Unapokutana na fikra za kijana wa Tanzania mwenye smartphone na anauwezo wakuingia JF anaandika hivi inatia kinyaa sana. Tena inawezekana na kasoma hadi chuo kikuu.Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena
wananchi hawana kero hata moja. jpm alikuwa analazimisha wawe na kero ili aendelee kuuza sura. kero huwa zinatatuliwa kisayansi siyo majukwaani kama lile jamaa lililouawa na waranzania tukamshukuru munguJapokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
MATAGA huwa hamjui uongozi, tayari kuna RC NA DC, na mawaziri, alipo waapisha aliwaambiwa wasikilize kero za wananchi, usimfananishe SAMIA na JIWE , jiwe alikuwa naenda MBEZI KUSKILIZA KERO YA KULIPIA CHOO CHA SHS 500, ambayo ilipaswa isikilizwe na afisa mtendaji au balozi wa nyumba kumi;Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
Wabunge na madiwani wenu wana kazi gani?Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
Urais ni taasisi ,sio kila kitu anafanya yeye Safari zake hazina shida Mana Kuna watu wapo piaIla mama anasafiri sana,tangu aanze urais hajatulia kabisa sijui muda wa kufanya maamuzi sahihi anaupata sangapi,muda wa kufikiria changamoto za wananchi na namna za kuzitatua,hata muda wa Ibada na Mwenyezi Mungu anaupata kweli,kila leo safari,events....na ndo ameanza tu majukumu
Mwaka jana wakati wa kampeni Rais wa sasa alizunguka kuliko aliyepita. Anaijua vizuri nchi yake.Afadhali mara mia ila alikuwa anaiona Tanzania anayoiongoza ipo ktk hali gani
Unaona sasa ulivyo na akili fupi...ukidhani humu unabishana na watoto wenzio.
Shika adabu mjukuu wangu.
Nahisi hata nilichokiandika hujakielewa,na nilikuwa nalenga nini....akili imekujaa maupupu tuu na kuropoka hovyo.
Rais wetu anakwepa, majukumu yake. Basi ingekuwa kutumia watendaji wake hata huko nje asingeenda, angeacha waziri wa mambo ya nje amwakilishe. Kwani majukumu ya Waziri wa mambo ya nje ni nini?Sasa kazi ya wakuu wa mikoa, wilaya,watendaji wa kata,wabunge,TISS n.k itakuwa ni nini.
Kweli kichaa alifanikisha kuwabrainwash wapumbavu wengi.
Mataga kajinyonge tu.Kwani hayo mahindi yameruhusiwa, utaratibu bado ule ule wa vikwazo, ukitaka kuingiza mahindi Kenya lazima yapimwe pimwe kwanza, tuna Rais dhaifu na naive kupita wakati wote...
Kwahiyo Mama hatakiwi kwenda kwa wananchi? Ila ikifika wakati wa Uchaguzi Mkuu ndio aende sio? Washauri wa Mama Oyeeeeeeeee!!!!Sasa kazi ya wakuu wa mikoa, wilaya,watendaji wa kata,wabunge,TISS n.k itakuwa ni nini.
Kweli kichaa alifanikisha kuwabrainwash wapumbavu wengi.
Kweli Mwendazake aliwapumbazs sana, yaani mnataka mpaka tatizo la shule kukosa choo huko kwenu mtipuka Rais atoke Dodoma kuja kutatua hiyo kero, na wewe unarudhika kabisa na kuona kweli Rais anafanyakazi.Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
Kwahiyo Mama hatakiwi kwenda kwa wananchi? Ila ikifika wakati wa Uchaguzi Mkuu ndio aende sio? Washauri wa Mama Oyeeeeeeeee!!!!
SawaAende kwa wananchi kufanya nini?? Mfuate Ikulu kama shida yako imeshindwa kutataliwa na msururu wa viongozi kuanzia mwenyekiti wako wa kijiji.
Hata asipoenda wakati wa uchaguzi mkuu atashinda tu akitaka, usijipe umuhimu sana.
