoka nje ya Bongo nilikuwa na mawazo kuwa tunakwenda shule ili tuje kutesa. Baada ya kufika kwenye nchi ambazo binadamu wanajuwa maana ya elimu na wanaifanyia kazi, nimebadilika kimawazo.
 
Back
Top Bottom