Utofauti wa usa na hizo tawala..yeye kaweka freedom for everything..sio taifa la kidini mana katika hili aliweka freedom of religion..hatakama usa lina mlengo wa kikristo lakini hutasikia linamzuia mwenye imani yoyote kuishi nchini humo na kuamini anacho kiamini..ndiomana usa imekua ni kimbilio la wengi waliokuwa wakiteshwa na kuonewa katika mataifa mbalimbali kwa milengo yao ya kiimani..kirangi ama kiitikadi.
Hii ndio power kubwa na msingi mkubwa wa usa..na hao raia wa usa hawawezi katu ruhusu usa ianguke mana usa ndio taifa linalomkaribisha kila mtu ulimwenguni kuishi kwa amani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using
JamiiForums mobile app