Je nisome master's degree ya ualimu au isiyo ya ualimu

Mar 22, 2021
18
20
Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.

Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.

1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.

2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?

Nipeni mawazo ndugu zangu
 
Mahitaji ya mwalimu maxmum ni degree, so unapokuwa mwalimu wewe wa degree na masters mshahara ni mmoja, why bother uchinje ngurue mzima just for a tail. Kasomee ishu zingine pia usiwaze kuajiriwa sana, ajira ni ujinga
 
Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.

Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.

1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.

2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?

Nipeni mawazo ndugu zangu
Bobea kwenye lugha ya Kiswahili...utanishukuru
 
kama una malengo ya kufanya kwenye NGO, soma masters ya monitoring and evaluation.

kama unataka kubaki kwenye field yako soma curriculum development au special needs education.

kama unataka kuwa specialist wekeza kwenye kusoma kiswahili.
 
Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.

Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.

1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.

2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?

Nipeni mawazo ndugu zangu
Nicheki PM tuongee kwa kina
 
Ulichowaza na kufikiria ndicho kinachonifikirisha ata mimi mkuu
 
Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.

Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.

1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.

2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?

Nipeni mawazo ndugu zangu
Pole Sana mkuu!!

Unataka kuongeza elimu hiyo uliyonayo umeshaitumia vya kutosha na kufika kilele Cha mafanikio yake!!?

Kama ni serikalini huku masters Yako haihitajiki kama criteria ya ajira Wala cheo ni uzoefu kazini!!

Hakuna sehem utaiapply masters huku hata ukiwa afisa elimu hutoshindwa kusimamia elimu mkoani.au.wilayani kiss huna masters!!

USHAURI

USIENDE KUSOMA MASTERS COZ HIYO DEGREE BADO HAIJATUMIKA KWENYE KILELE CHAKE CHA MAFANIKIO!!

WAZA NAMNA YA KUWEKEZA KIUCHUMI KWA KIZAZI CHAKO CHA KWANZA HADI CHA NNE!!ACHANA NA UJINGA WA KUWA NA VYETI WAKATI AJIRA HAMNA KABISA MKUU!!!

NIPO JOB KWA GOVERNMENT KWA MIAKA KUMI SIJAONA DEGREE YANGU IMETUMIKA KATIKA KILELE.CHAKE!

EPUKANA NA MENTAL SLAVERY,WE HUONIW MAPROFESA WANAKIMBIA UPROF WAO WANAINGIA KWENYE SIASA AMBAKO KUNA HELA NA SIO HUKO KWENYE VITENGO VYAO!?

WAMEONA ELIMU YAO NI BURE HAINA MAANA BORA WAKAE NA MUSUKUMA NA KIBAJAJI AMBAO HATA MASTERS AU DEGREES HAWANA NA WANABISHANA KWA HOJA NA HAKUNA TOFAUTI KATI YA MSOMI NA ASIE MSOMI!!!
 
Pole sana mkuu nasikitika sana kuona kumbe hata hiyo Elimu yako unayojivunia hata wewe haijakusaidia kabisa na hujui unachokiandika . Pole sana ni huzuni mno kuwa na wasomi kariba yako.

Any way we jamaa kasome kwa maana kila mtu na njia yake ya mafanikio. Kama performance yako Undergraduate ni nzuri unayo possibility hata ya kufundisha vyuo vya kati hata vyuo vikuu kabisa. Wakati wewe unaenda kusoma ukirudi utakuta wenzako wana maisha yale yale yaani hata hampishani. Walimu wa Msingi na Sekondari 90% ni njaa tu hata ukidanganya vipi lakini wengi wao ni kampuni moja. Walau walimu wa vyuo shavu nyingi kule. Kasome mkuuuuuu
 
Mkuu undergraduate hafundishi chuo!!?

Vyuo kama ndala,Butimba wanaofundisha wote Wana masters mbona wanafundisha wengi TU Tena wenye degree!!?

Au wewe umekariri lazima uwe na masters ndio ufundishe chuo!!?wakufunzi wangapi Wana degree na wanafundisha vyuo!!?

Hasta vyuo vikuu wanachukuliwa wale wenye gpa Kali yaani wanabaki ndio wanakua kwenye presha za masters degree lakin sio vyuo vya kati hivi hasta ukiwa na Bachelor unafundisha!

Mbona washkaji zangu wengi Wana fundisha na hawana masters hai wahitimu was diploma na certificate mbona wanafundishwa na Bachelor degrees!!?

