Ni lini Rais Samia ataanza ziara kusikiliza kero za Wananchi?

Huna maana. Mdomo mdomo tu.
Toa keri zako zitatuliwe usimpr mama pressure.
 
Nyie wanyonge subirini kwanza Madam president yupo bize na wawekezaji.
 
Mkuu ila angalia na side effects zake mana mwendazake alikua akienda sehemu kutatua hizo changamoto, hapo shughuli zote za kiuchumi zinasimama maduka na na mabarabara yanafungwa watu wanasubirishwa kwenye foleni hata masaa 2 au 3 kisa tu kwenda kutatua mgogoro wa mama aliyetapeliwa kiwanja,yani unaenda kusaidia wakazi wa eneo fulani wanne au watano lakin huku unaharibu shughuli za mamia ya watu na kuharibu pato la taifa kiujumla, poor politics....

Sent from my SM-G900I using JamiiForums mobile app
 
Mataga mna washwa mtulie bado anasuka nchi mmesahau mwendazake alikaa miezi 6 anasuka safu anazotaka yeye? Tulieni Mama anajua kila kitu maana alikuwa kama observer hivyo yuko vizuri anajua makosa yalikuwa wapi na sasa afanye nini mtulie
 
Hata asipokuja. Mbona jiwe hakwenda kuomba kura kusini.
Hiyo ni 2020 ambapo kulikuwa na mambo mengi ikiwemo tishio la wanagambo wa Msumbiji etc lakini rejesha picha ya 2015 si alifika?
 
Lengo la mwendazake ilikuwa ziara kutembelea wananchi wake issues zikiibuka pale anapokuwepo, tusitake kumuweka Mama mbali na wananchi wake ili mwisho wa siku tumshambulie, ni vema tumsadie kama kweli tuna nia ya kumsaidia.

Pale Hai 2020 kwenye kampeni Mbowe aliulizwa na wananchi wake tokea kampeni za 2015 ndo umekuja tena 2020 kufanya mkutano wa kuomba kura, ulikuwa wapi? Tulikuchagua ili iweje? Lakini mwisho wa siku Mbowe akaishia kuwaita wale wananchi kuwa walitumwa waje kuharibu mkutano wake.
 
Yaani dikteta aliwabrainwasheed kisawasawa,uko unakosema mh Rais amesafiri,anaenda kwa maslahi yake au kwa maslahi ya nchi?!! Dikteta Magufuli alitumia ujinga wenu kisawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…