Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

Cha kwanza kabisa kula tunda kimasihara,,,,,Halafu ukiweka pembeni kula tunda pembeni chapili nikula mbususu mpaka itoe povu😋😋😋😋😋😋
 
Kutoa Kwa Yatima, Maskini na Wajane
Hunipa Faraja kubwa sana moyoni mwangu.
Huwa najiona kama niwekeza eneo muhimu sana Kwangu lenye uhitaji

December Mwaka huu ntatoa $500+ kwa ajili ya makundi tajwa hapo ikiwa kama Mwenyewe Mungu atanijalia.
 
Kuwapa wazazi wangu...

Kula msosi mzuri (wale wapenda misosi tujuane,lol)
Wapenda misosi tupooooooooooo
Kusafiri masafa ya mbali kwa ajili ya kula chakula kizuri sioni hasara, yaan ukinikuta kwenye mtandao busy naperuzi utasema nauchambua mkataba wa DP World kumbe natafuta migahawa mizuri inayopika vyakula vizuri nikawatembelee
 
Kumsaidia mtu mwenye shida, anajishughulisha ila mambo yanakwama au mtaji wake mdogo.

Kusaidia neno la Mungu lienezwe

Kuwapa familia wanachohitaji
 
Mi bana napenda kuwapa zawadi Hawa watoto kuanzia darasa la 4 kwenda chini Hadi la kwanza Huwa napata Amani make Huwa naona kabisa Shukraan yao inatoka moyoni kabisa.
Ipo siku utajikuta uko Polisi bila maelezo sababu ya zawadi unazotoa
 
Karibu na kifo chake mwalimu mmoja wa sheria akamsogelea Yesu na kumuuliza ni amri ipi iliyo kuu. Akamjibu ya kwanza mpende Mungu wako kwa moyo wote

Akamjibu ya pili: Mpende jirani yako kama nafsi yako. Hakuna amri nyingine iliyo kuu kuliko hizi
Sababu ukimpenda jirani yako kama nafsi yako

Hauta muua, iba, zini, tamani, semea uongo

Sababu ukimpenda Mungu utazishika amri zake na kuzitii,
 
Hallo Wakuu, Baridaaa!

Ni Mambo gani ambayo ukitumia pesa (money) yako.. nafsi yako (roho yako) hupatwa na furaha sana na amani ndani yake?

Binafsi;
1. Ninapo mpa pesa mke wangu, hunifanya kusikia furaha ya ndani sana moyoni mwangu na ninakuwa na amani.
2. Kujaza wese na kukimbia (napenda sana mbizo na kukimbia)

Haya mambo pindi nitumiapo pesa hufurahi sana ndani yangu... yaliyobaki yote huwa napata udhumi na roho kuumia sana

Intelligent businessman
mshamba_hachekwi
Dahan Bantu Lady, PhD. Penseli 4
Nikitoa pesa kwa ajili ya kumnunulua kitu mzazi wangu najiskia amani sana
 
Daah man,hakuna kitu huwa kinaniuma moyo kama kupigiwa simu au kufuatwa na mtu ambaye namjua kabisa,namuaminia af aniambie ana shida nishindwe kumsaidia! Daah huwa inaniumiza sana
Kabisa mzee, huwa nafeel guilty kabisaa.
Burudai ninayoipata nafsini mwangu baada ya kusaidia haielezeki kwa kweli nahisi inazidiwa kidogo na pale ninapompa mama yangu au kumpa zawadi mke wangu nae akaifurahia.

Nina majirani zangu hali tete, nikibahatisha kahela, nikinunua kitoweo cha kutosha basi hiyo nitaigawa na kwao, huyu mmoja mwanae ni mgonjwa gonjwa anateseka sana, plan yangu kwa sasa nikipata vichenji nimkatie bima tu(mungu anisaidie)

Kuna kipindi nilitamani nianzishe utaratibu wa kuwasaidia utaratibu wa kuwachangia bima ya afya watoto yatima, kuna mambo yakanikwamisha na kunirudisha nyuma(mwenye uwezo afanye hili jambo, niko tayari kumpa mipango yangu)
 
You good bro✌🏽
 
Back
Top Bottom