Masters ninao kibao na wamebaki pale pale na hakuna chochote kinachoendelea na ninao hapa !!!

ACHA kumdanganya aje awe disappointed!!
 
Pole sana mkuu nasikitika sana kuona kumbe hata hiyo Elimu yako unayojivunia hata wewe haijakusaidia kabisa na hujui unachokiandika . Pole sana ni huzuni mno kuwa na wasomi kariba yako.

Any way we jamaa kasome kwa maana kila mtu na njia yake ya mafanikio. Kama performance yako Undergraduate ni nzuri unayo possibility hata ya kufundisha vyuo vya kati hata vyuo vikuu kabisa. Wakati wewe unaenda kusoma ukirudi utakuta wenzako wana maisha yale yale yaani hata hampishani. Walimu wa Msingi na Sekondari 90% ni njaa tu hata ukidanganya vipi lakini wengi wao ni kampuni moja. Walau walimu wa vyuo shavu nyingi kule. Kasome mkuuuuuu
Undergraduate hafundishi chuo !!?lazima awe na masters!!?

Nenda Butimba,ndala,Bustai utawakuta degree's wanafundisha kibao tu na hawana masters!!

Kwani lazima uwe na masters ndio ufundishe chuo!!?

Hayo ni mawazon mgando!
We hujaona masters zipo mashuleni hazina ishu zinasubiri teuzi za kujipendekeza!!?

Nina washkaji kibao wapo Wana degree na wanafundisha vyuo vingi tu nchini!!!

Bado degree yake haijatumika ipasavyo aitumie kwanza aone wapi kafeli ndio aongeze elimu!kusoma Kwa matarajio yasiyofikikika ni kupoteza muda!!!

Chukua hiyo!!
 
Pole sana mkuu nasikitika sana kuona kumbe hata hiyo Elimu yako unayojivunia hata wewe haijakusaidia kabisa na hujui unachokiandika . Pole sana ni huzuni mno kuwa na wasomi kariba yako.

Any way we jamaa kasome kwa maana kila mtu na njia yake ya mafanikio. Kama performance yako Undergraduate ni nzuri unayo possibility hata ya kufundisha vyuo vya kati hata vyuo vikuu kabisa. Wakati wewe unaenda kusoma ukirudi utakuta wenzako wana maisha yale yale yaani hata hampishani. Walimu wa Msingi na Sekondari 90% ni njaa tu hata ukidanganya vipi lakini wengi wao ni kampuni moja. Walau walimu wa vyuo shavu nyingi kule. Kasome mkuuuuuu
Tatizo mnasoma bila kuangalia uhalisia was maisha!!

Naomba utambue kwamba sisi kama taifa na Dola "tuliamua mapesa mengi yapelekwe kwenye siasa kuliko kwenye professional"

Sasa Leo mwalimu anaefundisha chuoncha kati Cha serikali anaaanza na mshahara wa TGTS E ambao ni sawa na kama Laki Tisa na point take home kama mia sita unadhani anatofautiana Nini na mwl wa secondary mwenye D !!?zaidi ya mikopo na kujiongeza!!?

Kila professional hapa tz inalia isipokua kwenye siasa ubunge na uwaziri TU!!

Jifunze kuielewa Dola na dhamira yake kampigie prof kitila mkumbo,prof kabudi wakuambie mbona hawajivunii uwalimu was chuo wakakimbia !!?

I rest my case!!!
 
Yani wewe ndio bure kabisa nimekupuuza bora hata yule mwenzako alipuyanga kidgo. Tgts E take home ni laki sita? Ww ni bure kabisa. Any way acha kulinganisha walimu wa Vyuo na vitu vya kijinga wewe. Wale fursa ni nyingi mno. Semina nyingi za Elimu wakufunzi ndio wanaoseminisha, bado wana malupulupu kibao ya kufanya assesment na mambo chungu mzima. Sasa hao ndio uwalinganishe na hawa wa sekondari wenye madeni kila kon???
 
Kwa hio kama chuo panaridhisha bas wasingekimbilia siasa mkuu!!

Mambo ni Yale Yale hakuna jipya kilio ni kwa wote!!!

Utumwa wa kifikra wa soma ilinupate ajira ya juu zaidi unakumaliza mkuu!!

Utumwa wa madesa badala ya kuwaza uhuru was kiuchumi unawaza uongeze elim Ili update ajira kubwa zaidi!!?

Sijaiona tofauti kabisa ya education carreers zaidi ya wale ma lecture was chuo sidhani!!

