Ni master au degree yenye michongo mtaani?

Mar 22, 2021
18
20
Habrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare idea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne.

Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani
 
Sitaki kuwa negative Sana but exam performance na mafanikio ya mtaa ni vitu viwili togauti.

One can make wonders on attempting and answering selected number of questions on a paper,

but iam telling you it's quite different ukija kwa mtaa na expectations zako!!, Huku Ina takaiwa juhudi na kujituma Sana.

hauoni school droppers Wanavyo fanya maajabu mtaani, Huku wale degree,PhD and master's holders wanavyo Sanya kupata hata job za laki 2 (ushahidi jf).

Mtaa una hitaji uwe smart, fast learner, mbunifu na hata mwana mageuzi ili uzipate na kuziona Fursa.
👉 I mean no malice to nobody
Gily Gru, Analyse, Glenn, Ushimen, Ms eyes, mshamba_hachekwi, KJ07, National Anthem, Mzee wa kupambania
 
Sitaki kuwa negative Sana but exam performance na mafanikio ya mtaa ni vitu viwili togauti.

One can make wonders on attempting and answering selected number if questions on a paper,

but iam telling you it's quite different ukija kwa mtaa na expectations zako!!, Huku Ina takaiwa juhudi na kujituma Sana.

hauoni school droppers Wanavyo fanya maajabu mtaani, Huku wale degree,PhD and master's holders wanavyo Sanya kupata hata job za laki 2 (ushahidi jf).

Mtaa una hitaji use smart, fast learner, mbunifu na hata mwana mageuzi ili uzipate na kuziona Fursa.

Inakuaje uwe na PHd then huna dira?.
Mastaz nafaham zipo nyingi
 
Nakazia

Uzi ufungwe
 
Habrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare idea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne. Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani
Elimu ni ufunguo wa maisha. Hata ile ya msingi inawafungulia maisha, hakuna elimu isio na michongo.
 
Habrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare idea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne. Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani
Mastaz za public health na behavioural science zinabamba sana Kwa sasa na wimbi la mashirika hili wakuu mziangalie sana. Yangu ni hayo
 
Habrini ndgu zangu wana JF mwenzenu naomba kuuliza hivi ni kipi chenye michongo mitaani kati ya master au undergraduate degree? Tujaribu kushare Kusoma sana bila conidea kama vijana ili tusijekupoteza muda wa kusoma Masters kumbe michongo ipo kwenye kutafta japo degree nyingne. Msaada tafadhali na hii nazungumzia hasa kwa wale ambao bado tuko mtaani labda tulikosea kufanya machaguo sahihi ya fani au lah so kipi kifanyike tusome degree nyingne au tuiongezee thamani degree tuliyonayo?? Experience ndgu zangu tupeni ramani
Kibongo bongo Kusoma sana bila network na michongo ni kupoteza mda na hela
 
Back
Top Bottom