Naomba ushauri kuhusu kusoma masters degree

Mar 22, 2021
18
20
Habr wana JM, ndgu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu bado sijaariwa na serikali nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndgu zangu.
 
Habr wana JM, ndgu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.
Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na nje ya system nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu
1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.
2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?
Nipeni mawazo ndgu zangu.
Maximum qualification ya kuajariwa serikalini ni First Bachelor Degree, Masters ni added advantage kwenye kupata vyeo au teuzi au kupanda cheo kufikia kuwa principal, na masters yenyewe lazima iwe ya kitu unachofanyia kazi, mfano ualimu basi uwe na masters ya ualimu n.k. Kwa hiyo ukisoma nje ya ualimu basi usitegemee kama itakusaidia pindi ukiajiriwa serikalini labda ukiwa na michongo mingine nje ya serikali. Ushauri wangu kama huna mpango wa kuajiriwa serikalini basi angalia fulsa zilizokuwepo mahali ulipo na angalia pia malengo yako halafu ndio uamue ni masters ipi itakuwa na manufaa kwako.
 
Soma Masters inayohusu mambo ya uongozi na management ,kwa vile za ualimu kufika juu labda uwe sehemu za uongozi na management ..

Unaweza kula shavu hata ukuuu wa wilaya ukiwa na connection ya FISIEMU ....soma ishu za uongo na management ni nzuri sana.

Uncle alisoma hizo katolewa kweny ualimu angalau sasa ni afisa maendeleo.
 
Serikali ina ajiri pia wenye Masters hadi PhD...

Kijana soma timiza ndoto zako
 
Soma mkuu ila jitahidi kutafuta connection ili ukae Sehemu salama ZAIDI huko F I S I E M U
 
Maximum qualification ya kuajariwa serikalini ni First Bachelor Degree, Masters ni added advantage kwenye kupata vyeo au teuzi au kupanda cheo kufikia kuwa principal, na masters yenyewe lazima iwe ya kitu unachofanyia kazi, mfano ualimu basi uwe na masters ya ualimu n.k. Kwa hiyo ukisoma nje ya ualimu basi usitegemee kama itakusaidia pindi ukiajiriwa serikalini labda ukiwa na michongo mingine nje ya serikali. Ushauri wangu kama huna mpango wa kuajiriwa serikalini basi angalia fulsa zilizokuwepo mahali ulipo na angalia pia malengo yako halafu ndio uamue ni masters ipi itakuwa na manufaa kwako.
Una UHAKIKA?
 
Soma Masters inayohusu mambo ya uongozi na management ,kwa vile za ualimu kufika juu labda uwe sehemu za uongozi na management ..

Unaweza kula shavu hata ukuuu wa wilaya ukiwa na connection ya FISIEMU ....soma ishu za uongo na management ni nzuri sana.

Uncle alisoma hizo katolewa kweny ualimu angalau sasa ni afisa maendeleo.
Okay hii naona imekaa sawa asante sana
 
Soma Masters inayohusu mambo ya uongozi na management ,kwa vile za ualimu kufika juu labda uwe sehemu za uongozi na management ..

Unaweza kula shavu hata ukuuu wa wilaya ukiwa na connection ya FISIEMU ....soma ishu za uongo na management ni nzuri sana.

Uncle alisoma hizo katolewa kweny ualimu angalau sasa ni afisa maendeleo.
Naweza kupata full name ya hyo master degree yake
 
Back
Top Bottom