Wazazi katazeni vijana na mabinti zenu kuzaliana na wageni wasio watanzania ili kulinda uzazi wetu wa asili wa kitanzania

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari..

Kutokana na wimbi kubwa la vijana pamoja na wanawake na mabinti wa dogo wenye tamaa mbaya ya hela, mali na anasa za hapa duniani. Vijana wengi, Wanawake na mabinti wamepotoka na kuanza kuzaa na wageni kutoka nje ya nchi ambao hawana asili halisi ya Kitanzania wakidai ni uhuru wao wa faraga na kuchagua, huku wengine wakiona ni sifa na ufahari mkubwa.

Vijana na Mabinti wengine wamefika mbali zaidi na kuzaa hadi na wazee kutoka ughaibuni na hata wengine kuolewa na kuoa kabisa na wazee wenye umri wa baba na mama zao au zaidi wa ughaibuni ili wa jipatie mali na fedha za anasa na maisha mepesi mepesi.

Hali hii itapelekea Taifa baada ya miaka mia mbili (200) ijayo kupoteza kizazi cha asili cha watanzania na kua na kizazi cha watanzania chotara hali ambayo inatishia sana kupotea kwa mbegu bora za mtanzania halisi ..

Hivyo kama wazazi haijalishi binti yako au mtoto wako wa kiume ana haki na uhuru wa kuchagua wa kuzaa nae au wakuolewa nae au kumuoa. Jitahidini sana wazazi kuzuia wimbi hili kubwa kwa kupinga vikali uwepo wa uzazi chotara kwenye familia zenu na koo kwa ujumla , kataa kabisa uzazi unaotokana na mbegu au mayai yasiyo na asili halisi ya kitanzania

Pia sisi kama wanaume rijali wenye asili na silka za kitanzania orijino kadiri tuwezavyo ilikulinda asili ya mtanzania isipotee huko mbeleni tujitahidi na kujituma kuwa zazalisha hawa mabinti na wanawake wenye asili halali za kitanzania ambao sio chotara kadiri tuwezavyo bila kuwaonea huruma kabisa, tukamateni mabinti na kuwazalisha kadiri tuwezavyo mambo ya uzazi wa mpango tuachane nayo tusije tukaja kujilaumu huko baadae wakati tumelala usingizi wa milele ..

kumbukeni wanafunzi walio wekewa zuio kwa mujibu wa sheria za nchi hao tuu ndio tuwaepuke ila wakimaliza elimu zao kamateni nakuwazalisha kwa bidii sana kuoko uzazi wetu na mbegu zetu asili za kitanzania zisipotee.

Haijalishi single baba na single mama wataongezeka tujitahidi kulinda uzazi wetu wa asili .
 
Acha wenge wewe...kila mtu na maisha yake
Kama umezaa na mgeni asie na asili orijino ya mtanzania yapaswa ushitakiwe kwa sheria na taratibu za bomani na pia utengwe kabisa
 
Mhhhh mbegu zangu unipangie pa kupanda
Maindi tu yapo chotara Tusipangiane
Huenda tukimix ufisadi utaisha
 
Ila jamaa ana hoja ni vyema akisikilizwa.

Unakuta vitoto vya kizungu vinachunga mbuzi huko buchosa ndanindani

Sio haki.
 
Mhhhh mbegu zangu unipangie pa kupanda
Maindi tu yapo chotara Tusipangiane
Huenda tukimix ufisadi utaisha
Tuacheni utani wakuu.. tusipo zingatia hili miaka 200 ijayo Tanzania kutakua na wana nchi chotara wa kitanzania ...

Hakutakua na mtanzania mwenye damu halisi tena ya kitanzania .
 
Tuacheni utani wakuu.. tusipo zingatia hili miaka 200 ijayo Tanzania kutakua na wana nchi chotara wa kitanzania ...

Hakutakua na mtanzania mwenye damu halisi tena ya kitanzania .
Hao watanzania wasio chotera wana saidia nini, umuhimu wao ni upi, kama sio wizi utapeli uongo kuanza ngono tu nk. Bora hicho kizazi kiondoke tupate angalau kizazi chenye unafu.
 
Back
Top Bottom