Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,858
Make money young man
The world is cruel to men who aren't successful
The world is cruel to men who aren't successful
Quantity.Ukikusanya watanzania 1000 randomly ambao wanaingiza kipato cha 50,000/= kwa siku, 90% ni watu wenye kuanzia degree moja kwenda mbele.
Mfumo wa elimu ya Tanzania unahitaji overhaul kubwa sana laa sivyo yajayo yanafurahisha.Quantity.
Elimu watu wanaichukulia vibaya sana Kwa kuangalia kigezo Cha ajira pekee. Na mbaya zaidi Kuna makabila huku kwetu uzaramoni hata kusoma yanapata shida Kwan wao wanaangalia mifano ya waliokosa ajira tu.
Yani wanajifunza Kwa walioshindwa
Kwa nn mkuu. Unatumia kigezo gan kuupomp mfumo huuMfumo wa elimu ya Tanzania unahitaji overhaul kubwa sana laa sivyo yajayo yanafurahisha.
Mm naunga mkono Hoja hii. Mpaka sasA naona kujiajiri nako kunafaa tu. Kama unatengenexa brand nzuri na huduma na bidhaa zenye ubora. Unakaa pazur sana miaka 5 tu mbele.Vijana tuanze kujifunza kuwekeza mapema tupate uzoefu
Wastaafu wanapoteza sana hela zao za viinuamgongo wakishastaafu maana hawana uzoefu wowote wa biashara
The younger you start the more successful you'll be.
Kila mtu kwenye maisha yake ana Neema na Bahati yake so kama wewe upo hivyo! Ni Bahat yako na Neema huwez linganisha mwingine awe hivyoKaka ni ufahamu na Akili ya mtu, mi sijaenda hata shule ila nakomaa na mtaa💪
NAKAZIATukisubr pensheni ndo iwe mtaji hatufiki mbali. Pensheni ikutane na biashara iliyosimama
Mindsets za wadogo zetu zipo katika kuajiriwa zaidi ya kufikiri kujiajiri. Hauoni kama kuna tatizo hapa mkuu?Kwa nn mkuu. Unatumia kigezo gan kuupomp mfumo huu
Matokeo vijana wamekuwa waoga wa kujiajiri na kufanya biasharaMindsets za wadogo zetu zipo katika kuajiriwa zaidi ya kufikiri kujiajiri. Hauoni kama kuna tatizo hapa mkuu?
Inasikitisha sana mkuu. Kwangu mimi ni bora kijana aanzie VETA kisha ndio aje aende University baadae.Matokeo vijana wamekuwa waoga wa kujiajiri na kufanya biashara
Vijana wamejaza theories tu vichwani hawana ufundi stadi wowoteInasikitisha sana mkuu. Kwangu mimi ni bora kijana aanzie VETA kisha ndio aje aende University baadae.
Hapana. Hao hawana shida... Mana mfumo unawaandaa kuwa wataalam wa eneo Fulani. Mfumo huu unachokuja kuzingua ni kutaka watu wapungue wakimaliza chuo. Mana hauhitaji wafanyakaz wengi. Yani tumeanza msingi tumepungua.. tumemaliza sekondari kwenda advance pia. Shida Iko hapo mkimaliza chuo pia mpungue ili kazini waende wachache.Mindsets za wadogo zetu zipo katika kuajiriwa zaidi ya kufikiri kujiajiri. Hauoni kama kuna tatizo hapa mkuu?
We ume ajiriwa au kuji ajiri🤔, tuanzie hapo🤒Matokeo vijana wamekuwa waoga wa kujiajiri na kufanya biashara
Ume msoma Robert kiyosaki, katika kitabu Cha Rich Dad na 21 business centuryHapana. Hao hawana shida... Mana mfumo unawaandaa kuwa wataalam wa eneo Fulani. Mfumo huu unachokuja kuzingua ni kutaka watu wapungue wakimaliza chuo. Mana hauhitaji wafanyakaz wengi. Yani tumeanza msingi tumepungua.. tumemaliza sekondari kwenda advance pia. Shida Iko hapo mkimaliza chuo pia mpungue ili kazini waende wachache.
Hapo ndo unakuta madogo wameachwa solemba kwenye mataa hawana Cha kufanya. Isitoshe tunawaandaa wenyew kuwa wahasib then tunakuja kuwaambia uhasibu kazi hakuna wauze machungwa. Sasa balance sheet au profoma invoice na machungwa wap na wap
Sera zetuWe ume ajiriwa au kuji ajiri🤔, tuanzie hapo🤒
Na hela ya kustaafu sio ya uwekezaji, bali ni hela ya kutengeneza mwili huku ukingojea kifoVijana tuanze kujifunza kuwekeza mapema tupate uzoefu
Wastaafu wanapoteza sana hela zao za viinuamgongo wakishastaafu maana hawana uzoefu wowote wa biashara
The younger you start the more successful you'll be.