Kama lengo ni kupata ajira ya chuo anaweza ipata Kwa hio hio degree!Wala hakuna maajabu hapo!!

Halafu ishu ya madeni sio walim was sec TU ni wafanyakazi wote Hadi serikali inadaiwa hasta wewe unadaiwa na Benji labda kama huna malengo makubwa!!

Kama lengo lake ni pesa na uchumi akomae na degree yake TU kuliko kumjaza ujinga eti akipata masters atapata kazi itakayomasidia kukuza uchumi wake!!

Education industry Haina Hela labda abadili fani asome kitu kingine kuliko kuwa mtumwa wa kusoma ili update mshahara mzuri!!

Kwanza Hana ajira halafu aongeze elimu nyingine wakati aliyonayo hajapata ajira ya maana !!

Nakuona Bado una mental slavery wakati elimu ya Bongo hailipi Kwa sasa ndio maana na mitaala wanabadili!!

Masters tunazo kibao huku kitaa lakini masters sio Hela ni status tu ambayo hailipi ukiwa nje ya system!!!

Wanaosoma masters in wale ambao tayari wanapigania vyeonvyao in case vipo kwenye threat lakini anataka asome masters wkati bado hata kwenye system hajaingia!hiyo Hela ya masters Bora afanyie kitu kingine kabisa!!!

SIMSHAURI UJINGA ETI ASOME MASTERS ILI AJE AFUNDISHE CHUO WAKATI HATA DEGREE YAKE INATOSHA KUFUNDISHA CHUO!!

MENTAL SLAVERY INAWATESA WASOMI WA BONGO KAMA WEWE!!!
 
Habari wana JF, ndugu zangu hapa ni jukwaa la kupeana michongo na kubadilishana mawazo.

Kuna jambo naombeni tusaidiane Mimi ni mwalimu na niko nje ya system I mean sijaajiriwa serikalini nafanya private school ila nina hitaki kufanya master degree kipi kinaweza kuwa sahihi kwangu.

1. Kusoma masters ambazo zinahusisha education. In case nimeajiriwa inaweza kunisaidia.

2. Kufanya master ambazo ziko nje ya ualimu. Kuhusu hii naombeni kuuliza hivi master degree unaweza kutumika as one of direct qualification for employment serikalini?

Nipeni mawazo ndugu zangu
Ulivyoamua kusoma Bachelor ya Education ulimwuliza nani. Kamwulize huyohuyo.
 
We lofa usiyeelewa chochote mwl wa chuo cha kati ndio yupi. Hiyo scale ni ya watu gani. Km haujui jambo si ukae kimya kuliko kupotosha? Vyuo vya elimu ya juu vyote mishahara yao inalingana(equivalent). Mshahara wa Tutorial Assistant(TA) ni zaidi ya 1.5M na wa Assistant Lecturer ni zaidi ya 2.5M, hiyo ni mishahara ya kuanzia. Maprofesa wao wapo wanaolipwa mpaka zaidi ya 8M. Halafu vyuoni kuna fursa nyingi we bwana mdogo
 
Kwa hio kama chuo panaridhisha bas wasingekimbilia siasa mkuu!!

Mambo ni Yale Yale hakuna jipya kilio ni kwa wote!!!

Utumwa wa kifikra wa soma ilinupate ajira ya juu zaidi unakumaliza mkuu!!

We lofa usiyeelewa chochote mwl wa chuo cha kati ndio yupi. Hiyo scale ni ya watu gani. Km haujui jambo si ukae kimya kuliko kupotosha? Vyuo vya elimu ya juu vyote mishahara yao inalingana(equivalent). Mshahara wa Tutorial Assistant(TA) ni zaidi ya 1.5M na wa Assistant Lecturer ni zaidi ya 2.5M, hiyo ni mishahara ya kuanzia. Maprofesa wao wapo wanaolipwa mpaka zaidi ya 8M. Halafu vyuoni kuna fursa nyingi we bwana mdogo
Chuo chankati SI hivyo vya certificates na diploma!!?hapo wewe unazungumzia versity !

Vyuo kama Butimba,Bustani,ndala ni vyuo vya visivyotoa degrees!

Mbona hivyo vyuo wanafundisha wenye degree's tu!!?

Au unafikiri vinafanana na udsm,sua,mzumbe!!?

Wakufunzi was vyuo hivi wanaanza na E,sio D na jamaa yangu anafundisha pale ndala mbona alianza na hiyo na bachelor yake!!?
 
Back
Top Bottom