Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,627
I should say the same thing to you. Why upo bothered na mimi na the way najenga hoja zangu kuhusu hicho kinachokukera?!Mr Perfect
First Right your wrongs so you can correct others.
I should say the same thing to you. Why upo bothered na mimi na the way najenga hoja zangu kuhusu hicho kinachokukera?!Mr Perfect
First Right your wrongs so you can correct others.
Sasa unaanza kukosa adabu, naona unaniletea kauli za kutafuta kuvunjiana heshima. Hayo ya kuokotana chooni tumefikaje hapo?!
Au kuna sehemu nilishawahi kukutukana?!
Ona sasa....!
Kumbe unajijua kuwa una mwenendo sio unatakaje sasa mimi na wewe tuelewane katika maswala ya wanawake wenye stara?!
KUNTU!Watoto wa kike kuolewa wakiwa hawana kipato chao...unamaliza chuo unaolewa..mabinti wajitahidi wasifanye haya mambo...watafute kwanza maisha yao ndo waingie ndoani, sio unaolewa unamtegemea mume tu kwakila kitu! Akifa je?
Akikuolea mke wa pili je?.
Tumieni elimu zenu mlizopewa na wazazi wenu !
So kumwambia mtu kaokotwa chooni hiyo kwako ni lugha ya kawaida sio?!Aisee umenitukana sana ni vile msahaulifu rejea nyuzi zangu ukatukane vizuri zaidi
Sijakutusi unless niliosema ni kweli then yawekee uzito uyape maana
Sasa why ukasirika ukipewa response sawa na uzi wako?!Stara ni kwako na familia yako hapa huwezi kumpangia mtu kwa mtazamo wako
Kwani we ni nani mpaka useme kuhusu K yangu
Anyway siko na mood ya kujibizana uwanja wako baba mwaga mameno
Nop mkuu sina sumu..ila nayaona sana mitaani mkuu...nakutana nayo daily..kuna.ishu nafanya za kuinteract sana na wamama...kwahyo anakuambia majanga yake aina hiyo...yaan wamama 20, 16 wako kwenye manyanyaso kisa hawana kitu!Unatema sumu
Pesa sasa hivi ndo inatawala dunia awe mke au mume akikosa pesa maisha yanakuwa ya masikitiko na hiyo inasababishwa na majukumu ya familia kuwa mengi tofauti na zamani , imagine wazazi wetu wengi hawakusoma elimu za juu lakini waliendesha familia na familia nyingi watoto walijitafutia mahitaji yao wanavyojua Ili tena waje wabebe majukumu ya familia zao Kama kuwajengea nyumba nzuri na kuwapa mahitaji yao na ndo mada inasema wazazi wanajuta nini? Wengi wanajuta kuchezea muda na kuacha wajibu wa Mungu aliowapa wa kutafuta mkate wa familia na hata kutoa urithi wa watoto wao mpaka wajukuu wao sasa wangewajibika wakiwa na mawazo hayo mambo mengi ya kupoteza muda sisi tusingeyakuta bali tungekuta hata katiba na Sheria zipo kwa kujali muda na kazi tofauti na sasa muda wote tunautumia Kama Happy hours kwa waliofika nje wanaelewa wenzetu walivyopanga muda usitumike vibaya.Nop mkuu sina sumu..ila nayaona sana mitaani mkuu...nakutana nayo daily..kuna.ishu nafanya za kuinteract sana na wamama...kwahyo anakuambia majanga yake aina hiyo...yaan wamama 20, 16 wako kwenye manyanyaso kisa hawana kitu!