Nasisitiza kuwa toka tupate uhuru, kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hadi Magufuli, wote waliwasikiliza wananchi na kutatua kero zao. Kuna migogoro ambayo kiutatuzi lazima imfikie Rais au inahitaji utatuzi kutoka kwake. Ndo maana utaratibu toka zamani, kukiwa na jambo limeshindikana Mkuu wa Mkoa huto kibali cha mwenye malalamiko au mgogoro kumuona Rais, kama ametembelea mkoa huo au mlalamikaji kwenda Ikulu.Rais ana makatibu tarafa, ma DC, RC, wakurugenzi, mawaziri, hao ndiyo wa kuzurula, kusikiliza kero, kuzitatua na kuzifikisha mbele ya baraza la mawaziri.
Organization structure. Delegation.
Rais anazurulaje kufanya kazi za DC?
Au ndiyo mtego, mnataka mseme mwendazake, alitumia magari tu, huyu anatumia both ndege na misafara ya magari??
Everyday is Saturday...............................
Ndugu hii ni awamu ya 6. Mwinyi aliwasubiri ikulu, wewe unataka awatembelee, unajuaje kama yeye mama hatowakaribisha pia wananchi ikulu??Nasisitiza kuwa toka tupate uhuru, kuanzia Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete hadi Magufuli, wote waliwasikiliza wananchi na kutatua kero zao. Kuna migogoro ambayo kiutatuzi lazima imfikie Rais au inahitaji utatuzi kutoka kwake. Ndo maana utaratibu toka zamani, kukiwa na jambo limeshindikana Mkuu wa Mkoa huto kibali cha mwenye malalamiko au mgogoro kumuona Rais, kama ametembelea mkoa huo au mlalamikaji kwenda Ikulu.
Nakumbuka kipindi cha mzee ruksa, kila mwezi alitenga siku ya kuwasikiliza wananchi Ikulu. tena alisisitiza anataka watu wa hali ya chini ambao wanamigogoro au malalamiko yaloshindikana. Na toka mikoani ilisisitizwa Ofisi au wakuu wa mikoa kuhakikisha watu wenye malalamiko wanafika kuonana na Rais Ikulu.
Nyerere yeye walienda hadi nyumbani kwake, Msasani au Butiama kufikisha malalamiko na aliwasikiliza. Rais Kikwete alikuwa huru popote alipo kuwa anamsikiliza mtu yoyote hata iwe Msoga.
Mama yetu tafadhali, litazame hili kwa namna nyingine. Hawa ndo waliokuchagua. Ukisema unawawakilishi, basi waachie kila kitu kwani tunajua Rais unawawakilishi kila sekta na kila sehemu weye kaa tu Ikulu ule na kulala. Hadi Bungeni unawawakilishi basi usingeenda kuhutubia Bungeni kwani Waziri Mkuu yupo anae wakilisha serikali pia kuna mawaziri bila kumsahau Waziri anae tetea serikali Mama JenisterMhagama!
Na ikifika uchaguzi awatume hao hao wakuu wa wilaya na TISS kuomba kura.Sasa kazi ya wakuu wa mikoa, wilaya,watendaji wa kata,wabunge,TISS n.k itakuwa ni nini.
Kweli kichaa alifanikisha kuwabrainwash wapumbavu wengi.
Achana na unyonge mkuu. Tanzania ina ardhi kubwa,maji, dhahabu, mvua za kutosha,watu wengi kwa nini ujipe unyonge.Yani umekubali kuwa maskini.Japokua hayati alikua anaendesha nchi kibabe, lakini kuna baadi yamambo aliyafanya yalitupendezea hata sisi wananchi wanyonge tunaoshi chini ya dola moja kwa siku,
ziara za sehemu mbalimbali kusikiliza kero za wananchi zilitufariji sana,
kwa heshima na taadhima tunakuomba mama yetu, Amiri jeshi mkuu, President material mweshimiwa Rais samia suluhu uanze ziara za kusikiliza kero za wananchi wako wanyonge na kuzitafutia ufumbuzi
tunakupenda sana
asante sana
mitano tena✋
Ila masikini ni ana roho chafu kama masiziWanyonge mnyongwe zenu,na haki zenu msipewe tuh,nyinyi ndiyo mlikuwa mnapa bichwa yule mwendazake aliposema kuwa matajir waishi kama mashetani,na mkawa mnashangiliiiaa, wachawi wanyonge